Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 262
MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA
Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama ni wamasaia bado inakataa kabisa kuingia akilini.
Ipo hivi Jeshi la Polisi ambalo,
Kwa miaka zaidi ya 10, sasa halijawahi kuwapata Watekaji unadhani ndio jeshi hilo hilo linaweza kuwapata wauwaji wa mchina kwa siku 10 No, This is a BIG Uwongo wa mwaka.
Huwezi kujisifu kwamba mmeweza kuwakamata watu, kwanza mnadanganya ni wamasai kitu ambacho hawa wote wanaonesha wazi sio wamasai, kitu kingine kinaumiza kichwa.
Ni kwamba hawa wataachiwa na Mamahakama sababu, utakuta hawa wotw ni vijana wadogo wadogo sana_ Na jesho la polisi hili ambalo halina imani usikute limewaogota vijana kadha wa mtaani na kisha kuwapiga kipondo cha maana na kuwalazimisha kukiri kuwa wamehusika kua _ Kwani ninyi ni wageni na hili jesho ambalo linaweza kukupa kesi yoyote lengo tu usote magereza kwa tabia ya jeshi hi msiaminishwe kuwa hawa watoto wamekiri kuhusika kumua mchina kwa maana , mbele ya hakimu wanaweza kudai walilazimishwe kukiri baada ya kupigwa shoti za umeme, kuingiziwa rugu mkunduni (kama kawaida yao) au hata kuwapiga marungu ya kutosha just tu kukiri.
Wakati mwingine,
Polisi hutegeneza video za maigizo ili kufunipa panic za jamii kuonesha imewapata wahusika, ila mimi ni mtu na nguvu ya kichawi naweza kuona picha tu ya sura ya hawa watoto na nikakwambia kabisa hawa sio wamasai na wala hakuna muwaji hapo sababu sura haisomani na tendo halisi _ Hata ukipima kwa nguvu za kiroho inakataa yani hawa ni kuwa wameangushiwa jumba bovu.
Na ni haraka sana ukitaka kujua ni uwogo, Eti baada ya kumua walienda kununua ng'ombe _ yani swala lilivyokuwa la moto au hawa ni chizi siku 5 nchi ilisisimuka kwa tukio hapo hapo wakajitoa fahamu wao wakaenda kununua ng'ombe hii hata kama ni gaidi gani kwanza hutulia mafichoni sasa hawa wauwaji wenda walikuwa na matatizo ya afya ya akiri, ndio maana hata ukipima the way maelezo ya polisi ni kutulazimisja tuamini tuamini hawa ni wamasaia yani inajengwa picha kuwa wamasaia wanapensa sana ng'ombe hii kitu hamwezi kufungua ufahamu mjue ni ujanja wa kushawishi jamii kuamini uhalisia ambao haupo.
Kama haitoshi,
Kwenye hizi kesi za mauwaji kuna kitu huitwa PASIPO NA SHAKA ambapo ukija kwenye hili ni nani aliweza kushuhudia hawa walinzi au hawa masai fake au hawa watoto kabisa wasio jua hata kinachoendelea hapa ' waliweza kuhusika kumua mchina, Kwa kigezo hicho pekee kinatosha kusema hawa watasota miaka jera ila mwisho mahakama itawaachia sababu nyuma ya pazia " Hii inasana na stage (maigizo ya kutuliza jamii, kwenye uhalisia wa pressure ) hizi ni sawa na comedy katuni ambapo bado tunataka kusema, huu sio waredi kabisa tupo zama ambapi ukisikia polisi wanaelezea na kile kilichopo sio kabisa wa kuaminika maana ni wamegeuka kuwa mahasidi wa taifa la Tanzania.