Unatumia mtandao gani...?Speed ya Internet sijalielewa tangu jana iko low, kuna nini?. WhatsApp video na picha haziendi, instagram haifunguki.
View attachment 1547352
Hata mimi inanifanyia hivyoSpeed ya Internet sijalielewa tangu jana iko low, kuna nini?. WhatsApp video na picha haziendi, instagram haifunguki.
View attachment 1547352
Kuna mtu naye alikuwa analalamika huku yeye lakini anatumia Airtel...Natumia Zantel,
Mbona uko offline mode?Speed ya Internet sijalielewa tangu jana iko low, kuna nini?. WhatsApp video na picha haziendi, instagram haifunguki.
View attachment 1547352
Turn off hiyo flight mode.
Maskini kadhani pengine hiyo ndio speed yenyewe ukiweka kindegeUmeweka plane mode toa hiyo,
Labda kwa mitandao mingine .Voda iko biyee kabisaMkuu sijaweka Flight mode, ni karibu kila ninae kutana nae anasema mtandao hakuna, wengine wanasema baada ya Uteuzi mtandao utarudi