Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa kufanya hivyo Marekani ilidhani kuwa itakuwa imeiangamiza kabisa Urusi kiuchumi!!

Kama hiyo haitoshi m,arekani ikasusia kununua mafuta ya urusi na kuiwekea vikwazo lukuki vya kiuchumi ikishirikiana na mataifa mengine ya magharibi ikijumuisha pia Japan, Australia na New Zealand!! Kwa mahesabu ya marekani, ilijua kabisa kuwa urusi itapotea kiuchumi maana ilifutwa pia kwenye mfumo wa usafirishaji pesa wa kimataifa SWIFT.

Kinyume na matarajio ya marekani, uchumi wa urusi umezidi kupeta na pesa yake ruble kuwa na nguvu sana kuliko ilivyokuwa kabla ya vikwazo!! Kwa maana hiyo m,arekani ikajua kuwa imegonga mwamba!! Marekani ilipogomea mafuta India na China wameyavamia kwa kasi na hivyo Urusi kuendelea kupata!! Sasa bila aibu Marekani inapanga kuzishirikisha nchi za India na China kuidhulumu mafuta yake!!

Eti Marekani ndiyo ipange bei kiduchu ya mafuta ya urusi halafu izishirikishe India na China kugomea bei halisi ya mafuta ya urusi na zidai kuuziwa mafuta hayo kwa bei kiduchu iliyopangwa na Marekani!! Kwa akili ya Marekani inaona hilo linawezekana!!! Unajua mtu akiwa katili anaona bila aibu kabisa kuwa wengine wanaweza kukubaliana na ukatili wake.

Awali Marekani ilizitishia India na China ziache kununua mafuta ya Urusi vinginevyo ITAZIWEKEA VIKWAZO!! Hizo nchi hazikukubali, zikapuuza vitisho vyake na sasa ndo Marekani imekuja na plan B ya kuzitaka zidhulumu mafuta ya Urusi kwa kutaka ziuziwe mafuta kwa bei ya kutupa!! Hiyo itakuwa ni option ya mwisho kabla ya Marekani hajainyoshea mikono Urusi!! Siamini kama China na Urusi zitakubaliana na ujambazi huo wa Marekani!!

US wants China, India to pay Russia less for crude​

Washington is trying to create a buyers’ cartel that would set a price limit on Russian oil
US wants China, India to pay Russia less for crude

The US State Department believes that China and India, the two current major buyers of Russian oil, should be part of the proposed oil price cap mechanism, Assistant Secretary of State for the Bureau of European and Eurasian Affairs Molly Montgomery said on Wednesday.

China and India are importers of Russian oil, and I can say that we are working very actively with partners and allies to help develop a proposal [to limit the price of Russian oil],” Montgomery said during a press briefing.
 
Haya tuambie sasa kwa nini balozi za US zimejaa waomba visa kuanzia wanaotaka kufanya kazi, kuishi, kusoma hadi asylum seekers.

Tuambie kwa nini kuna misururu na migogoro ya maelfu ya wahamiaji na wakimbizi katika mipaka ya US na EU hadi baadhi ya wanasiasa wa huko wanatumia suala la wahamiaji kama agenda ya kushinda uchaguzi.

Kwa nini Russia nchi kubwa yenye raia wachache sio kimbilio la wahamiaji kutoka popote? Kwa nini Sio China au Brazil??

Kwa nini Warusi na Wachina wengi wa kila aina wanakimbilia US ila sio kinyume chake?

Kwa nini Urusi inaiba hadi raia wa Ukraine kwa nguvu kuwahamishia sehemu za mafichoni Russia ili wasirudi kwao??

Leta ufafanuzi na wa haya pia kama kichwa chako kiko sawa.
 
Irrelevant reply to the post
 
Umesoma uzi unasema nn alafu ww umeandika nn
 
Oyaaaaaaaaaaa tuliwambia humu tim nato weusi

Italy's Mario Draghi resigns. Another one bites
Kuna habari kwamba Rais au Waziri mkuu wa Latvia nae kahamua kubwaga manyanga - sitaona ajabu kama wa Finland na Sweden watafuata mkumbo, Nchi za Ulaya zimelikoroga vibaya sana kwa kufuata ushauri potofu wa Merikani - mataifa ya Ulaya walikuwa hawajui kwamba Biden ana chuki binafsi na Putin, wala hilo halifichi kabisa!!
 
"Marekani imepokonya billion za dollar za marekani" . Stop it bro

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Haya tuambie sasa kwa nini balozi za US zimejaa waomba visa kuanzia wanaotaka kufanya kazi, kuishi, kusoma hadi asylum seekers.

Tuambie kwa nini kuna misururu na migogoro ya maelfu ya wahamiaji na wakimbizi katika mipaka ya US na EU hadi baadhi ya wanasiasa wa huko wanatumia suala la wahamiaji kama agenda ya kushinda uchaguzi.

Kwa nini Russia nchi kubwa yenye raia wachache sio kimbilio la wahamiaji kutoka popote? Kwa nini Sio China au Brazil??

Kwa nini Warusi na Wachina wengi wa kila aina wanakimbilia US ila sio kinyume chake?

Kwa nini Urusi inaiba hadi raia wa Ukraine kwa nguvu kuwahamishia sehemu za mafichoni Russia ili wasirudi kwao??

Leta ufafanuzi na wa haya pia kama kichwa chako kiko sawa.
Point yako ni nini. Toa statement, yani unataka kutuambia kwa sababu watu wengi wanakimbilia marekani ndo una justify kua marekani ni taifa zuri?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kuna habari kwamba Rais au Waziri mkuu wa Latvia nae kahamua kubwaga manyanga - sitaona ajabu kama wa Finland na Sweden watafuata mkumbo, Nchi za Ulaya zimelikoroga vibaya sana kwa kufuata ushauri potofu wa Merikani - mataifa ya Ulaya walikuwa hawajui kwamba Biden ana chuki binafsi na Putin, wala hilo halifichi kabisa!!
Sri Lanka nako ni mkumbo wa Marekani ?
 
Back
Top Bottom