This is too much! Internet sasa tukimbilie wapi?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Yaan leo ndio nimechoka km hali ndio hii hii serikal sidhan km ipo kwamaslah ya wananch bali ipo kwa maslah yake yeye yenyewe

Majuzi juz apo nilimsikia spika akisema kuwa sijui wapandishe kodi ili vijqna wasipate mda wa juingia mitandaon bali wafanye kaz sikujali sn nikapuuza ile taarifa

Ebwana eeh kumbe jamaa alikuwa kazamilia leo bando langu la mwez limeisha sasanataka nijunge la mwez tena dah aisee vifurush vimepunguzwa airtel 8GB ilikuwa 10000 saiz 10000 ni 3GB na tigo ilikuwa 10000 ni 7GB lakn saiz 10000 ni 2.5 GB how !!!!

Kama ndio nchi inaendeshwa kwa mawazo ya watu wachache tumekwisha hawa wanaweza kuamka hata kesho na kusema hairuhusiw kutumia internet mpaka uwe na chet cha form four na ikawa ivyo hii ni moja ya ajenda kubana uhuru wa habar maana uko ndio umbea unapatikana na sio TBC wala ITV online ni vurugu lkn mtambue kuwa sisi wengine tunatumia kwa kazi.
 
Eti vijana wasipate muda wa kuingia mtandaoni wafanye kazi

Hoja hizi mbona za kijinga sana? kama ni kweli ndio wamezitumia kukandamiza raia basi lile ni genge na sio bunge

Ni mwezi uliopita tu hapo tumetangaziwa na TRA kuwa pato liomeongezeka mara tatu, kitu ambacho hakikuwahi kufanyika kwa kipindi cha nyuma sasa pato hilo liliongezekaje wakati gharama ya bundle ilikua affordable na vijana walikuwa wanapata muda wa kuingia mitandaoni kazi hawafanyi?

Kama ishu kwao ni vijana wasiingie mitandaoni kwa lengo la kufikiri kufanya hivyo unawakomboa basi wamepotoka kwa maana hilo linaweza kudidimiza maendeleo ya hao vijana.

Watu wanatumia mitandao ku brand na kuuza biashara zao mikoani kwa nnjia ya mitandao na sehemu zingine ndani na nje ya nchi, sasa kundi hili la watu unalijengea mazingira gani?
 
Ndugulile si alisema baada ya mwez mmoja swala la vifurush litakua limekaa sawa lakin bado.. anywayz mim nina voda ya chuo kidgo ina vi ofa ofa

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa una mb kidogo una visit text related website kama JF, Twitter, fb etc sababu hazili bando sana.

Ukiwa na mb za kutosha una stream movies, unaingia YouTube, una stream games etc.

Kupunguza mb hakusaidii Watu kuto kuongea online Bali kuna ongeza Watu kuongea online sababu hata wale wanaoshinda kuangalia series watahamia JF na Twitter/FB sababu ndio vitu vinavyo kula mb kidogo.
 
aisee. Mda si mrefu tutawekewa curfew ya kutumia internet. Ikifika saa 2 asubuh wanazima internet wanawasha saa 2 usiku hadi saa 6 wanazima tena
 
hawa wanaweza kuamka hata kesho na kusema hairuhusiw kutumia internet mpaka uwe na chet cha form four na ikawa ivyo hii ni moja ya ajenda kubana uhuru wa habar maana uko ndio umbea unapatikana na sio TBC wala ITV online ni vurugu lkn mtambue kuwa sisi wengine tunatumia kwa kaz
hamia congo mkuu
 
Yaan leo ndio nimechoka km hali ndio hii hii serikal sidhan km ipo kwamaslah ya wananch bali ipo kwa maslah yake yeye yenyewe

Majuzi juz apo nilimsikia spika akisema kuwa sijui wapandishe kodi ili vijqna wasipate mda wa juingia mitandaon bali wafanye kaz sikujali sn nikapuuza ile taarifa

Ebwana eeh kumbe jamaa alikuwa kazamilia leo bando langu la mwez limeisha sasanataka nijunge la mwez tena dah aisee vifurush vimepunguzwa airtel 8GB ilikuwa 10000 saiz 10000 ni 3GB na tigo ilikuwa 10000 ni 7GB lakn saiz 10000 ni 2.5 GB how !!!!

Kama ndio nchi inaendeshwa kwa mawazo ya watu wachache tumekwisha hawa wanaweza kuamka hata kesho na kusema hairuhusiw kutumia internet mpaka uwe na chet cha form four na ikawa ivyo hii ni moja ya ajenda kubana uhuru wa habar maana uko ndio umbea unapatikana na sio TBC wala ITV online ni vurugu lkn mtambue kuwa sisi wengine tunatumia kwa kazi.
mitano tena
 
Ukiwa una mb kidogo una visit text related website kama JF, Twitter, fb etc sababu hazili bando sana.

Ukiwa na mb za kutosha una stream movies, unaingia YouTube, una stream games etc.

Kupunguza mb hakusaidii Watu kuongeza online Bali kuna ongeza Watu kuongea online sababu hata wale wanaoshinda kuangalia series watahamia JF na Twitter/FB sababu ndio vitu vinavyo kula mb kidogo.
Twitter haimaliza mb
 
Voda washenzi jana kifurushi changu cha 1500 kilipo isha nakuja kujiunga nakuta wamepandisha mpka 3500 nkasema hawanijui hawa nikawachunia leo wameshusha wenyewe
wanakupima kwanza
 
Nyie mnazungumzia Tigo ipii?
20210302_184317.jpg
 
Yaan leo ndio nimechoka km hali ndio hii hii serikal sidhan km ipo kwamaslah ya wananch bali ipo kwa maslah yake yeye yenyewe

Majuzi juz apo nilimsikia spika akisema kuwa sijui wapandishe kodi ili vijqna wasipate mda wa juingia mitandaon bali wafanye kaz sikujali sn nikapuuza ile taarifa

Ebwana eeh kumbe jamaa alikuwa kazamilia leo bando langu la mwez limeisha sasanataka nijunge la mwez tena dah aisee vifurush vimepunguzwa airtel 8GB ilikuwa 10000 saiz 10000 ni 3GB na tigo ilikuwa 10000 ni 7GB lakn saiz 10000 ni 2.5 GB how !!!!

Kama ndio nchi inaendeshwa kwa mawazo ya watu wachache tumekwisha hawa wanaweza kuamka hata kesho na kusema hairuhusiw kutumia internet mpaka uwe na chet cha form four na ikawa ivyo hii ni moja ya ajenda kubana uhuru wa habar maana uko ndio umbea unapatikana na sio TBC wala ITV online ni vurugu lkn mtambue kuwa sisi wengine tunatumia kwa kazi.
mwenye ugali akumbuki mwenye njaa yani ajira tukose na internet tukose? wao tukiziongelea posho zao wanakaa futi mia
 
Back
Top Bottom