Haya mataifa mawili yamekua na uhasama wa mda mrefu sana.
China baada ya kutoa toleo lao jipya la aircraft carrier ,India nao wamefyetua yao ili kujibu mapigo.
Hahaaaa inachekesha sana mchina na mhindi kuchapana ,ukichek muvi zao ni katuni tupu hazina hata uhalisia ,je wakichapana si ndio...
Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1.
Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kikazi Nchini India kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh.
Hii ni ziara yake ya kwanza ya kutembelea India tangu alipoteuliwa kuiongoza Wizara hii Septemba 12, 2021.
Wakati wa...
Hii nayo mlaumu Marekani.
Uchina apeleka kibabe babe meli yake Sri-Lanka yenye uwezo wa shughuli za kijasusi, India yalalamika kwamba huu ni uchokozi wa hali ya juu.
=========
A Chinese research ship has docked in Sri Lanka's Hambantota port despite Indian concerns.
The Yuan Wang 5 was given...
Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki
Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki wao katika michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake U-17 inayotarajiwa kufanyika hapohapo India...
INDIA YAWAPA MEDALI MASHUJAA WA MADOLA
Na John Mapepele
Serikali ya India imewapongeza mashujaa wa Tanzania waliorejea na medali kutoka kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyomalizika hivi karibuni nchini Uingereza.
Zawadi na Medali hizo zimetolewa na Ubalozi wa India kwa wachezaji...
Leo ni sherehe za uhuru nchini India toka walipopata uhuru kutoka kwa Muingereza mwaka 1946. Kwa miaka 75 India imejenga uchumi unaokua haraka zaidi huku ikiwa imebeba miongoni mwa watu matajiri zaidi duniani na kulingana na umoja wa mataifa punde itaipita China kwa idadi ya watu.
"Muda umefika...
Serikali ya India imeondoa Muswada wa ulinzi wa data na faragha wa 2019 unaotajwa kuipa Serikali Mamlaka ya kuuliza Kampuni kutoa taarifa binasfi za Wateja wa Kampuni za Teknolojia ili kusaidia kutunga Sera, kinyume na Sera za Kampuni hizo
Serikali imesema hatua hiyo ni baada ya mapitio ya...
Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
Bilauri ya Mfalme Jehangir wa Mughal India. Inasadikika sumu ikiwekwa katika emerald ina react, hivyo Wafalme wa zamani walitumia vyombo vya emerald kama sehemu ya kujilinda. Vyombo hivyo vilitengenezwa Persia.
Inaripotiwa kuwa, Maafisa wamevamia na kupekua Ofisi kadhaa za Kampuni ya Kielektroniki ya Vivo kutoka China kufuatia shutuma za utakatishaji Fedha. Mapema mwaka huu, upekuzi wa aina hiyo pia ulifanywa kwa Xiaomi na Huawei
Vivo imejijengea jina kubwa Nchini India, ikielezwa imeajiri Wahindi...
Kampuni ya Twitter imeishtaki Serikali ya India kupinga baadhi ya maagizo ya kuzuia 'Tweets' na Akaunti mbalimbali zikiwemo za Vyama vya Siasa, ikisema kuzizuia ni ukiukwaji wa Uhuru wa Kujieleza.
Mashtaka hayo yanakuja baada ya mwaka mmoja na nusu uliotajwa kuwa mgumu kwa Twitter Nchini humo...
Mamlaka yenye dhamana ya kulinda Watumiaji Nchini humo imepiga marufuku Hoteli na Migahawa kuwatoza Wateja Gharama za Huduma (Service Charge) baada ya malalamiko ya wateja kulazimishwa kulipa kuongezeka
Inaelezwa kuwa, Migahawa mara nyingi huongeza 5% hadi 15% kwa Malipo ya Mteja. Mbali na...
Kuna kijana anasoma India katika mji mmoja anasema tunda ghali hapo ni Parachichi linauzwa elfu tano ya Tanzania, sasa Sie tuna ndege inaenda India mara mbili kwa wiki hawa wajasiliamali wa sido wameshindwq kweli kuuza Parachichi India?
Kwema wakuu
Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka...
Uchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege
Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata...
Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu.
Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India...
Tukio la kustaajabisha limetokea India ambapo tembo alimuua Maya Murmu, mwanamke wa miaka 70 aliyeenda kutafuta maji huko kijijini Raipal, Mashariki mwa India. Tembo huyo alitokea na kumshambulia mama huyo ambaye alifariki akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rasgovindpur.
Siku ya mazishi...
Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi.
Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.