Instagram imeongeza muda wa Stories kutoka sekunde 30 na sasa kufikia 60. Kwa sasa watumiaji wa iOS ndio wanaweza kutumia kipengele hiki cha sekunde 60 na hivi karibuni kuwafikia Android.
December mwaka huu, Instagram itafuta app ya “Threads for Instagram” ambayo ilianzishwa tangu Mwaka 2019 ili kushindana na Snapchat.
Instagram imesema mwisho wa mwaka huu itafuta app ya Threads katika App Store na Google Play Store; na itakuwa haipatikani kwa watumiaji wote ambao bado...
Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa na akaunti ambazo Algorithm itahisi ni bot au Spam Account. Mfumo mpya utamhitaji mtumiaji mpya kujirekodi video fupi ya Selfie, ambayo inatumwa na kukaguliwa kama anayefungua akaunti ni mtu na sio robot.
Instagram itaanza...
Habarini wana jamvi,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nikilog in wanataka niverify kama akaunt ni ya kwangu, kwa hio wanatuma verification code kwenye namba ambayo nishaipotezaga
Na hamna option nyingine ya kupata hizo code.
Msaada kwa anae fahamu jinsi ya kusolve hilo🙏🏽
Tatizo lililo kumba kampuni ya facebook
Je, tatizo lilikuwa lipi?
Kwa ufupi, mifumo ya facebook ilishindwa kuwasiliana na mtandao duniani.
'Ni kama ambaye kuna mtu aliyeaathiri nyaya za kampuni hiyo katika kituo kikuu cha kutoa data na kuzitengenisha na intaneti' , ilielezea kampuni ya miundo...
Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
Mkurugenzi mtendaji na mmiliki wa Facebook ametangaza kurudi hewani kwa mitandao hiyo ambayo ni Facebook, WhatsApp, instagram na messenger ambayo inamilikiwa na facebook.
Mark Zuckerberg amesema mitandao hiyo imerudi hewani saa moja lililo pita na kuwaomba radhi watumiaji wake kwa kusema anajua...
Baada ya kukosekana kwa saa kadhaa kwa mitandao ya Facebook, WhatsApp, messanger na Instagram, mkurugenzi Mkuu wa Facebook ambayo ndio inamiliki mitandao tajwa
Bwana mark Zuckerberg amepoteza zaidi ya Tshs. Trilioni 13.8 na kupelekea kushuka mpaka nafasi ya 6 ya mtu tajiri duniani akitoka nafasi...
Huyu dada bwana sijui ni kweli anapitia shida ama ni uigizaji?
Kwenye interview moja na Diva clouds alionekana akilia maisha magumu na kutaka kujiua.
Leo hii anaibuka insta akiwa kang'aa
Cheki alichoambiwa
Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 151K kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa
Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana wa utopolo kina Aucho mbona wao ndiyo mara ya kwanza wamepambana wewe una mechi 3 na utopolo...
Habari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu...
Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini..
Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz
#forgive me.
Sasisho jipya la Instagram linawataka wote wanaojiunga na mtandao huo wa kijamii kuandika umri wao, vinginevyo hawataweza kujiunga na mtandao huo.
Hatua hiyo mpya ya Instagram haitawaathiri wote ambao wamekwishajisajili kwenye mtandao huo, lakini itawalenga wateja wapya wanaojisajili, ikiwa na...
Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria.
Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na...
Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?
Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.