Je, inawezekana mtoto aliyezaliwa na maambuki ya HIV kukaa hadi miaka 5-7 bila kuonyesha dalili yoyote

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Nov 24, 2018
363
632
Wanabodi..

Naomb kuuliza, je inawezekana mtoto aliyezaliwa na maambuki ya HIV kukaa hadi miaka 5-7 bila kuonyesha dalili yoyote ya kiafya na hatumii dawa yoyote?

Huwa inachukua muda gani mtu kuanza kuonyesha dalili za kuwa na maambukizi? Je, mtu anaweza kukaa hata miaka 5-10 na hutumii dawa na haonyeshi dalili zozote?
 
Back
Top Bottom