iphone

  1. M

    Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

    ...am editing
  2. iPhone 13 imeshaingia, 11 si habari ya mjini tena

    Kama ulikua unajiandaa kununua iPhone 11 basi fahamu kuwa 13 sasa hivi imeshatoka.
  3. Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

    Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa. Pia niulize...
  4. T

    Hakuna tofauti kati ya Iphone 12 na Iphone 13

    Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli. Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake yameionyesha hakuna tofauti na Iphone 12 ya mwaka jana. Watu wengine wanasema ni bora Apple wangeiita Iphone...
  5. Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana. Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili...
  6. Tovuti 10 zinazoongoza kwa mauzo ya simu za iphone Tanzania. Kwa bei nzuri na uhakika

    Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu...
  7. Nawezaje kurudisha pesa niliyokatwa App Store?

    Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
  8. Apple yasogeza mbele mipango yake ya kuachia mfumo wa kukagua picha

    Kampuni ya Apple imesema mipango ya Teknolojia yake ya kukagua picha zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa Watoto kwa Watumiaji wa simu za iPhone imesogezwa mbele Hatua hiyo imekuja kufuatia ukosoaji mkubwa wa Teknolojia hiyo kutoka Makundi mbalimbali ambayo yaliibua wasiwasi kuwa mfumo...
  9. Phone4Sale Samsung S8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy S8 Edge Ina 4GB Ram 64GB Storage Battery health 100% Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake. Haina crack wala mchubuko wowote. Imetumika miezi 2. Bei 390,000 maelewano yapo. Contact 0623464795
  10. Nahitaji Suppliers wa iPhone/ Android Phones hapa Dar

    Refer to the heading wakuu Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja. Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
  11. Phone4Sale Iphone X ina wiki 2 tu inauzwa bei ya haraka nina shida na pesa

    Nina shida ya pesa Iphone X Ina wiki 2 tu. Gb 64. B.Health 100%. Face id. Truetone. Nina shida na pesa. Box lipo. Charger na earphones zipo. Kiufupi mzigo ni mpya. Bei maelewano. Number. 0683011003
  12. Msaada application kudownlod movie kwenye iphone

    Mimi sio mzoefu kwenye simu za iphone naitaji download movie msaada wa aplication nzuri au website
  13. With iOS15 you will never lose your iPhone/iPad

    With iOS 15, your iPhone is still traceable through the Find My network even when the device is powered off. It seems that with iOS 15, the phone is not really fully ‘powered off’, it stays in a low-power state and acts like an AirTag, allowing any nearby iOS device to pick up the Bluetooth...
  14. Msaada: Kuactivate iphone 4s isome mtandaob(line)

    Msaada jamani kuna simu tajwa hapo juu Iphone 4s nkiweka line za kibongo inahitaji kuactivate ili isome, nkiactivate kwa kutumia WIFI mwisjoni inasema SIM NOT SUPPORTED. Nifanyaje ili line ziweze kusoma? Nimejaribu line zote inasema hivyo. Miaka ya nyuma nliitumia hii simu line zilikuwa fresh tu
  15. I

    Phone4Sale iPhone 6+ for sale-380k

    Solved
  16. S

    Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12

    Habari zenu, Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12 nzuri na za uhakika (yasiwe maduka ya makanjanja nsije kupigwa feki). Natanguliza shukrani
  17. Ushauri juu ya Iphone 7+ Plus

    Habari wakulungwa, natumaini mko poa kabisa. kuna best yangu mmoja hajawaiii tumia iphone na niseme ukweli na mimi mmoja wapo na sababu tu sizipendi kwakuwa nasikia zina limit na mambo ya kuto kaa na chaji na blaa blaaa kibao. Juzi jamaa kaniomba ushauri juu ya iphone 7 plus kuwa anataka...
  18. Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

    Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana...
  19. Naomba ushauri wa kupata simu ya nzuri za iPhone

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kujua aina gani ya Iphone ni nzuri ambayo bei yake ni kati ya laki 5 mpka laki 6? Simu ambayo ina storage kubwa (64GB above) na camera yake ni nzuri. Itapendeza zaidi nikipewa chimbo zuri la kuipata Dar. Asanteni.
  20. Phone4Sale Iphone 7+ kwa 480,000 tu, uhasibu Dar es salaam

    Nauza iPhone seven plus Storage gb32 Battery 🔋 💯 Fingerprint ✅ Clean condition Bei 480,000 Used for 4 months Uhasibu, DSM---0625750755
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…