Inawezekana watu waliokimbia nchi wanashindwa kurudi kwa sababu Bashite bado Yuko uraiani, na hajachukuliwa hatua?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,684
Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi.

Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja kaamua isiwe tabu, akaibuka kutoka shimoni na kusema "wasaidizi" wa JPM wanalengwa, kwanza najiuliza, Kuna wasaidizi wa JPM zaidi ya mama Samia na Majaliwa? Yeye "alimsaidia" nini hasa? Na anasema Kuna tetesi kwamba, kupitia "usaidizi" aliotoa kwa JPM, anaweza kufikishwa mahakamani.

Ni "Msaidizi" huyu pekee ambaye alikuwa anazunguka na kikosi Cha watu wenye silaha, na mmoja kati anayehofu kurudi nchini, alishambuliwa na kikosi Cha watu wenye silaha, ni huyu ndugu ambaye, japo alivamia kituo Cha redio na kikosi Cha watu wenye silaha, hakuchukuliwa, hatua, na pia kikosi Cha wenye silaha kilichofurumusha marisasi pale dodoma hakijachukuliwa hatua. Je imetokea tu kwa bahati kikosi hakichukuliwi hatua mara mbili?.

Kwa nini ana hofu?
 
Haya utuambie hao maana Sisi hatuwajui .........waliokimbia ni kina Nani na majina Yao na walikimbilia nini bila kukimbizwa vinginenvyo na hapo wewe utakuwa na chuki na jamaa aliyesema anaishi vizuri kuliko wote au siyo mwenye chuki boya
 
Hata kama kusoma hujui, macho yanaweza kuangalia picha
 
Mwenyewe anakimbiza uhai wake usinyofolewe ..sasa huo muda wa kuwanyofoa wengine anautoa wapi? Au kundi lao bado wanaua kimyakimya sababu walishazoea hiyo kaz?
 
Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi.

Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja kaamua isiwe tabu, akaibuka kutoka shimoni na kusema "wasaidizi" wa JPM wanalengwa, kwanza najiuliza, Kuna wasaidizi wa JPM zaidi ya mama Samia na Majaliwa? Yeye "alimsaidia" nini hasa? Na anasema Kuna tetesi kwamba, kupitia "usaidizi" aliotoa kwa JPM, anaweza kufikishwa mahakamani.

Ni "Msaidizi" huyu pekee ambaye alikuwa anazunguka na kikosi Cha watu wenye silaha, na mmoja kati anayehofu kurudi nchini, alishambuliwa na kikosi Cha watu wenye silaha, ni huyu ndugu ambaye, japo alivamia kituo Cha redio na kikosi Cha watu wenye silaha, hakuchukuliwa, hatua, na pia kikosi Cha wenye silaha kilichofurumusha marisasi pale dodoma hakijachukuliwa hatua. Je imetokea tu kwa bahati kikosi hakichukuliwi mara mbili?.

Kwa nini ana hofu?
Tz inawatu 60mil.huyo mmoja asituharibie nchi , kwenda zake hawezi pumnguza bei ya mkate achana Naye.
 
Kumbe walimkimbia Makonda, siyo Magufuli kama walivyosema mwanzo!!?
 
Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi.

Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja kaamua isiwe tabu, akaibuka kutoka shimoni na kusema "wasaidizi" wa JPM wanalengwa, kwanza najiuliza, Kuna wasaidizi wa JPM zaidi ya mama Samia na Majaliwa? Yeye "alimsaidia" nini hasa? Na anasema Kuna tetesi kwamba, kupitia "usaidizi" aliotoa kwa JPM, anaweza kufikishwa mahakamani.

Ni "Msaidizi" huyu pekee ambaye alikuwa anazunguka na kikosi Cha watu wenye silaha, na mmoja kati anayehofu kurudi nchini, alishambuliwa na kikosi Cha watu wenye silaha, ni huyu ndugu ambaye, japo alivamia kituo Cha redio na kikosi Cha watu wenye silaha, hakuchukuliwa, hatua, na pia kikosi Cha wenye silaha kilichofurumusha marisasi pale dodoma hakijachukuliwa hatua. Je imetokea tu kwa bahati kikosi hakichukuliwi hatua mara mbili?.

Kwa nini ana hofu?
Bashite is no more.. Naye sasa ni mkimbizi.. Kutwa wanamkimbiza huku na kule mara aitwe Buza, mara Masaki mara Kwa mfipa.. Basi shida tupu
 
Back
Top Bottom