Kumbe hadi viti vya press conference huwa vinalogwa?

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Bwana weeee kumbe viti vinakuwa mambo flani tayari hadi ukiruka kiunzi cha ule mlango wa sehemu husika kombora linachapa kwa kocha siku ya mchezo na kabla unakuwa jitu la hovyohovyo

Basi ni jambo jema sana wekundu wa msimbazi kususia ile press na kesho msisahau kuruka yale mmadawa yalizyozindikwa na hao washirikina wa utopoloni

Mechi ya kesho ni muhimu wa kuwapasua ili wakawambane makofi vizuri pah pah pah
 
Ndo hivo iyo michezo ya utopolo tusha wajua tunawachora tu kesho tukawakande vizuri akili ziwakae sawa
 
Tushawastukia kombora lilikwepwa lile yaani kesho ni muhimu sana wapasuke kuna watu nataka wachezee makofi ya kina Mzee magoma hadi maji waite mma
Popcorn kurukaruka ndio kuiva kwake, leo mtamstumu mpaka Barbra kuwa ni msaliti.
 
Mapaka fc akili zenu zilishaishia kwenye uchawi tu kila kitu, ukiwa kilaza ni hasara kubwa Sana kwa familia
 
Back
Top Bottom