Inadaiwa kuwa Instagram inalazimisha Wamarekani kufollow page ya Biden bila hiari yao. Je, umaarufu ni lazima?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
blocked-wh.jpg


Jipya limeibuka wamarekan kulalamika account zao za instagram kufollow account ya Biden bila ruhusa yao.

Kwa tafiti zilizofanywa ni kwamba ilikuwa ni aibu kwa Biden kuwa na followers chini ya milioni 1 hivyo uamuzi wa haraka ilibidi ufanyike kuhakikisha kwa namna yoyote ile Biden inabidi apate followers wengi ambapo kwa sasa kapiga hatua kutoka followers milioni 1 hadi milioni 18

Jambo hili halijaishia hapa tu, watu waki unfollow au kublock page ya instagram ya Biden, Basi ni baada ya masaa machache tu hulazimishwa kui follow upya kitu ambacho ni cha ajabu sana maana page zingine uki unfollow au ku block huwa hazionekani.
 
Kwa hiyo hao million 18 wamelazimishwa kumfollow Biden acha uongo
Kwani kipi kinashindikana kama Instagram wameanza hii michezo ya watu kukuta account zao zimem follow biden bila hiari yao.

Biden alikuwa anaumizwa sana alipokuwa na followers chini ya milioni 1, ilibidi chochote kifanyike aibu hii ifutike na bahati yake ni kwamba hao instagram ni left wing instrument.

Jambo limetiki kutoka followers milioni 1 hadi 18 ndani ya mda mfupi, pongezi awape instagram waliofanya yao bila aibu kufanya account za watu kumfollow biden bila hiari ya wamilikinwa account ambao kwa sasa wanauweka wazi uchafu huu unaoendelea
 
Wange edit tu waongeze sufuri mbili kwenye moja. Iwe 100, kama ambavyo wasafi wanafanya huko YT
 
Kwani kipi kinashindikana kama Instagram wameanza hii michezo ya watu kukuta account zao zimem follow biden bila hiari yao...
Biden ana miaka 79 yeye na Instagram wapi acha uongo Kama ndo hivyo tungesikia kwenye mainstream media hii skendo ni kubwa kaka

"Majungu sio mtaji"
 
Hizo accounts sio za Joe Biden. Hizo accounts ni za serikali ya Marekani: mojawapo ni ya rais (POTUS) na nyingine ni ya ikulu ya Marekani (White House).

Hizo accounts hazihusiani na account binafsi ya Joe Biden ambayo ipo tangu mwaka 2018 na ina wafuasi wapatao milioni 18.
 
Biden ana miaka 79 yeye na Instagram wapi acha uongo Kama ndo hivyo tungesikia kwenye mainstream media hii skendo ni kubwa kaka

"Majungu sio mtaji"
Kweli haya mambo wewe mgeni, mainstream medua kama cnn wapi na wapi waanze kutangaza hizi habari, wanamilikiwa na democrats ndio maana hawawezi.
 
Yaan Fox news, na Breitbart wasiitangaze na wote nawasoma kila siku acha uongo ndugu
Mkuu wewe bado ni mgeni sana haya mambo, Fox news hao walisjawekwa mfukoni, wanataka kurudisha hadhi yao ya kuwa neutral lakini its too late.
 
Mkuu wewe bado ni mgeni sana haya mambo, Fox news hao walisjawekwa mfukoni, wanataka kurudisha hadhi yao ya kuwa neutral lakini its too late.
Waliwekwa mfukoni kivip, acha upotoshaji nimekutajia most conservative media Breitbart mbona hawajaitangaza hio habari na kila siku nasoma habari zao
 
Waliwekwa mfukoni kivip, acha upotoshaji nimekutajia most conservative media Breitbart mbona hawajaitangaza hio habari na kila siku nasoma habari zao
Kwani ni lazima watangaze kila habari inayotokea??,Wewe ni kila habari huwa unaipata kwenye TV networks??...yaani habri isipotangazwa na fax news au cnn basi haikutokea?

Hebu usiwe narrow minded kiasi hicho, jama ameweka hadi ushahidi wa attachment hapo juu. wewe bado unakomaa na cnn na fox. Kwa mfano Kwani hujui kuna watu huwa wanaongeza au kupunguza viewers Youtube? Hii michezo ipo, sasa wewe subir CNN waje wakwambie youtube wanachezea viewers/subscribers.
 
Kwani ni lazima watangaze kila habari inayotokea??,Wewe ni kila habari huwa unaipata kwenye TV networks??...yaani habri isipotangazwa na fax news au cnn basi haikutokea?

Hebu usiwe narrow minded kiasi hicho, jama ameweka hadi ushahidi wa attachment hapo juu. wewe bado unakomaa na cnn na fox. Kwa mfano Kwani hujui kuna watu huwa wanaongeza au kupunguza viewers Youtube? Hii michezo ipo, sasa wewe subir CNN waje wakwambie youtube wanachezea viewers/subscribers.
Hii skendo ni kubwa sana hivi unazijua conservative media, tatizo lako na watanzania wengi hamzijui na kuzifuatilia conservative media

Kama sasa conservative media ni mwendo wa kumponda Biden mwanzo mwisho haiwezekani habari kama hio waiache ipite hivi hivi, habari Kama hio Tucker Carson au Sean hannity asiongelee never.
 
Hii skendo ni kubwa sana hivi unazijua conservative media, tatizo lako na watanzania wengi hamzijui na kuzifuatilia conservative media

Kama sasa conservative media ni mwendo wa kumponda Biden mwanzo mwisho haiwezekani habari Kama hio waiache ipite hivi hivi, habari Kama hio Tucker Carson au Sean hannity asiongelee never
Conservative media nazijua na nazifuatilia sana tu,hiyo issue ya kuchagua upande kati ya Conservative na Libaral media sioni kama ni geni na sijui ni kwa nini unashangaa katika hilo maana lipo katika chaguzi zote na hata vita ambayo marekani inapigana pia huchagua upande.

Ila ninachokuhakikshia na ni fact ni kwamba,Liberal mediaa are very powerfull 20x kuliko conservative media.media kama CNN,MSNBC, CBS, Washington Post, New york Times yote hayo ni ant conservative believes and values.

Tukija kwenye Silicon Valley social media Tech giants kama Google, Twitter, Facebook, Instagram wote hawa ni Liberal sided Medias. Finaly nachosema ni kwamba Dunia na Marekani are 20X to be indocrinated by liberal propaganda than conservative propagandas, and this is fact.
 
Conservative media nazijua na nazifuatilia sana tu,hiyo issue ya kuchagua upande kati ya Conservative na Libaral media sioni kama ni geni na sijui ni kwa nini unashangaa katika hilo maana lipo katika chaguzi zote na hata vita ambayo marekani inapigana pia huchagua upande...Ila ninachokuhakikshia na ni fact ni kwamba,Liberal mediaa are very powerfull 20x kuliko conservative media.media kama CNN,MSNBC,CBS,Washington Post,New york Times yote hayo ni ant conservative believes and values.Tukija kwenye Silicon Valley social media Tech giants kama Google,Twitter,Facebook, Instagram wote hawa ni Liberal sided Medias.Finaly nachosema ni kwamba Dunia na Marekani are 20X to be indocrinated by liberal propaganda than conservative propagandas, and this is fact...
Tatizo la conservative wa leo wamekua wakiongozwa na conspiracy theorist, na uongo mfano kipindi Cha Obama Trump alishikilia bango kwamba Obama ajaziliwa marekani kumbe ni uongo, baadae baada ya Trump kuwa rais akakanusa kwamba ule ni uongo akasema Obama kazaliwa marekani

Na ndo maana zile sehemu zote ambazo zinawasomi wengi democratic wanashinda kirahisi, huku zile sehemu watu Wana elimu ndogo na vijijin walishinda Republican kwa sababu ya upeo mdogo wa kungamua mambo

Liberal media wananguvu sababu wanaongoza na common sense tofauti na conservative wanaongozwa na conspiracy theorist, ndo maana fox news wameshtakiwa waprove mahakamani kwamba trump aliibiwa kura na wahaha kwa sababu prove hawana na wasipolipa wanatakiwa walipe mabilion ya fedha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom