inahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Rais anajibiwa, kukosolewa na wakati mwingine kubagazwa Mwacheni Mzee Warioba naye apewe dozi. Demokrasia hiyo. Inahitaji uvumilivu.

    Hamjambo wote! 1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea. 2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI. 3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
  2. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI inahitaji kufumuliwa

    Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika. Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema amekuajiri yeye anaweza kukufukuza kazi. Mfumo wa kuthibitisha watu kazini ni mbovu unaweza jikuta...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Maisha hata hayanogi tena,jamiiforum hainogi tena imepoa tuliwaambia nchi inahitaji kiongozi wakuchilimua kama JPM.

    Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni kama tunajilazimisha kuishi tu siku ziende.Mpaka topic za kuanzisha thread mtu unakosa. Nikiingia...
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu Inahitaji Kubadilishwa Kimsingi Ili Kusaidia Vijana Wetu

    Wana JF, poleni na majukumu… Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa kuliko tunavyodhani, na tukiliacha litaendelea kutengeneza kizazi kinachohangaika bila sababu. Kwa muda...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kufukua maiti zilizooza inahitaji Posho Nene!

    Nyie acheni mchezo kufukua maiti zilizooza na kuzikwa kaburi la Halaiki si kazi rahisi labda posho iwe Nene sana
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania Haki inahitaji kuonekana Imetendeka hata kama ni kwa Kutoana Kafara - Kwa manufaa ya Kesho Yetu

    Justice needs to be Seen to be Done..... Ni mengi yametendeka hivi karibuni wala hayahitaji maelezo, kuna wengi waliopoteza ndugu zao na jamaa zao (hata tukisema hao jamaa walikuwa waharifu basi ni vema tungewashika na kuwashitaki)... Sasa sababu tumeshafika hapa na tunahitaji kuponyana na...
  7. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  8. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Watanzania kuwapambania inahitaji moyo sana

    Issue ya Polepole imeonesha wazi kuwa kumpambania mbongo inahitaji moyo. Nilitegemea watu wawe barabarani wakishinikiza kuachiwa Polepole.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuwatetea Watanzania inahitaji kidogo uwe na tatizo la Kisaikolojia

    Hamjambo! Moja ya mambo niliyojifunza kwa muda mfupi kuhusu utetezi wa Haki ni pamoja na uhusiano wa Haki na Saikolojia. Na hapo ndipo nikakuta mifano halisi katika jamii yetu. Nitakupa mifano kadhaa; 1. Huwezi tetea haki za Waumini wa Manabii wa upako ambao unahisi au unajua wanatapeliwa...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kalenga inahitaji mtu sahihi wa kutumwa ambaye ni mimi naombeni kura zenu zote – Grace Tendega

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Victor Tendega, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Kalenga kumchagua mtu sahihi wa kuwatumikia, mtu anayejua namna ya kuchukua kero za wananchi, kuzipeleka sehemu husika na kurudi na majibu yenye tija. Akizungumza...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Tambua Biashara Yako Inahitaji Leseni Gani

    Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni: Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters) 2. Huduma...
  13. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Video: Afrika inahitaji Rais kama huyu

  14. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

    Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
  15. Hharyson

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YAKO INAHITAJI KUWA NA MAZINGIRA BORA SANA LET US DESIGN AND BUILD YOUR LANDSCAPE 0624004650

    WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION LANDSCAPE ALSO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US +255624004650
  16. Juuchini

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji viongozi kama Albert Chalamila

    Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
  17. W

    JamiiForums Tanzania CCM inahitaji kufanya reform

    👉Kwa Nia njema Nina Machache kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama changu Cha Mapinduzi (CCM), niseme tu kwamba CCM inahitaji kufanya 'Reform' yaani Mageuzi au Mabadiliko ili kutengeneza ari na mwamko mpya wa Chama na kuleta mvuto kwa wanachama wake pamoja na watu wengine wasio wanachama wa...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tanzania imewahi kupigana vita ya kiuchumi? Inahitaji kufanya hivyo?

    Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Zanzibar Inahitaji Truth & Reconciliation Comm。Kuponya Makovu ya Mapinduzi, ili Upinzani Ukishinda,Upewe?。Sis & Bro,Can You Please Do The Needfu?。

    Wanabodi, Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。 Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Wazanzibari wengi wanashereheka kuyapongeza Mapinduzi...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi Inahitaji Kusomeshwa Kwa Tahadhari Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/ofL3xgsRPgs?si=tDcubA7tdH0hsdlY
Back
Top Bottom