Congo DR yatangaza kumalizika kwa wagonjwa wa Ebola

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,372
8,108
Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani Mbanda amesema Serikali imejiridhisha ikiwa ni baada ya siku 42 za ufuatiliaji ulioimarishwa bila kuwepo kwa mgonjwa mpya aliyebainika kukumbwa na janga la Ebola.

Ebola iliripotiwa kurejea tena Agosti 22, 2022 baada ya Virusi hivyo kugundulika katika mji wa Beni ulipo Mashariki mwa Congo DR ambapo uchunguzi ulihusisha Kirusi hicho na mlipuko wa 2018-2020.

Hadi sasa nchi hiyo imerekodi milipuko 15 tangu mwaka 1976. Mlipuko wa 2018-2020 kwenye majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri unatajwa kuwa mkubwa kuwahi kurekodiwa kwa kufikisha kesi 3,500.

=========================

The fifteenth outbreak in the central African country emerged when a new case of the deadly virus was confirmed in the eastern city of Beni on Aug. 22.

Testing showed the case was genetically linked to the 2018-2020 outbreak in North Kivu and Ituri provinces, which killed nearly 2,300 people. Another flare-up from that outbreak killed six people last year.

"After 42 days of reinforced surveillance without a new confirmed case... I am happy to solemnly declare the end of the 15th [Ebola] epidemic... that lasted one month and 12 days," Mbungani Mbanda said. Congo's dense tropical forests are a natural reservoir for the Ebola virus, which causes fever, body aches, and diarrhea.

The country has recorded 14 outbreaks since 1976. The 2018-2020 outbreak in the east was Congo's largest and the second largest ever recorded, with nearly 3,500 total cases. Congo's most recent outbreak was in northwest Equateur province. It was declared over in July after five deaths.

REUTERS
 
Back
Top Bottom