Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,355
11,500
DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema.

Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.

 
DED yupi,alieondoka kwenda kibaha mshamu munde au huyu mpya mwantumu mgonja?
Rudia andiko lako,ndugu.
 
Back
Top Bottom