india

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania India yasema dawa zilizoua watoto Gambia hazina madhara yoyote

    Barua ya Dkt. VG Somani, Mdhibiti Mkuu wa Dawa iliyotumwa kwa Mkurugenzi Shirika la Afya (WHO) anayesimamia Udhibiti na Sifa za Dawa imesema dawa hizo zilizingatia Viwango vyote vya Usalama. Dawa hizo zililalamikiwa na Serikali ya Gambia baada kuwepo ongezeko la Watoto wenye chini ya miaka 5...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 22 wafariki nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu

    Takriban watu 22 wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa hospitali nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu. Vifo hivyo vimetokea katika vijiji viwili kwenye jimbo la Bihar, ambapo uuzaji na unywaji wa vileo umepigwa marufuku. Katika tukio hilo wanaume katika wilaya ya Saran walianza...
  3. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mapigano mafupi yametokea kwenye mpaka wa India na China

    Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020. Samahani kwa msiojua kingereza, Ila kwa mwendo huu ni wazi marekani ataendelea kutawala mpaka Leo hii china na India...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania India: Polisi walaumu panya kula Kilo 200 za bangi zilizotakiwa kutumia kama ushahidi

    Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi. Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky wa Ukraine anaweza kuitumbukiza dunia kwenye janga la vita kuu ya dunia

    Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine. Anaona haitoshi kupewa silaha na...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

    Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania. Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba). Hii ni syndicate. Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waliofungwa kwa kubaka, kuua na kuchoma moto waachiwa huru India

    Mahakama ya Juu imewaachia huru wanaume 3 waliokutwa na hatia hiyo ikiwemo kumchoma moto msichana wa miaka 19 mwaka 2012. Kwa mujibu wa Majaji 3 wa Mahakama hiyo wamesema kesi ilikuwa na upungufu mkubwa wa ushahidi wa uhakika, thabiti na wa wazi huku wakimlaumu Jaji aliyewafunga wanaume hao...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania India: Watu 132 wafariki baada ya daraja la waenda kwa miguu kuporomoka

    Takriban watu 132 wengi wako wakiwa ni Watoto, Wanawake na Wazee, wamepoteza maisha wakati daraja la waenda kwa miguu la Morbi likiporomoka katika Jimbo la Magharibi la Gujarat Mashuhuda wanasema ajali hiyo imetokana na daraja hilo (ambalo lilifunguliwa tena wiki moja tu iliyopita baada ya...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Kama swali hili wangeulizwa wanafunzi wa Tanzania wangetoa majibu kama ya wanafunzi hawa wa India?

    Doc Benway 4 hours ago I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nitakulipa vizuri ukinipa hotuba ya Nyerere kama India Republic Day Guest of Honour, 26 January 1971

    Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971. Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India Nimeuliza ubalozi wa...
  11. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Nyota ya mmasai Kili Paul inavyozidi kung'aa huko India

  12. CORAL

    JamiiForums Tanzania Mbwa azikwa kwa heshima zote za serikali nchini India

    Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi. Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu. Lakini tukio lililompa umaarufu mkubwa ni wakati magaidi toka Pakistan walipotega mabomu mjini...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania India: Serikali yasitisha uzalishaji wa dawa zilizoua watoto Gambia

    Waziri wa Afya Anil Vij, amesema uamuzi huo umechukuliwa baada Mamlaka kukagua kiwanda cha Maiden kilichotengeneza dawa hizo na kubaini ukiukwaji wa masharti 12 ya viwango vya ubora. Katika taarifa ya Mkaguzi wa Dawa alijiridhisha kuwa kiwanda hicho hakikufanya majaribio ya dawa 3 kati 4...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania India: Wanakijiji wazima intaneti, TV kwa muda ili wazungumze

    Wakazi wa Kijiji cha Maharashtra wamedai wamejitangazia uhuru kutoka katika Dunia ya digitali baada ya kuchukua hatua hiyo ili kuwawezesha wananchi kupata muda wa kuzungumza. Uamuzi huo umefikiwa ambapo wanazima TV na intanenti kila siku Saa 1:00 Usiku hadi 2:30 Usiku wakiamini teknolojia hiyo...
  15. mkalamo

    JamiiForums Tanzania INDIA yachagua amani mzozo wa Ukraine

    Na Yoshita Singh HUKU mzozo wa Ukraine ukiendelea kwa miezi kadhaa, siku ya Jumamosi lndia ililiambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba iko upande wa amani na upande unaotaka mazungumzo na diplomasia ndio njia pekee ya kutokea. Mzozo wa Ukraine unapoendelea kupamba moto, mara nyingi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Apple inaanza kutengeneza iPhone 14 nchini India

    Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China. Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Serikali iishawishi TFF iwatoe kifungoni ndugu Dauda na Manara ili waambatane na Serengeti Queens huko India

    Serikali kupitia Wizara ya Michezo iishawishi TFF iwatoe kifungoni bwana Shaffih Dauda na Haji Manara kwa maslahi ya nchi kwenye upande wa hamasa wa Timu zetu za Taifa. Pamoja na mapungufu ya wadau hao wa Soka bado ni watu muhimu kwenye uga wa hamasa na kukosea kwao isiwe sababu ya kushindwa...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania India yamchoka Putin, yamuagiza aache vita

    Maswahiba wa Putin wameanza kuchoka kumsubiri, walitegemea ataparamia Ukraine kwa siku chache ila kwa ambavyo anapokea za uso, wameanza kumsema sema. India imejitokeza wazi, bado China na Iran, sema kwa China mnufaika wa hivi vita itaendelea kuomba visiishe. Iran haiwezi kubadilisha msimamo...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania India: Serikali yafunga Shule 34 baada ya Wanafunzi wote kufeli mitihani

    Mamlaka za Jimbo la Assam lililopo Kaskazini-Mashariki mwa Nchi hiyo zimefikia uamuzi wa kufunga shule 34 baada ya Wanafunzi wengi kufanya vibaya katika mitihani na kuwahamishia katika shule nyingine Maelfu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Jimbo hilo walifanya mtihani wa Cheti cha...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Local Clerk at Embassy /High Commission of India

    HIGH COMMISSION OF INDIA DAR-ES-SALAAM VACANCY Applications are invited for recruitment against one post of Local Clerk in the High Commission of India, Dar es Salaam as per the following terms and conditions: Minimum Education Qualifications: Graduate with working knowledge of Computer Age ...
Back
Top Bottom