imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Boni: Imani yetu ni kubwa, Chadema inaenda kuishika nchi, Mungu anaipenda

    Amesema Mzee Emmanuel Zakaria (Baba Boni) Mwenyekiti Baraza la Wazee CHADEMA jimbo la Arusha Mjini
  2. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Nina Imani Mwenyezi Mungu ameyapokea maombi

    tebt
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya IRAN yamegusa imani za watu mbona wapo kimya

    Hapa JF na mitandao mingine yani ukiona mtu anavyoichambua Israel,GAZa, Venezuela na nchi nyingine zilizokuwa kwenye mivuruguano unaweza kusema jamaa noma. Ila tokea IRAN kuanza maandamano hata watu wa msikiti wapo kimya kabisa.
  5. Lancashire

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  6. Life2

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mmewatambua watesi/maadui wa Imani yenu?

    Juu ya Mwamba huu ntalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu/shetani hatalishinda. Ni nyakati nyingine tena Kuzimu pamoja na Mashetani yake yameibuka tena wakitaka kupambana na Kanisa la Yesu mwenyewe. Waambieni watawala hawapambani na Wakatoliki bali wanapambana na Yesu Mfalme mwenyewe...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  8. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu katika Imani. Tukumbuke kuwa Allah ametuahidi.

    Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi. Quran 45 : 51 -55 "Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani. Katika Bustani (Peponi) na chemchem. Watavaa nguo za hariri nyembamba na nzito...
  9. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili

    Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence Tuheshimu Imani Za Wengine Christmas hii tamu, watu wako na...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sio Lazima ufunge ndoa Kanisani au Msikitini. Kwanza huo ni Utumwa

    SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo huyajui kuhusu kiitwacho dini. Ujue wewe ni Mtumwa unayehitaji ukombozi. 2. Ukiona unamawazo kwamba ndoa...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unapotumia imani kwenye Benki kusema hakuna Riba, unaendeshaje hiyo benki?

    Kuna mambo mengine kama wanajizungusha tu. Benki zote hutegemea riba kwenye pesa ya mteja. Sasa ukisema hakuna riba itakuwaje?
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kakakuona kawa nani.Wakati ni kiumbe ambacho kipo hatarini kutoweka kutokana na imani za kishirikina

    Vyombo vya habari vimekuwa vikikipa uzito huyu mdudu kama kuonesha imani potofu bado zina pewa nguvu. Huyu mdudu ni kama wadudu wengine sawa na kipindi cha nyuma fisi kuwa kwenye maeneo ambayo nyie mlivamia kuwa mji. Baada ya kuanzisha kampeni wasitoweke nyie mnaleta imani za ajabu.
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katika imani za kihindi, wale marehemu wa MO29, hawawezi kupumzika kwa amani ilihali mmewasaliti, Nafasi zao zitawahunt miaka yote

    Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bila kuachana na imani za kishirikina itakuwa ngumu kwa Watanzania wengi kupiga hatua za kimaendeleo

    Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
  15. Pakome

    JamiiForums Tanzania Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki"

    Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki" Nilipompoteza...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Makisio ya ibada ya Jumapili – Injili na Imani Katika Umoja

    Jumapili ijayo itasimama kama tukio la kipekee la ibada, ambapo waumini wa kanisa letu watakusanyika kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani. Misa ya pili itaongozwa kwa upekee na kwaya ya Mtakatifu Muhammad Hussein, ambao sauti zao zimekuwa faraja na kuinua mioyo ya wengi. Wakati huo huo, jukumu la...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mziwanda: Waraka wa Baraza la Maaskofu TEC unatia hasira

    Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi: Nina imani na bunge la CCM

    " Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa nchini, naamini anaelewa hasa matukio yanayoendelea lakini bado anashobokea uwepo wa nguvu ya chama...
  19. HesabuKali

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  20. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Una imani na Jeshi la Polisi la Tanzania?

    Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi. Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao. Je wewe una maoni gani?
Back
Top Bottom