huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

    Kwema wakuu? Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu. Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian. Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia...
  2. JamiiForums Tanzania Tuacha upotoshaji wa kudhani kuteseka sana mwishowe huwa ni kufanikiwa, watu wengi huteseka mpaka kifo bila kufanikiwa.

    Utaskia.. "Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka. "Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
  3. JamiiForums Tanzania Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

    Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa dunia. Pia Putin hutumia hiyo siku kueleza ushindi wa Urusi kwenye mapambano mbali mbali. Sasa huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaowa follow wasanii waliokufa huwa mnatakaga nini?

    Nimefikiria nimefikiriaaa nimekosa jibu. Kuna hawa watu hasa wa instagram wakipata tu habari ya mtu maarufu au msanii amekufa wanaanza kufollow account yake ya instagram. Hivi hua mnawatakia nini marehemu? Unajua kabisa amekufa hata ukimfollow inakuwa haina maana tena, hatopost tena na hata...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mbunge wa Tanzania, Gwajima huwa namuona kituko ila kwenye hili ana mantiki

    Tangu ile video yake ya ngono ivuje aliyokua anatikisa mauno nimekua nikimuona wa hovyo sana, ila kwenye ujumbe wa hii video yake, katiririka hoja zenye mashiko, anaeleza kile ambacho kimewakwamisha Watanzania kwamba kila rais anakuja na maono yake na mambo yake, hamna maono au dira ya taifa...
  6. JamiiForums Tanzania MSAADA : Extension Kwenye Namba za Simu Huwa Zinakuaje Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu. Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana gani kwenye namba za simu wakuu...? Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thanks.
  7. JamiiForums Tanzania Ujauzito wa Rihanna; Kila siku yupo barabarani

    Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana. Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti. Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 🤔 Kwa kweli nimechoka kila siku kumuona yeye tu na ajifungue apumzike na sisi pia tupumzike. Kila siku...
  8. JamiiForums Tanzania Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

    Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010? Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema. Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa. Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa tunawapa Uongozi watu ambao hawana uwezo wa kutuongoza?

    Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo. Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu, haya mapenzi huwa mnanunua wapi?

    .Mtu Akifumania anaua .Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga .Mwingine nae wivu tu kameza madonge. .Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake. Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu kabisa inajitamba mjini huku In Phd. Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wa hivi mnawaza nini?

    Unaona kabisa mtu amevaa engagement ring alafu bado unamtongoza. Hivi mnawazaga nini? Mnakua mnajaribu tu au kuna kingine mnawagazaga?
  12. JamiiForums Tanzania Hivi huwa mnatubu dhambi ya kukashifiana humu jukwaani?

    Dhambi ni dhambi tu. Kwa wale wenye imani zetu hapa JF, Ni jambo jema kiimani unapomkosea mtu. Kukashifiana ni dhambi. Sasa unapomtukana mtu hapa JF hakuna tofauti na kumtukana mtu huko mtaani. Kwa kua tunatumia fake ID basi hatufahamu umri halisi wa kila member. Unaweza tukana mzazi bila...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

    Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja. Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

    Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake. Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina. Hapa unapata picha gani? Utapiga mzigo na kunasa? Binti ni mzee wa kazi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simba ikifungwa kelele huwa kidogo mitaani hapa nchini?

    Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec. Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo? Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
  16. JamiiForums Tanzania Swali; Baba huwa anarithisha size ya uume wake kwa mtoto?

    Naombeni msaada wenu watu mliosomea na kuelewa mambo ya Biology hasa kwenye ile topic ya Genes. Nimekuwa na hili swali kwa mda mrefu bila jibu, Size ya uume wa mtoto inatoka kwa baba yake au ni independent? Binafsi nina watoto wavulana wawili nimeona wamefanana na mimi size yangu ya utotoni...
  17. JamiiForums Tanzania Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

    Habari zenu Wana JF wenzangu! Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata mengi sana kupitia jukwaa hili. Kuna members mpaka majina yao yapo kichwani kwa nyuzi nzuri na...
  18. JamiiForums Tanzania Mahusiano chuoni huwa kama 'drama'

    Utakuta wanachuo wanatembea kwa kufuatana kama kumbi kumbi; mwanaume hataki kumuacha mwanamke, na mwanamke naye hataki kumuacha mwanaume. Mmoja akienda maktaba, mwenzake anamfuata, hivyo hivyo hata kwenye magrupu ya 'discussion'. Ulikuwa ukiingia kwenye vyumba vyao, utakuta matunda, juisi, wine...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye michepuko huwa mnawachukuliaje mnaochepuka nao?

    TGIF, Hi guys Naomba niulize wanaume swali ambalo laweza kuwa la kijinga ila kwetu sisi wanawake lina mantiki kubwa sana. Hii hasa ni kwa wale baadhi ya wanaume ambao wapo tayari kwenye Ndoa na Mahusiano committed lakini huko nje wanaruka ruka zao kama popcorn! Hivi huwa mnawachukuliaje...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Paper ya Tax management officer ii utumishi

    Paper imeisha salama,ila haikua rahisi kivile. Muda nao ni changamoto, wengi wetu hatujamaliza maswali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…