inahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania HAKI JINAI: Inachohitaji Afrika ni viongozi waaminifu na sheria zisizopendelea

    Hakuna demokrasia inayoweza kuletwa kwa magunia kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine. Hakuna demokrasia inayopatikana kwa mazungumzo bali kwa uhalisia wa mambo. Mfano, China wako karibia watu bilioni 2 chini ya matawala mmoja, serikali moja na nchi moja, ni demokrasia gani inafaa kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara yoyote ili ikue na kukomaa inahitaji ulinzi Mkali sana

    Biashara is a hard game, very risk. Kuanzia usimamizi unahitaji ulinzi, wafanyakazi wote wanahitaji ULINZI ili wafanye kazi. Uli usiibiwe unahitaji ulinzi. Mapato na matumizi unahitaji ulizni hasa. Al in all tafuta mfumo thabiti wa kulinda biashara ikue na ikuletee faida.
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Sauti za Wananchi: Kwanini Serikali Inahitaji Kusikiliza Maoni Yao

    SAUTI ZA WANANCHI: KWA NINI SERIKALI INAHITAJI KUSIKILIZA MAONI YAO Imeandikwa na: MwlRCT 1: UTANGULIZI Katika nchi nyingi za Afrika Mashariki, sauti za wananchi hazipewi kipaumbele na serikali. Sauti za wananchi ni maoni, mapendekezo na malalamiko ya watu wanaoathiriwa na sera na mipango ya...
  4. JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  5. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE:Yanga wana mlima, Simba inahitaji kusafisha haswa

    GHAFLA tu Yanga imejipeleka katika maji marefu. Yanga wamefika katika fainali ya kombe la Shirikisho na hii ina maana kwamba msimu ujao lengo lao kubwa linakuwa kutwaa ubingwa. Ubingwa upi? Ndio swali la kwanza la msimu. Msimu ujao watakuwa katika michuano ya Ligi ya mabingwa. Kwa namna ambavyo...
  6. JamiiForums Tanzania Fainali ya CAF: Yanga inahitaji washambuliaji katili kama Tumisang Orebonye, Aymen Mahious na Golikipa Djigui Diarra

    Yanga imefikia levo za CAF, kwenye level hizo hakuna timu za ajabu ajabu, kwenye levo za CAF hakuna wachezaji wanaosita sita kupiga pasi na anapoamua kupiga pasi anapoteza, kwenye levo za CAF hakuna mchezaji anayekosa ndani ya boksi la kumi na nane, kwenye levo za CAF hakuna kiungo mshambuliaji...
  7. JamiiForums Tanzania Siasa inahitaji uwe na jicho na pua ya Bundi!

    SIASA INAHITAJI UWE NA JICHO NA PUA YA BUNDI! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hakuna somo gumu kama somo la Siasa. Sio udaktari, sio uinjinia, sio ualimu, sio uanasheria, sio ukulima. Siasa ndio somo gumu zaidi Duniani. Kwa sababu Kabla ya yote Siasa ilitangulia na Baada ya yote Siasa ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kariakoo inahitaji Baraza maalum la Biashara ambalo litakuwa na hadhi ya Mkoa

    Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya Mkoa katika muundo wa Baraza la Biashara la Taifa. Hii itasaidia kutatua changamoto kwa wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ina Magari 12 tu ya kubeba Wagonjwa, inahitaji Magari 24

    Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mfaume amesema mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa magari 24 ya kubebea wagonjwa. Dkt. Mfaume amebainisha kuwa mahitaji ya mkoa huo kwa sasa ni jumla ya gari 36 ambapo kwa sasa magari ambayo yapo na yanafanya kazi ni 12. Ameeleza hayo alipozungumza na...
  10. JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  11. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Haya ndugu zangu wapambanaji. Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja. Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
  13. JamiiForums Tanzania CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

    Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

    Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu. Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais Dikteta mwenye Maono ili iendelee

    Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia. Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa nani zaidi kati ya Messi na CR7 wafungwa rasmi kibabe: Inahitaji mtu awe na kinasaba cha ubishi kuendeleza mjadala huo!

    Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo. Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
  17. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  18. JamiiForums Tanzania Ha tunnel inasumbua muda mwingi inahitaji ni add time

    Habarini. Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia. Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
  19. JamiiForums Tanzania Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  20. JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…