Sina imani na CHADEMA, sitamani wachukue nchi

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
969
Reaction score
1,692
Chei chei

Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake

Acha tu CCM waendelee kushikilia nchi maana sioni dalili yeyote kwa CHADEMA kuingia madarakani

Msimamo wangu upo pale palee CHADEMA ikiingia madarakani najinyonga/mpaka kufa

Mimi sio chadema wala sio ccm sina chama ila napenda maendeleo, nitampongeza yeyote anayefanya vizuri na kumkosoa yeyote mwenye nia hovu na Taifa letu, tukiwatoa nyinyi wana siasa kuna wananchi ambao hatuna vyama na hatupendi mambo ya vyama na tuna haki yakuishi pia

Kiongozi wa chama anasema hataki uchaguzi mbali zaidi anaenda mbali anasema atavuruga uchaguzi then.. anashahuriwa na wanachama na viongozi wa chama kwamba waache maswala ya kuvuruga uchaguzi hataki then maafa yanatokea alaf unalaumiwa upande mmoja tu wa serikali hii sio fair, lawama wapewe wote, waliofyatua risasi lana na lawama juu yao na aliyechochea na kusema atakinukisha ili uchaguzi usiwepo alaaniwe na lawama juu yake pia

CHADEMA ikichukua madaraka najiua, nuna chukia, kufa, galagala lakini ukweli ni mchungu..

Mlaaniwe mlioua watu 0ctober 29 na mliochochea vurugu mlaaniwe wote, mfe vifo vibaya sanaa

Kuna vijitu vinanichukua kwa kuongea ukweli nawaambia sitaacha kusema ukweli..

Nyambafu
 
Mimi najiunga na makundi kama AL shabab, kwa kweli siwezi kuongozwa na Lissu na Heche ..Hao ni washamba
Sio vyema kuzungumzia hivyo vikundi kama taifa hatutakiwi kuingia huo mkumbo
 
Chei chei

Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake

Acha tu CCM waendelee kushikilia nchi maana sioni dalili yeyote kwa CHADEMA kuingia madarakani

Msimamo wangu upo pale palee CHADEMA ikiingia madarakani najinyonga/mpaka kufa

Mimi sio chadema wala sio ccm sina chama ila napenda maendeleo, nitampongeza yeyote anayefanya vizuri na kumkosoa yeyote mwenye nia hovu na Taifa letu, tukiwatoa nyinyi wana siasa kuna wananchi ambao hatuna vyama na hatupendi mambo ya vyama na tuna haki yakuishi pia

Kiongozi wa chama anasema hataki uchaguzi mbali zaidi anaenda mbali anasema atavuruga uchaguzi then.. anashahuriwa na wanachama na viongozi wa chama kwamba waache maswala ya kuvuruga uchaguzi hataki then maafa yanatokea alaf unalaumiwa upande mmoja tu wa serikali hii sio fair, lawama wapewe wote, waliofyatua risasi lana na lawama juu yao na aliyechochea na kusema atakinukisha ili uchaguzi usiwepo alaaniwe na lawama juu yake pia

CHADEMA ikichukua madaraka najiua, nuna chukia, kufa, galagala lakini ukweli ni mchungu..

Mlaaniwe mlioua watu 0ctober 29 na mliochochea vurugu mlaaniwe wote, mfe vifo vibaya sanaa

Kuna vijitu vinanichukua kwa kuongea ukweli nawaambia sitaacha kusema ukweli..

Nyambafu
 
Hii ndiyo mbinu yako ya kukusaidia kupata ajira ya kueleweka?
Siwezi kutawaliwa na CHADEMA , kila mtu na msimamo wake ..Mbona nyie mmefanya vurugu , baki na mawazo yako ,sipendi shobo wala sijakulazimisha .
 
1000011997.jpg
 
Chei chei

Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake

Acha tu CCM waendelee kushikilia nchi maana sioni dalili yeyote kwa CHADEMA kuingia madarakani

Msimamo wangu upo pale palee CHADEMA ikiingia madarakani najinyonga/mpaka kufa

Mimi sio chadema wala sio ccm sina chama ila napenda maendeleo, nitampongeza yeyote anayefanya vizuri na kumkosoa yeyote mwenye nia hovu na Taifa letu, tukiwatoa nyinyi wana siasa kuna wananchi ambao hatuna vyama na hatupendi mambo ya vyama na tuna haki yakuishi pia

Kiongozi wa chama anasema hataki uchaguzi mbali zaidi anaenda mbali anasema atavuruga uchaguzi then.. anashahuriwa na wanachama na viongozi wa chama kwamba waache maswala ya kuvuruga uchaguzi hataki then maafa yanatokea alaf unalaumiwa upande mmoja tu wa serikali hii sio fair, lawama wapewe wote, waliofyatua risasi lana na lawama juu yao na aliyechochea na kusema atakinukisha ili uchaguzi usiwepo alaaniwe na lawama juu yake pia

CHADEMA ikichukua madaraka najiua, nuna chukia, kufa, galagala lakini ukweli ni mchungu..

Mlaaniwe mlioua watu 0ctober 29 na mliochochea vurugu mlaaniwe wote, mfe vifo vibaya sanaa

Kuna vijitu vinanichukua kwa kuongea ukweli nawaambia sitaacha kusema ukweli..

Nyambafu
Aisee! Kumbe una mawazo mgando hivi??? Pole you!
 
Back
Top Bottom