internet

  1. FromHeaven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuset internet kwenye LG V20U

    Nimenunua simu LG V20 natumia line ya halotel 4G nimeset Access Point zile ikakubali ina browse internet fresh youtube unaangalia vizuri na app ya jamii forum inafanya kazi ila tatizo haitumi picha wala txt za whatsapp facebook telegram na Twitter pinterest hazirefresh ilivoload siku ya kwanza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa idadi ya wapiga kura nchini inakaribiana sana na idadi ya watu wenye kutumia mtandao (internet)?

    Kuna watu wanazibeza takwimu zinazotolewa mitandaoni. Takwimu ambazo nyingi kila mara zinaonyesha kuwa Tundu Lissu anamshinda Magufuli. Binafsi ninaweza kusema kuwa hizi takwimu (polls) zinaweza kuwa credible (zenye kuaminika) zaidi nyakati hizi za sasa kuliko baadhi ya watu wanavyodhani na...
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Internet halotel ni zero

    Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
  4. Bubolwa Chura

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

    Wakuu Igweeeee! Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje? Au fikiria hivi, umefungiwa ndani...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

    Naombeni msaada wadau, Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Internet router zinauzwa 40000/=

    Habari wadau, nauza 3G router za internet AINA YA ROUTER: D-Link DWR-730 SPECIFICATIONS Integrated SIM card slot HSPA+ with up to 21.6 Mbps download Up to 5 hours battery life microsD card for storage expansion Wireless N150 (150 Mbps on 2.4 GHz BEI : 40000/= Tsh kwa rejareja, 30000/= Tsh kwa...
  7. Kulupango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona Internet speed imeshuka ghafla

    Speed ya Internet sijalielewa tangu jana iko low, kuna nini?. WhatsApp video na picha haziendi, instagram haifunguki.
  8. Kurzweil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How the Internet Travels Across Oceans

    ‘People think that data is in the cloud, but it’s not. It’s in the ocean.’ How the Internet Travels Across Oceans The internet consists of tiny bits of code that move around the world, traveling along wires as thin as a strand of hair strung across the ocean floor. The data zips from New...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zama hizi za Internet, serikali kuminya uhuru wa taarifa ni kujidanganya

    Kwa mujibu wa Taarifa za TCRA ambazo zimenukuliwa katika mtandao maarufu wa Wikipaedia, idadi ya Watanzania wenye kumiliki vyombo vya mawasilaino kwa maana ya Simu ni milioni 43.5 kati ya wananchi milioni 53.8 Hii inamaanisha kuwa takriban asilimia 80.8 ya wananchi wanaweza kupashana habari na...
  10. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Betty takes photo with politician and stirs the internet

    Betty Kyallo stepped out with Alinur for the much anticipated FA Cup final between Arsenal and Chelsea. Betty broke the internet earlier in the day as she adorned Chelsea colors. Netizens could not keep calm and they took sides on who would come out on top between the two teams. Her fellow...
  12. PlayBoyMwema

    JamiiForums Tanzania Ni GB za ngapi za Internet ushatumia kwa mwezi uliopita(June)? Share hapa

    Hello wakuu hii post ni mahususi kwa ajili ya kushare screenshot za matumizi yetu ya vifurushi vya internet kwa mwezi unaoisha (mwezi wa 6) Labda kupitia hii post watu wa makampuni ya simu waliopo humu Jamiiforums wakipitia post hii na kuona matumiz ya wateja wao kwa upande wa data ni makubwa...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wanaotumia Mtandao wa Halotel Basi Wana tabu siyo Internet wala Huduma kwa Wateja

    Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma. Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
  14. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming. 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)
  15. ze future

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu inakataa kuconnect na internet

    Habari yako, PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows 8. Nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa jinsi ya kulitatua tatizo hili.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Matumizi ya internet kwa mtandao wa Vodacom yako vipi?

    Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10 Hii kali sasa
  17. ronnycharlz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tigo mmebadilisha bei za vifurushi vya internet vya wiki?

    Habarini wadau na wanajf wote. Hongereni kwa kuuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ili kuzuia maambukizi mapya ya covid-19. Nauliza Bei mpya ya vifurushi vya internet vya wiki kwa mtao wa tigo vimebadilika kutoka sh 3000/=? nimejaribu kumnunua lakini napata and ya kuwa Sina salio la kutosha...
  19. BenKaile

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wito fanya ufutaji wa akaunti zako kwenye applications au kompyuta kabla huja uninstall programu husika

    Sitakupa maelezo marefu sana ya kupoteza muda wako, ila umakini na faragha ni muhimu sana nyakati hizi za kimageuzi ya mitandao na ukuaji wa teknolojia. Kwa watumiaji wa vifaa ya kimtandao kama simu na kompyuta iwe ya mezani au mipakato jaribuni sana kuwa na umakini ikiwa utaacha kutumia...
  20. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

    Ni katika kuelimishana tu na kushtuana kama ilivyokua kipindi kile wakati nikijiona mjanja kulipia DSTV package na kupata vitu vizuri kumbe kuna wajanja wanakula channel zangu za DSTV kwa kutumia huduma za cable, FTA DISH, nk nk. Baada ya kusanuka nikaingia ulimwengu ule nilijishangaa sana kwa...
Back
Top Bottom