Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.
Juu ya Mwamba huu ntalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu/shetani hatalishinda.
Ni nyakati nyingine tena Kuzimu pamoja na Mashetani yake yameibuka tena wakitaka kupambana na Kanisa la Yesu mwenyewe.
Waambieni watawala hawapambani na Wakatoliki bali wanapambana na Yesu Mfalme mwenyewe...
Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).
Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi.
Quran 45 : 51 -55
"Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani.
Katika Bustani (Peponi) na chemchem.
Watavaa nguo za hariri nyembamba na nzito...
Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence
Tuheshimu Imani Za Wengine
Christmas hii tamu, watu wako na...
SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo huyajui kuhusu kiitwacho dini. Ujue wewe ni Mtumwa unayehitaji ukombozi.
2. Ukiona unamawazo kwamba ndoa...
Vyombo vya habari vimekuwa vikikipa uzito huyu mdudu kama kuonesha imani potofu bado zina pewa nguvu.
Huyu mdudu ni kama wadudu wengine sawa na kipindi cha nyuma fisi kuwa kwenye maeneo ambayo nyie mlivamia kuwa mji.
Baada ya kuanzisha kampeni wasitoweke nyie mnaleta imani za ajabu.
Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja
Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi
Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki"
Nilipompoteza...
Jumapili ijayo itasimama kama tukio la kipekee la ibada, ambapo waumini wa kanisa letu watakusanyika kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani. Misa ya pili itaongozwa kwa upekee na kwaya ya Mtakatifu Muhammad Hussein, ambao sauti zao zimekuwa faraja na kuinua mioyo ya wengi. Wakati huo huo, jukumu la...
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
" Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi
Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa nchini, naamini anaelewa hasa matukio yanayoendelea lakini bado anashobokea uwepo wa nguvu ya chama...
Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa.
Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi.
Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao.
Je wewe una maoni gani?
Kulikuwa na kimvua leo huku nilipo, likaja gari la serikali namba STN (lipo kama Hiace), vioo tinted likapaki karibu na tulipojificha mvua isitunyeshee. Aisee mara baada ya gari kupaki watu wote wakaitolea macho ile gari kuangalia nani anashuka.
Na wengine wakawa wanasema ni magari kama hayo...
Inawezekana kabisa kumpata Rais Toka chama kisicho maarufu nchini ,tunajua uchaguzi na upigaji kura hutumika kuhalalisha ushindi uliokusudiwa nyuma ya pazia!!
Nimechunguza kampeni za uchaguzi mwaka huu na nikaona Bado Kuna vichwa vyenye uwezo wa kuongoza vikipewa nafasi hasta kwa miaka mitano...
Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua?
Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt.
Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.