internet

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Februari 8: Siku ya Kimataifa ya Mitandao Salama (Safer Internet Day)

    Siku ya Kimataifa ya Mitandao Salama inalenga kuongeza ufahamu wa masuala yanayojitokeza mtandaoni ili kuhamasisha mitandao salama na bora zaidi. Katika kuadhimisha Safer Internet Day, changamoto kama unyanyasaji mtandaoni na nyinginezo hupewa umuhimu kwani siku hii inalenga kuongeza ufahamu...
  2. buffalo44

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima. Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet. TTCL walinipa hii details. Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k. Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem. Nikaamua kucheki...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Unlimited Internet leteni mrejesho

    Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa nipeni some recomendations
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kudhibiti matumizi ya internet Kwenye laptop yangu?

    Habari Wakuu. Nina laptop aina ya Toshiba ila tatizo niiiunga na WiFi hotspot ya Simu yangu ya Tecno inakula data so mchezo. Juzi tu niliiunga ili kuperuzi website kadhaa lakini ndani ya dakika tano ikawa imetafuna MB 300! Naomba msaada nifanyeje kudhibiti hii hali.
  5. Travis 1

    JamiiForums Tanzania Tunaofanyia kazi nyumbani karibuni tushirikishane ni internet ipi unayotumia na desk setup yako ipoje?

    Heri ya mwaka mpya wakuu! Kwa wale wanaofanyia kazi nyumbani unaweza kutushirikisha ni internet ipi unayotumia na gharama zake zipoje pia. Na kama hutojali unaweza kushare desk setup yako tuweze kuona inamuonekano gani.
  6. Manofu

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania TTCL FIBER INTERNET INAPITA KWENYE NGUZO AU??

    Naombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inavyopita chini inawezaje kusambazwa majumbani, inabidi machimbo yachimbwe majumbani ili kuvutiwa waya wa fibrea au inakuwaje?
  8. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi kuna Internet Download Manager App Kwa ajili ya MAC Computers

    Wakuu naomba kuuliza kama kuna Internet Download Manager App Kwaajili ya MAC Computers. Kama ipo naomba link
  9. mludego

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuweka Ukomo wa matumizi ya data ktk internet

    Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet. Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi shutdown lkn tatizo lipo pale pale , pia sio mtu wa kuangalia videos mtandaoni kiviile lkn kifurushi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Satelite internet in Tanzania

    Habar wadau hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni TTCL ZUKU LIQUID...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Fahamu Vivinjari (Browsers) maarufu zaidi duniani

    - Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea tovuti hiyo. - Takwimu kutoka tovuti ya Global Stats Counter zinaonesha kuwa kivinjari cha Chrome...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtoa huduma ya Internet

    Ndugu zangu wana jamiiforum poleni na shughuri za hapa na pale naomba ushauri. Nahitaji kufungua kampuni ya mtoa huduma ya internet "ISP" kahama, ni hatua zipi za kufuata na gharama ya kianzio ni kiasi gani ahsanteni
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je Unajua Nini Kuhusu Mkongo wa Taifa?

    Unajua Nini Kuhusu Mkongo wa Taifa ? Wakati unajengwa Mkongo wa Taifa tuliambiwa mengi na politicians pamoja na vyombo vya habari. But personally bado nina maswali mengi kichwani. Wajuzi ningeomba watufafanulie some essues:- 1. Kwanini maeneo mengi upanikanaji wa internet bado ni shida...
  14. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Meneja Masoko wa TTCL atimuliwe kazi, anaihujumu TTCL

    Huyu meneja wa masoko wa TTCL afukuzwe kazi Serikali popote mlipo, maboss wa TTCL, na wizara ya mawasiliano huyu afisa masoko wa TTCL ni hatari kwa usalama wa uchumi wa taifa hili Anatoa wapi ujasiri wa kutumika kuhujumu shirika namna hii? TTCL ndo kwanza wamefufuka, wanahitaji kuwafikia...
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mkongo wa Taifa (Intaneti) uwafikie wananchi

    Natamani kusikia kuwa Serikali inaweka utaratibu ambao mtu binafsi anaweza kuunganishiwa Internet NYUMBANI KWAKE kutoka mkongo wa taifa na kulipia kila mwezi. Na maanisha kuwe na package tofauti tofauti za kila mwezi kulingana na matumizi (speed) watu wachague. Gharama za kuunganishiwa...
  16. Flowerpot

    JamiiForums Tanzania Hili jambo la internet serikali inabidi waliangalie vizuri

    Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa tehama wakati chachu yenyewe serikali yenyewe wameiondoa? Mfano sisi wanafunzi wa upande wa IT na comp...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Teknolojia imebadili mfumo wa maisha, vijana wa sasa wanashindwa kuandika kwa mkono

    Usishangae kukutana na mwanafunzi wa elimu ya juu anaeandika na ukashindwa kusoma muandiko wake. Vijana wanafanya kazi za shule kwa kutumia computer, wanatumiana ujumbe kwa simu. Hii imefanya sanaa ya uandishi wa mkono kupotea. Vitabu siku hizi wanasoma kwenye kindle. Niliongea na binti...
  18. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani, je kwa bei hizi mpya za internet, TZ bado tuna nafuu au tumekuwa de-throned

    Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet?? Zifuatazo ni bei Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes rate ( 1 kes = 20.7 Tzs) Huko kwenu majirani hali ikoje??
  19. C

    JamiiForums Tanzania Inachekesha: Afisa wa TCRA naye analalamikia speed ya internet

    Mojawapo ya Top guns wa mamlaka ya mawasiliano naye analalamika kuhusu speed ya internet aitwaye Inncoent Mungi kama sikosei ni afisa mawasiliano na mmewe mtangazaji susan Mungi naye analalamika. Dah ila imekuwaje hii nchi Internet inachukuliwa kama anasa? ukiwasha redio kuna speech Rais samia...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Roaming ya Safaricom simcard Tanzania na internet yao

    Wajameni najua wengine wataleta dhihaka hapa ila nahitaji masaada kwa ambaye ameweza kutumia laini ya Safaricom Kenya kwa minajili ya internet , inafanyaje , charges zake?
Back
Top Bottom