Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,567
Wanabodi,
Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni.

Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika.

Mimi Paskali Mayalla, japo ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia nilisomea sheria, LL.B, UDSM, ile kutua tuu UDSM, siku ya kwanza kipindi cha Kwanza ni LW 101, unajua mwalimu wangu wa kwanza kabisa UDSM alikuwa nani?... alikuwa ni Dr. Tulia Akson!, enzi hizo ni tutorial assistant ndio kwanza amemaliza masters yake!.

Prof. Issa Gulamhussein Shivji na Prof. Palamagamba Kabudi, walitufundisha LW. 200 ndio yenye Katiba, nilifumua A, utadhani mtihani nilikuwa natunga mimi!. Hivyo kwenye hoja hii ya Katiba ya Chadema, mimi naizungumza as an authority, katiba ya Chadema ina mapungufu makubwa!, ina vipengele vinavyokwenda kinyume na katiba ya JMT!. Katiba ya JMT ndio sheria mama!, sheria nyingine yoyote inayokwenda kinyume cha katiba ya nchi, ni batili!, hivyo katiba ya Chadema ni katiba batili!.

Katiba ni kakitabu kadogo tuu, ila kukaelewa ni shughuli. Kabla ya chama chochote cha siasa kusajiliwa ni lazima kiwasilishe katiba yake kwa Msajili wa vyama, ipitiwe na wataalamu wa katiba, wajiridhishe kuwa iko sawa na inaendana na katiba ya nchi.

Hivyo hata Chadema, iliposajiliwa kwa mara ya kwanza ile 1992, iliwasilisha katiba fulani amaizing iliyokuwa nzuri kabisa, yenye kipengele cha ukomo wa uongozi mwisho ni vipindi viwili vya miaka 5 na mwanachama wa Chadema alikuwa huru kuitafuta haki yake mahakamani.

Mwaka 2006, Chadema wakafanya marekebisho ya Katiba na kuyawasilisha ofisi ya msajili wa vyama, na ikakubaliwa.

Nilipoipitia katiba hiyo ya Chadema ya 2006, nikakuta kile kipengele cha ukomo wa uongozi, hakipo!, kimenyofolewa kinyemela kimya kimya!. Nilipokiulizia kipengele hicho humu jf, Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Slaa alinishukikia vilivyo na kukanusha kuwa Chadema halikuwahi kuwa na kipengele hicho!.

Hii maana yake ni hata Katibu Mkuu Chadema, alikuwa haijui Katiba ya chama chake!. Kama Katibu Mkuu ambaye ndie custodian wa katiba ya Chadema, haijui katiba hiyo, what do expect kwa the rest of the people?.

Baada ya Dr. Slaa kunishukia, aliyeninusuru ni JJ. Mnyika kukiri kifungu hicho kilikuwepo na sasa hakipo sio kuwa kimenyofolewa!, no!, bali ni hakikujadiliwa kabisa hivyo kikayeyuka tuu into thin air! Kipengele chanyewe kilicho yeyuka into thin air ni hiki
Ukomo wa Uongozi Ulionyofolewa Kinyemela 2006.png

Baadae Tundu Lissu alikuja kutoa siri kipengele hicho kiliyeyukakaje Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Katiba hiyo ya 2006 pia ikapenyeza kifungu ambacho kinakwenda kinyume cha katiba ya JMT kumzuia mwanachama wa Chadema kwenda mahakamani, akienda tuu ndio amejifukuzisha Chadema!. Kipengele hicho ni kipengele batili kinachokwenda kinyume cha katiba ya JMT, hivyo katiba ya Chadema ni katiba batili!. Hilo la ubatili wa katiba ya Chadema, nililizungumza humu, ila mimi sio mamlaka halali ya kutangaza ubatili huo, mamlaka pekee yenye mamlaka ya kutangaza ubatili ndani ya JMT ni Mahakama. Kwa vile hakuna yeyote aliyekwenda mahakamani kuulalamikia ubatili huu, then ubatili huu unaendelea kuwepo ndani ya katiba ya Chadema na ndio uliomngoa Zitto, Prof. Kitila na Mwigamba!.

Tukija kwenye hoja za bandiko hili ambazo mimi nimeziita Chadema ni ubatili, ubatili ubatili mtupu mpaka basi!. CC ya CDM haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha, kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu, CC hiyo ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumjadili na kumfuta uanachama Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee?!.

Mamlaka sahihi ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha ni Baraza Kuu, na mamlaka yake yenye uwezo wa kumfuta uanachama Halima Mdee, ni Mkutano Mkuu pekee!. Sasa kwenye kikao cha juzi cha Baraza Kuu la Chadema, kuna mtu yoyote alisikia likijadil mashitaka yoyote ya Halima Mdee?. Ilichofanya Baraza Kuu ni kubariki maamuzi yale batili ya CC ya Chadema. Kitendo cha Baraza Kuu, kurudhia kuvuliwa uanachama wa Halima Mdee, Baraza Kuu lilipata wapi mamlaka hiyo?!.

Katiba ya Chadema ipo na imeweka taratibu na kanuni za mamlaka ya nidhamu, kwanini hazifuatwi?. Sasa vitu vidogo tuu na straight kama hivi vinawashinda hawa jamaa, jee ingetokea watu kama hawa ndio wameshinda uchaguzi na kuikalia Ikulu yetu si ni ingekuwa ni majanga?. Kwa lugha nyingine, inawezekana Chadema ni Chama Majanga ila tuu watu walikuwa hawajui, hivyo mitikisiko kama hii ndio itawaonyesha wengine maeneo yenye matundu na jinsi nyumba yao inavyovuja.

Kama Chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwa huku bara, jee tunaupinzani wowote wa kweli ambao ni serious, capable, credible, na reliable, wenye the ability and the capabilities wa kuiondoa CCM madarakani?!.

Paskali
 
Wanabodi,
Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni.

Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika.

Mimi Paskali Mayalla ni Mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea, ila pia nilisomea sheria, LL.B, UDSM, ile kutua tuu UDSM, siku ya kwanza kipindi cha Kwanza ni LW 101, unajua mwalimu wangu wa kwanza kabisa UDSM ni nani?... ni Dr. Tulia Akson!.

Prof. Issa Gulamhussein Shivji na Palamagamba Kabudi, walitufundisha LW. 200 ndio yenye Katiba, nilifumua A, utadhani mtihani nilikuwa natunga mimi!. Hivyo kwenye hoja hii ya Katiba ya Chadema, mimi naizungumza as an authority.

Katiba ni kakitabu kadogo tuu, ila kukaelewa ni shughuli. Kabla ya chama chochote cha siasa kusajiliwa ni lazima kiwasilishe katiba yake kwa Msajili wa vyama, ipitiwe na wataalamu wa katiba, wajiridhishe kuwa iko sawa na inaendana na katiba ya nchi.

Hivyo hata Chadema, iliposajiliwa kwa mara ya kwanza ile 1992, iliwasilisha katiba fulani amaizing iliyokuwa nzuri kabisa, yenye kipengele cha ukomo wa uongozi mwisho ni vipindi viwili vya miaka 5 na mwanachama wa Chadema alikuwa huru kuitafuta haki yake mahakamani.

Mwaka 2006, Chadema wakafanya marekebisho ya Katiba na kuyasilisha ofisi ya msajili wa vyama, na ikakubaliwa.

Nilipoipitia katiba hiyo ya Chadema ya 2006, nikakuta kile kipengele cha ukomo wa uongozi, hakipo!, kimenyofolewa kinyemela!. Nilipokiulizia kipengele hicho humu jf, Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Slaa alinishukikia vilivyo na kukanusha kuwa Chadema halikuwahi kuwa na kipengele hicho!.

Hii maana yake ni hata Katibu Mkuu Chadema, alikuwa haijui Katiba ya chama chake!. Kama Katibu Mkuu ambaye ndie custodian wa katiba ya Chadema, haijui katiba hiyo, what do expect kwa the rest of the people?.

Baada ya Dr. Slaa kunishukia, aliyeninusuru ni JJ. Mnyika kukiri kifungu hicho kilikuwepo na sasa hakipo sio kuwa kimenyofolewa!, no!, bali ni hakikujadiliwa kabisa hivyo kikayeyuka tuu into thin air!

Katiba hiyo ya 2006 pia ikapenyeza kifungu ambacho kinakwenda kinyume cha katiba ya JMT kumzuia mwanachama wa Chadema kwenda mahakamani, akienda tuu ndio amejifukuzisha Chadema!.

Tukija kwenye hoja za bandiko hili ambazo mimi nimeziita Chadema ni ubatili, ubatili ubatili mtupu mpaka basi!. CC ya CDM haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha, kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu, CC hiyo ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumjadili na kumfuta uanachama Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee?!.

Mamlaka sahihi ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha ni Baraza Kuu, kwenye kikao cha juzi cha Baraza Kuu la Chadema, kuna mtu yoyote alisikia likijadil mashitaka yoyote ya Halima Mdee?. Ilichofanya Baraza Kuu ni kubariki maamuzi yale batili ya CC ya Chadema. Kitendo cha Baraza Kuu, kurudhia kuvuliwa uanachama wa Halima Mdee, Baraza Kuu lilipata wapi mamlaka hiyo?!.

Brother P kwaelewa Chadomo ni kazi sana , lile ni kundi la vilaza wenye uthubutu wa kupambana, haiweze kama mkuu wa chama kufeli shule kwa kuzungusha zero aje awe mbadala wa CCM kusaidia taifa ,

CHADEMA kifutwe tu

USSR
 
"utter nonsense"
 
Asante sana kwa ufafanuzi.
 
Achana na chadema we sukumagang nenda Chato ukamfukue rais wako katili na muuaji arudi ikulu
 
Brother P kwaelewa Chadomo ni kazi sana , lile ni kundi la vilaza wenye uthubutu wa kupambana, haiweze kama mkuu wa chama kufeli shule kwa kuzungusha zero aje awe mbadala wa CCM kusaidia taifa ,

CHADEMA kifutwe tu

USSR
Bado mliwanunua covid-19 ili kuhalalisha haramu, na wengine kuwapa vyeo vizur bado huoni kama chadema kuna watu wenye uwezo.

Kila siku mnasema chadema imekufa lakn bado hamjiamini kwenye ushindani na chadema.

Watu wamefukuzwa bado mnaumia kwanini msiumizwe wanapofukuzwa wa lumumba. Jitafakarini
 
Swali lako la mwisho ni kwamba upinzani upo na very serious kuiondoa CCM madarakani tomorrow, lakini tu CCM na serikali yake haitaki kuplay with the rules governing democracy inategemea sana vyombo vyake vya dola - polisi, mahakama, NEC, etc etc.
Inajua wazi kwamba ikiondoka tu, ndiyo moja kwa moja- a la KANU, UNIP et al.
Kwa ujumla demokrasy ambayo CCM inajitapa kuisimamia ni a very big joke indeed hata to my 10 year old grandson.
Ubabe ubabe kila mahali na kuflout the rules for its own benefit.
Elewa kwamba hizi persistent clashes inazofanya kuna siku zita end up in a crash, but God forbid.
 
Wanabodi,
Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni.

Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika.

Mimi Paskali Mayalla ni Mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea, ila pia nilisomea sheria, LL.B, UDSM, ile kutua tuu UDSM, siku ya kwanza kipindi cha Kwanza ni LW 101, unajua mwalimu wangu wa kwanza kabisa UDSM ni nani?... ni Dr. Tulia Akson!.

Prof. Issa Gulamhussein Shivji na Palamagamba Kabudi, walitufundisha LW. 200 ndio yenye Katiba, nilifumua A, utadhani mtihani nilikuwa natunga mimi!. Hivyo kwenye hoja hii ya Katiba ya Chadema, mimi naizungumza as an authority.

Katiba ni kakitabu kadogo tuu, ila kukaelewa ni shughuli. Kabla ya chama chochote cha siasa kusajiliwa ni lazima kiwasilishe katiba yake kwa Msajili wa vyama, ipitiwe na wataalamu wa katiba, wajiridhishe kuwa iko sawa na inaendana na katiba ya nchi.

Hivyo hata Chadema, iliposajiliwa kwa mara ya kwanza ile 1992, iliwasilisha katiba fulani amaizing iliyokuwa nzuri kabisa, yenye kipengele cha ukomo wa uongozi mwisho ni vipindi viwili vya miaka 5 na mwanachama wa Chadema alikuwa huru kuitafuta haki yake mahakamani.

Mwaka 2006, Chadema wakafanya marekebisho ya Katiba na kuyasilisha ofisi ya msajili wa vyama, na ikakubaliwa.

Nilipoipitia katiba hiyo ya Chadema ya 2006, nikakuta kile kipengele cha ukomo wa uongozi, hakipo!, kimenyofolewa kinyemela!. Nilipokiulizia kipengele hicho humu jf, Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Slaa alinishukikia vilivyo na kukanusha kuwa Chadema halikuwahi kuwa na kipengele hicho!.

Hii maana yake ni hata Katibu Mkuu Chadema, alikuwa haijui Katiba ya chama chake!. Kama Katibu Mkuu ambaye ndie custodian wa katiba ya Chadema, haijui katiba hiyo, what do expect kwa the rest of the people?.

Baada ya Dr. Slaa kunishukia, aliyeninusuru ni JJ. Mnyika kukiri kifungu hicho kilikuwepo na sasa hakipo sio kuwa kimenyofolewa!, no!, bali ni hakikujadiliwa kabisa hivyo kikayeyuka tuu into thin air!

Katiba hiyo ya 2006 pia ikapenyeza kifungu ambacho kinakwenda kinyume cha katiba ya JMT kumzuia mwanachama wa Chadema kwenda mahakamani, akienda tuu ndio amejifukuzisha Chadema!.

Tukija kwenye hoja za bandiko hili ambazo mimi nimeziita Chadema ni ubatili, ubatili ubatili mtupu mpaka basi!. CC ya CDM haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha, kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu, CC hiyo ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumjadili na kumfuta uanachama Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee?!.

Mamlaka sahihi ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha ni Baraza Kuu, kwenye kikao cha juzi cha Baraza Kuu la Chadema, kuna mtu yoyote alisikia likijadil mashitaka yoyote ya Halima Mdee?. Ilichofanya Baraza Kuu ni kubariki maamuzi yale batili ya CC ya Chadema. Kitendo cha Baraza Kuu, kurudhia kuvuliwa uanachama wa Halima Mdee, Baraza Kuu lilipata wapi mamlaka hiyo?!.

Katiba ya Chadema ipo na imeweka taratibu na kanuni za mamlaka ya nidhamu, kwanini hazifuatwi?. Sasa vitu vidogo tuu na straight kama hivi vinawashinda hawa jamaa, jee ingetokea watu kama hawa ndio wameshinda uchaguzi na kuikalia Ikulu yetu si ni ingekuwa ni majanga?. Kwa lugha nyingine, inawezekana Chadema ni Chama Majanga ila tuu watu walikuwa hawajui, hivyo mitikisiko kama hii ndio itawaonyesha wengine maeneo yenye matundu na jinsi nyumba yao inavyovuja.

Kama Chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwa huku bara, jee tunaupinzani wowote wa kweli ambao ni serious, capable, credible, na reliable, wenye the ability and the capabilities wa kuiondoa CCM madarakani?!.

Paskali
Pole sana Mr. Njaa. Ila endelea na hizi hoja dhaifu kutaka shibe.
 
unakerwa na cdm ukiwa pande zipi Tanzania baada ya kuwafukuza covid 19?
Pia Mr paskali mara zote posts zako dhidi ya CDM zipo biased na kwa ufupi wewe sio mchambuzi Wa siasa bali wewe ni mtu unaelazimishisha kutafuta umaarufu kama ulivyokuwa unafanya kipindi cha jpm.
wakati ndungai anawaapisha hao covid kumbuka ulisifia sana huku ukijua kuwa 2020 hakukuwa na uchaguzi.

wasomi wa siku hizi ni wasakatonge tu kwani kuwatofautisha na la 7 ngumu.
 
Ifike mahali tuheshimu taratibu na sheria tulizojiwekea!

Yani kabisa Pascal Mayalla kwa usomi huo na majigambo ya kutuonesha umefundishwa na nani unaamini kabisa wapinzani CHADEMA wamefanya KOSA KUBWA la kwanza na sio WALIOFUKUZWA kama wakosaji wa kwanza katika saga hii?

Kunanyakati mtu unafikia kutokusoma andishi la mtu flani kwa sababu ya kuwa na mitizamo ambayo hujaribu kupaka mafuta kinyesi!
 
Back
Top Bottom