internet

  1. Spacefox

    JamiiForums Tanzania How to view xml file using Internet browser offline

    Msaada wakuu nahitaji ku view xml template na style zake nikiwa offline.
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Mhandisi Baraka Mtunga (43) na Rajabu Katunda (42) kulipa faina ya Sh. Milioni 1.5 kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zaidi ya Sh...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa speed ya internet kwenye PC

    Habari ndugu zangu na shida moja kwanzia mitandao irud mimi kwangu speed ya internet kwenye pc ni ndugu saana haijalishi nitumie WIFI(SIMU) au moderm ila kabla ya hapo ilikuwa ina speed nzur tu tena zaid ya sanaaa ila baada ya michaguz yao speed hakuna kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Screenshot chat between an angry lady and her boyfriend that has surprised internet users

    Screenshot chat between an angry lady and her boyfriend that has surprised internet users Relationship nowadays are turning into something else. Guys now feel their girlfriends are obligated to them all because they are in a relationship with them. See the revealing shocking conversation...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tigo Internet

    Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia Mtandao wa Tigo Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni Hapo shida ni nini wakuu
  6. lutemi

    JamiiForums Tanzania Ombi la kurejeshewa Internet

    Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao. Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana. Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Umoja wa Mataifa unatambua ‘internet’ kama haki ya binadamu?

    Julai 2016, Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa (UN) lilitambua na kuweka wazi kuwa Upatikanaji wa Matandao ni haki ya msingi ya binadamu. ‘Internet’ ni moja kati ya namna ya kuongeza uwazi kwa kuongeza ushirikishwaji wa wananchi katika kujenga jamii inayojali demokrasia...
  8. rr4

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa mitandao ya simu kuhusu suala la intaneti iliyokatwa

    Wakuu habari. Natoa ombi maalum kwa makampuni ya simu yote nchini ambayo yalikata au yalisitisha upatikanaji wa internet kwa baadhi ya social media Kama Whatsapp , Instagram, Twitter , Facebook and so on. Siku ili mliyotindiganya mambo watu tulikuwa tumejiunga na mabundle ya internet, wengine...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

    Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini. Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo. Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pamoja na kuzima internet kuna watu wanaumia kimoyomoyo, ila wanashangalia na kupongeza "Chuma kimechukua nchi"

    Watanzania tusingekuwa wanafiki, basi wote tungepaza sauti kupinga kitendo kilichofanywa na Serikali kwa kutoa amri ya kulimit internet access, lakini kwa sababu ya hofu, watu wengi wanaumia moyoni huku wakiamua kushangalia na kupongeza ushindi wa kishindo kwa Chama cha Mapinduzi. Lakini tuseme...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

    Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba. Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili...
  12. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana. Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store). Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata. Kuna yeyote anapata tatizo kama langu? Natumia Mtandao wa Tigo PIA SOMA = >...
  14. Magazetini

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii Vifurushi vya Internet vimekuwa juu kuliko huko nyuma?

    Zamani ukijiunga dakika unakula na MB 500 au hata GB 1. Offer nyingi zilikuwa zinaenda sanjari Dakika na Vifurushi ya Internet. Sasa imekuwa tofauti kabisa. Eti Tsh. 1000 ukicheza kama hujui kuifukua menu ya Vifurushi unaweza kununua MB 100. Nini kimetokea?
  16. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why does Kenya lie on number of internet subscribers?

    For the past 4 months Tanzania has witnessed two of her sons i.e. Diamond Platnumz and Millard Ayo clocking 1 bln views on youtube and one wonders why has Kenya not achieved that success? Going by the number of arguments i have put foward before that Tanzania with a broader fiber optic covarage...
  17. FromHeaven

    JamiiForums Tanzania Msaada kuset internet kwenye LG V20U

    Nimenunua simu LG V20 natumia line ya halotel 4G nimeset Access Point zile ikakubali ina browse internet fresh youtube unaangalia vizuri na app ya jamii forum inafanya kazi ila tatizo haitumi picha wala txt za whatsapp facebook telegram na Twitter pinterest hazirefresh ilivoload siku ya kwanza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa idadi ya wapiga kura nchini inakaribiana sana na idadi ya watu wenye kutumia mtandao (internet)?

    Kuna watu wanazibeza takwimu zinazotolewa mitandaoni. Takwimu ambazo nyingi kila mara zinaonyesha kuwa Tundu Lissu anamshinda Magufuli. Binafsi ninaweza kusema kuwa hizi takwimu (polls) zinaweza kuwa credible (zenye kuaminika) zaidi nyakati hizi za sasa kuliko baadhi ya watu wanavyodhani na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Internet halotel ni zero

    Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
  20. Bubolwa Chura

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

    Wakuu Igweeeee! Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje? Au fikiria hivi, umefungiwa ndani...
Back
Top Bottom