COP Misri Imeisha, Maji kuanza kutoka (tena) soon!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,406
8,893
Mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika huko Misri umeisha thank God, na sasa hali kuanzia kurejea kama kawaida hapa Duniani, ukame utaisha na Watanzania wataanza kupata maji (tena), maji yataanza kutoka siku chache zijazo, amini usiamini, ni hivyo, it’s a game, …
 
Sure hata watalaam wa wamiruvu basin tunawahakikishia maji soon mtayaona dalili za mvua zipo na baadhi imenyesha tuko site
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom