internet

  1. F

    JamiiForums Tanzania TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

    Kama upo Dar maeneo ya Kariakoo, Mjini posta, Msasani, Peninsular, Upanga, Kinondoni ya Morocco, Mikocheni, Masaki, O'bey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k Fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa...
  3. Nivlark

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 5G speed internet in Kenya

    Safaricom will Friday launch Kenya’s first fifth-generation (5G) mobile internet services targeting major urban centres, making it the inaugural operator to offer commercial and superfast services in the region. The firm last year completed testing and trials for the upgraded network as the...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania The internet is undefeated: A painful lesson

    I hope this was a teachable moment. From it, they will grow through what they went through and do better going forward. They say if you know better, you do better. So I’m crossing my fingers that they will publicly acknowledge the error of their ways and promise us to do better and use some...
  5. Jokia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji huduma ya internet

    Wakuu salama humu? Naombeni msaada katika hili. Mahali nilipo huduma ya internet kupitia mitandao ya simu haipatikani na ikitokea inasoma E kiasi kwamba siwezi fanya cha maana kwa kutumia mtandao. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuunganishiwa wireless internet ili niwe natumia wi-fi...
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa: TTCL internet configuration settings

    Kama ninavyosomeka hapo juu. Watz nahitaji kufahamu configuration za internet ya ttcl
  7. R

    JamiiForums Tanzania This is too much! Internet sasa tukimbilie wapi?

    Yaan leo ndio nimechoka km hali ndio hii hii serikal sidhan km ipo kwamaslah ya wananch bali ipo kwa maslah yake yeye yenyewe Majuzi juz apo nilimsikia spika akisema kuwa sijui wapandishe kodi ili vijqna wasipate mda wa juingia mitandaon bali wafanye kaz sikujali sn nikapuuza ile taarifa...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  9. kidi kudi

    JamiiForums Tanzania MSAADA: PC haisomi (haikamati) wireless internet connection

    Wasaalam wanajukwaa hili. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania The future is here? Ijue "Starlink" na "Starlink Internet Satelite"

    Starlink ni hasa? STARLINK ni mkusanyiko wa satellite za internet iliyobuniwa na kuwa chini ya mwanasayansi mashuhuli Elon Musk na timu yake ya SPACE X. Mkusanyiko huo wa satellite za internet hufanya kazi kwa kushirikiana toka satellite moja had nyingine ili kutuma mawimbi ya mtandao huku...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya: Internet sasa hivi inatumiwa kama rungu la kuwapigia wanyonge

  12. Mtyela Kasanda

    JamiiForums Tanzania Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves)

    Tuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri sehemu zipitishazo umeme tu. Jiachie na internet ukiwa ndani ya nyumba yako, ila simu isiwe charging tu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha biashara ya internet café

    Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini. Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika. Shukran.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naomben kujua jinsi ya kuweka internet via ethernet

    Habar wadau Nina computer yangu hapa kuna hii cable inaitwa ethernet sijawah itumia kabisa kwa internet sasa naomben kujua nawrzaje supply internet kwenye PC au router via ethernet cable kupitia simu au moderm. Nawasilisha
  15. nagG

    JamiiForums Tanzania Haloteli wameondoa bando la internet la Usiku Unlimited

    Kwa wale wapenzi wa kudownlaod movies, games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolewa na kushushwa mpaka GB 5 tu. Je, wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao...
  16. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya tops Africa by a mile in internet penetration

    Kenya recorded the highest internet penetration rate in Africa in the year 2020. This is according to a ranking by Internet World Stats (IWS), showing that 87.2 percent of the country’s population was connected to the internet. Figures from the Communication Authority (CA) indicate that in...
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kifaa hiki cha Internet

    Nikiri kufaidika na michango yenu kwa jukwaa hili. Kuna kifaa kinaitwa Respby pi (pichani) nataka kutumia kuanzisha program ya kuaccess masomo bila internet. Naomba kujuzwa kinapatikana wapi, kinafanyaje kazi? Kama ni mradi kuna maelezo marefu. niko tayari tuandae kikao maalum kujadili...
  18. Snipper

    JamiiForums Tanzania Airtel, leo kuna nini bundle zenu za internet?

    Sijui kama kuna tatizo kwenye simu yangu au kuna tatizo kwenye mtandao wa Airtel. Leo nimenunua vifurushi vya internet vya thamani 1GB lakini havikuchukua hata masaa matatu vikawa vimeisha. Nikiangalia matumizi sioni kitu ambacho nimekifanya cha kuweza kumaliza GB moja nzima ndani ya masaa...
  19. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Strict Internet and information Laws is a must for Tanzania security. My case in 800 words or less

    As President Bill Clinton mocked the Chinese president Jiang Zemin for his nation’s naivety in attempting to control the internet, the great firewall of China as it was pejoratively known, the crowd joined. At the time, in 2000s, this response was sensible considering how unknown the internet...
  20. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Airtel kabla hayajawakuta yakuwakuta shughulikieni hili la wizi wa vifurishi vya internet..

    Airtel Airtel Airtel . Huu wizi mnaotufanyia katika vifurushi sio mzuri mmefanya ndugu yangu arudi vodacom wakati alishatupa na line zao mbili. Haiwezekani ununue 5MB za siku 7 Halafu baada ya muda mnitumie sms kuwa umetumia 90% ya 2.5GB zako. Sasa kama Elfu 5 ni sawa na 2.5GB kwa nini...
Back
Top Bottom