imeisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Engager

    JamiiForums Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi. Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani...
  2. Morning_star

    JamiiForums Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

    Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle! Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
  3. IKIRIRI

    JamiiForums Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

    Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi. Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu. Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida...
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

    Hapo vip!! Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa . Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono. mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na...
  5. Suley2019

    JamiiForums FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Obama na Michele watimiza miaka 30 kwenye game, hamna hata siku moja Michelle aliomba hela eti gesi imeisha.

    Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya kusuka nk.
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Kihesa Mgagao, Masege na Msalali Sasa Shida ya Maji Imeisha

    Kumtambulisha Mkandarasi Mradi wa Maji Kihesamgagao- Masege na Masalali Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Mhe. Justin Nyamoga akiwa na uongozi wa RUWASA Wilaya ya Kilolo wamemtambulisha na kumkabidhi eneo la kutekeleza mradi wa ujenzi na usambazaji maji mkandarasi Mponela Construction JV Dimotoklasa...
  8. N

    JamiiForums Airtel 5G - Bundle imeisha ndani ya sekunde 10

    Baada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake. Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest bando ilikata Pongezi kwa Airtel, sasa mtangaze tu na bando za 5G maana hizi Mb chache...
  9. M

    JamiiForums Prof Tibaijuka amhoji Spika. Ataka kujua Je Bunge ndo limeridhia Mkataba wa Bandari na imeisha hiyo au kuna maboresho yoyote katika mkataba wa msingi?

    Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
  10. Suley2019

    JamiiForums Ummy Mwalimu: Marburg imeisha rasmi Tanzania

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu leo tarehe 02 Juni 2023 akiwa Bukoba Mkoani Kagera ametangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania. “Kwa mujibu wa miongozo ya Shirika la Afya la Duniani (WHO), tangu tulipomruhusu mgonjwa wa mwisho, tulipaswa kuendelea kuchukua...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Ndugu Watanzania, Ripoti ya CAG kujadiliwa imeisha wapi?au tumesahau!!!

    Nimeuliza baada ya kuona hii picha.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums TANROADS: Bajeti ya 2021/2022 tulitengewa Tsh. Trilioni 1.5 na si Tsh. Trilioni 2.9. Yote imeisha tumika kwenye miradi ya maendeleo

    Meneja wa Awamu ya tatu ya ujenzi wa mradi wa mwendokasi Jijini Dar es Salaam, Barakael Mmari amesema hadi kufikia mwishoni wa Machi 2023 matengenezo ya mradi huo yalikuwa yamefikia katika asilimia 5 (5%). Barakael Mmari Mradi huo una urefu wa Kilometa 23.3 unatekelezwa katika Barabara za...
  13. Greatest Of All Time

    JamiiForums FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  14. TECNO Tanzania

    JamiiForums Ile kiu ya kusubiria Toleo la Phantom X2 sasa imeisha

    Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji wengi wa simu janja wamekuwa wakiulizia sasa limefika sokoni na linapatikana kwenye maduka yetu nchi...
  15. Msanii

    JamiiForums Uwajibikaji ajali ya ndege ndiyo imeisha hiyo

    Tayari serikali imeshatoa taarifa ya uchunguzi wa ajali ya ndege iliyopata ajali wakati inatua uwanja wa Bukoba. Taarifa hiyo ya uchunguzi inakiri wazi uzembe wa kitengo cha dharura na uokozi uwanjani hapo. Pia hata kuleta mkanganyiko unaoiumbua serikali hususani ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi...
  16. Kijakazi

    JamiiForums COP Misri Imeisha, Maji kuanza kutoka (tena) soon!

    Mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika huko Misri umeisha thank God, na sasa hali kuanzia kurejea kama kawaida hapa Duniani, ukame utaisha na Watanzania wataanza kupata maji (tena), maji yataanza kutoka siku chache zijazo, amini usiamini, ni hivyo, it’s a game, …
  17. comte

    JamiiForums Kwa huu ujumbe na kichekesho- leo nayo ni siku- siku yangu imeisha

  18. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tunashukuru mechi ya Simba na Yanga imeisha muda huu, Yanga tumeshinda tena Allahamdulilah

    Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Mchezo ulikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana timu nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo lakini Ustadhi wetu amekuja kumaliza mchezo. Wana Yanga tambeni, huu mchezo tumeshashinda. Tunashukuru...
  19. BARD AI

    JamiiForums Congo DR yatangaza kumalizika kwa wagonjwa wa Ebola

    Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani Mbanda amesema Serikali imejiridhisha ikiwa ni baada ya siku 42 za ufuatiliaji ulioimarishwa bila kuwepo kwa mgonjwa mpya aliyebainika kukumbwa na janga la Ebola. Ebola iliripotiwa kurejea tena Agosti 22, 2022 baada ya Virusi hivyo kugundulika katika mji wa...
  20. sky soldier

    JamiiForums IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

    Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau, Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
Back
Top Bottom