Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,071
3,705
Hapo vip!!

Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .

Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.

mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.

Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
 
Uko sahihi....hatuwezi kufanana.
 
Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa
Kwan sisi wenyew wanaume tuna tabia nzuri??

LOVE IS NOT ABOUT FINDING THE RIGHT PERSON, LOVE IS ABOUT BECOMING THE RIGHT PERSON, ONCE YOU BECOME THE IDEAL YOU, THE RIGHT PEOPLE WILL AUTOMATICALLY GRAVITATE TOWARDS YOU.

Siku utakapo elewa hii sentensi hutaumiza kichwa tena kuhusu mapenzi.
 
Bado safari ni ndefu..
 
Uko sahihi ila female narcissist ni wengi mno. Na wanaoteseka ni wanaume wanaoishi maisha ya maadili kiduniani wanamuita beta male.

Most of women sio wote wanajaribu kuforce wewe eidha ucheat na wanawake wengine kama uko dhaifu ambapo wao wanautafsiri ni uanaume directly. Maandiko Matakatifu yanauita udhaifu. Godly women wapo na hawa hakikisha amelelewa na wazazi wawili ambapo baba yake alikuwa na Mamlaka kwenye familia. Kama baba yake hakuwa na sauti, piga chini.
 
1.Timotheo 4:1-3

1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;

3 WAKIWAZUIA WATU WASIOE, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.
 
Hapo vip!!

Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .

Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.

mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.

Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Ni vizuri kuoa ila usioe wanawake wenye drama, wanaotaka attention mtandaoni kwa wanaume, kwa wewe tafuta mwanamke ambaye hajihusishi sana na social medias. Kwa maana unaonekana ni mwadilifu.
Mwadilifu atapair na mwadilifu, wa aina hiyo wapo mkuu.
 
Mkuu Kwa ss wazoefu tunajua tu unamachungu ya kupigwa chini.
Kuna walioapa hawatapenda tena ila badae wakaskiska wanauliza maswali ya kijinga kama ...'ulikuwa wapi sikuzote'.."kwann sikujujua mapema" na kauli za kipuuzi kama hizo na kusahau kabisa walisha apa kutotaka tena utamu.
Weka akiba ya maneno mkuu
 
Hapo vip!!

Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .

Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.

mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.

Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Uumizwe wewe na utushauri wengine tukatae ndoa? Acha kila mmoja aonje utamu wa ngoma yake.🤣
 
Mkuu Kwa ss wazoefu tunajua tu unamachungu ya kupigwa chini.
Kuna walioapa hawatapenda tena ila badae wakaskiska wanauliza maswali ya kijinga kama ...'ulikuwa wapi sikuzote'.."kwann sikujujua mapema" na kauli za kipuuzi kama hizo na kusahau kabisa walisha apa kutotaka tena utamu.
Weka akiba ya maneno mkuunikweli

Mkuu Kwa ss wazoefu tunajua tu unamachungu ya kupigwa chini.
Kuna walioapa hawatapenda tena ila badae wakaskiska wanauliza maswali ya kijinga kama ...'ulikuwa wapi sikuzote'.."kwann sikujujua mapema" na kauli za kipuuzi kama hizo na kusahau kabisa walisha apa kutotaka tena utamu.
Weka akiba ya maneno mkuu
Ni kweli nimekubali kupigwa chini
 
Back
Top Bottom