FIFA yatangaza kuifungia India kujihusisha na soka kwa muda usiojulikana

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
fifa-AIff-lead-pic-1.jpg

Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki wao katika michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake U-17 inayotarajiwa kufanyika hapohapo India, Oktoba 2022.

"Ofisi ya Baraza la FIFA imeamua kwa kauli moja kusimamisha AIFF mara moja kutokana na ushawishi usiofaa kutoka kwa watu wengine, ambayo ni ukiukaji mkubwa wa Sheria za FIFA," - FIFA.

FIFA imesema adhabu hiyo itaendelea hadi pale AIFF itakapokuwa na mamlaka ya kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa, baada ya Mahakama ya raia kuingilia utendaji wa shirikisho hilo.

-----------------

FIFA Suspends Indian Football Federation Over Third-Party Influences

FIFA on Monday suspended the Indian football federation with "immediate effect due to undue influence from third parties", jeopardising the country's staging of the U-17 Women's World Cup in October.

World football's governing body called the infraction a "serious violation of the FIFA Statutes".

The suspension will remain in place until the All India Football Federation (AIFF) regains full control of its daily affairs, FIFA said in a statement.

The AIFF is in disarray and being run by administrators after former chief Praful Patel stayed in office beyond his term without fresh elections, which courts ruled invalid.

India is due to host the U-17 Women's World Cup from October 11-30. The 2020 tournament in India was cancelled and then postponed because of the Covid-19 pandemic.

============

The Bureau of the FIFA Council has unanimously decided to suspend the All India Football Federation (AIFF) with immediate effect due to undue influence from third parties, which constitutes a serious violation of the FIFA Statutes.

The suspension will be lifted once an order to set up a committee of administrators to assume the powers of the AIFF Executive Committee has been repealed and the AIFF administration regains full control of the AIFF’s daily affairs.

The suspension means that the FIFA U-17 Women’s World Cup 2022™, scheduled to take place in India on 11-30 October 2022, cannot currently be held in India as planned. FIFA is assessing the next steps with regard to the tournament and will refer the matter to the Bureau of the Council if and when necessary.

FIFA is in constant constructive contact with the Ministry of Youth Affairs and Sports in India and is hopeful that a positive outcome to the case may still be achieved.
 
View attachment 2325227
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki wao katika michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake U-17 inayotarajiwa kufanyika hapohapo India, Oktoba 2022.

"Ofisi ya Baraza la FIFA imeamua kwa kauli moja kusimamisha AIFF mara moja kutokana na ushawishi usiofaa kutoka kwa watu wengine, ambayo ni ukiukaji mkubwa wa Sheria za FIFA," - FIFA.

FIFA imesema adhabu hiyo itaendelea hadi pale AIFF itakapokuwa na mamlaka ya kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa, baada ya Mahakama ya raia kuingilia utendaji wa shirikisho hilo.

-----------------

FIFA Suspends Indian Football Federation Over Third-Party Influences

FIFA on Monday suspended the Indian football federation with "immediate effect due to undue influence from third parties", jeopardising the country's staging of the U-17 Women's World Cup in October.

World football's governing body called the infraction a "serious violation of the FIFA Statutes".

The suspension will remain in place until the All India Football Federation (AIFF) regains full control of its daily affairs, FIFA said in a statement.

The AIFF is in disarray and being run by administrators after former chief Praful Patel stayed in office beyond his term without fresh elections, which courts ruled invalid.

India is due to host the U-17 Women's World Cup from October 11-30. The 2020 tournament in India was cancelled and then postponed because of the Covid-19 pandemic.
Hapa ndo hua nawapendea FIFA. .. hawataki mchezo kabisa wanasiasa kuingia kuingilia mpira

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mbona uingereza kwa chelsea walikaa kimya? Halafu na hii ya urusi imekaaje?
 
Back
Top Bottom