Baada ya majaribio kadhaa sasa Facebook imeanzisha Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki na takribani mataifa 170. Instagram Lite inakuja kama mtoto anayefuata baada ya Facebook Lite.
Instagram Lite itachukua MB2 tu ya nafasi katika simu yako. Kupitia aplikesheni hii mpya utaweza kukomboa DATA...
Rasmi: Instagram imeanzisha "Live Rooms" sasa unaweza kwenda live na watatu. Kupitia live rooms utaweza kuendesha tukio mubashara huku ukiongeza watu zaidi, jumla ya watu wanne wataweza kuonekana kwa wakati mmoja.
Unaweza kuanza na mmoja au zaidi au kubadili wakati ukiwa hewani (Host + 1 or 2...
Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni.
Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
It is no doubt that SOCIAL MEDIA is fast becoming a part of our everyday day lives.
Currently, over 50% of the world's population use social media.
With the rapid increase of active social media users, you should figure out that social media is for your brand/business.
The big question is...
Habari humu wadau wa jukwaa hili?
Aseee naomba kujua Instagram niende wapi ili nikiwa naingia kuangalia video za mule zisiwe zinacheza maana naona bando linakuwa linaisha sana, yani niweke off kama inawezekana tafadhali 🙏
Jipya limeibuka wamarekan kulalamika account zao za instagram kufollow account ya Biden bila ruhusa yao.
Kwa tafiti zilizofanywa ni kwamba ilikuwa ni aibu kwa Biden kuwa na followers chini ya milioni 1 hivyo uamuzi wa haraka ilibidi ufanyike kuhakikisha kwa namna yoyote ile Biden inabidi apate...
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers.
Lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa...
Mtandao wa kijamii maarufu duniani kwa matumizi ya picha na video Instagram, yaongeza kipengele cha utambuzi picha endapo ni halisi au imehaririwa. Kipengele hiki kinaongezwa kuweka msukumo kwa watumiaji wachanga wa Instagram kuona si kila chenye kuonekana na mvuto ni halisi. Kipengele hiki...
Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa.
Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya...
Nakumbana na tatizo wakati wa upakiaji maudhui (Picha/Video) Instagram kupitia kompyuta. Nimetumia mbinu mbalimbali kuweza kutatua na kila jitihada pasi ya mafanikio, nawaza yaweza kuwa tatizo toka Istagram moja kwa moja. Kuna yeyote amekumbana na tatizo hili, Ipo namna ya kulitatua?
Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram.
Mpaka sasa post hiyo ina likes zaidi ya laki na ishirini ikiwa na comment zaidi ya elfu 20 ndani ya masaa 14 tangu ilipo postiwa huku...
Kama unatafuta mafundi wa garden/bustani nzuri na zakuvutia kwaajili ya majumbani,maofisini,shuleni,hotelini n.k tutafute kwa namba za simu 0687239674,0717580898 WhatsApp/calls popote tunafika Tz kwa Sasa tupo Dar es salaam..na Bei zetu ni nafuu.
Niaje niaje.
Moja Kwa moja kwenye mada, niliwahi kuwa na demu mmoja mkali sana, yaani yule manzi alikuwa ni mkali sana katika wanawake niliowahi kuwa nao wote yule demu bado ni namba mmoja .ila ALINIACHA vibaya Sana na Kwa kunionea yaani nilikaa miezi 3 sina appetite ya kula kitu chochote maana...
Habarini,
Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje
Nawasilisha,
Nawategemea.
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto...
Habari wakuu.
Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako.
Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu tuliburuza sana aise bila shida yoyote maana hakukuwa na swagga za kuonekana wewe unamiliki simu kali...
Idadi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania imeongezeka kwa kasi na kufikia 4.5 Milioni. Idadi hii imegawanyika katika makundi makubwa mawili,Kundi la kwanza ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa manufaa bila kuvunja Sheria,na Kundi la pili ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.