Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

Jun 1, 2021
99
104
Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza.

Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni tuelimike kwa pamoja.

Nini maana ya gari hizi kuandikwa transit goods au goods on transit?

images (5).jpeg
 
View attachment 1950727

Mkuu,

Transit Goods ni maneno yaliyoandikwa kwenye

gari zinazofanya kazi za kubeba mizigo kutoka

Tanzania kupeleka nchi zingine, kama DRC,

Zambia, Rwanda... N.k

Kuna taratibu za kufuatwa ili gari yako iweze

kuwekwa hayo maneno, ukikimalisha hizo Taratibu

TRA wanakupa C28 ambayo ni kibali cha kupiga

hizo kazi....

Sasa ole wako upakie mzigo wa ndani ya nchi halafu gari yako imesajiliwa kufanya hizo kazi

Faini yake.... Utakimbia gari...

Shukrani
 
Ni bidhaa (zigo) (mfano mafuta/vifaa/etc) zinazotakiwa kupita ardhi miliki ya nchi moja kwenda nchi nyingine zisizokuwa na bidhaa husika pia zisizokuwa na access to bandari
Nadhani I naweza kuwa na bandari, lakini wakaamua mizigo yao mwingine ipitie nchi jirani ambayo kwayo ni rahisi mizigo kufika sehemu ya nchi yenu ambako ni mbali kupita bandarini kwenu. Mfano mizigo ya Carbo Delgado Mozambique kupita Mtwara Tanzania . Au mizigo ya Moshi na Arusha kupita Mombasa Kenya. Maelezo yako mengine yote yako sawa.
 
ninanvyjua sisi tunavyomaanisha ni kwamba mzigo unaweza kuwa transit ukatumia multimodal trasnport aina tofauti za usafiri ila wa kwanza ndo ukahesabika katika hesabu gari likawa transit tu mafno umeshusha containers 4 mombasa then then ukachukua gari labda nne kila gari ikabeba container moja zikapitia horohoro sasa zile clearing zitafanyia horohoro kama kawa TZHO ila watatumia bill of lading ile ya shipping line waliletea mzigo kule mombasa za sio Road consignmen note ya hizo gari na zile gari zote zitakuwa na kibali kimoja maana wanatransit tu ata permit zote za kupitisha mzigo ni moja wnajumuisha kule mwanzo ilipotoka ambapo ililetwa na meli mpaka mombasa

izo transit goods zinatoka na ugumu ma kurahisishwa mambo ya customs
 
Sijaambulia lolote
 
Sijaambulia lolote
Yaani izo gari zimetumika kuhamisha mzigo kutoka nchi nyingine kwenda nyingine kurahisishwa mzigo ufike kwa haraka mfano mwingine unajua bandari ya DAR ina foleni sana mzigo utachukua nda kutoka au kuna prolonged process za kutoa kutoka forodha wewe unaotoa mfano dubai mpaka bandari ya mombasa then unautansit huo mzigo kwa kutumia izo gari ambazo zimeandikwa transit goods mpaka dar tena

sasa hapo katika documents zako japo umeingiza Tanzania kwa gari lakini bado utatumia zile bill of lading ikionyesha mzigo ulisafirisshwa kwa meli izo gari ni transit tu kwa nn unafanya ivyo ni kwamba ili upite tena labda horohoro utafanya clearing so zitahitajika izo nyaraka
 
my take izo gari zimapewaga sana kipaumbele unakuta gari nne zimetumia documents za nne moja hata kupita fasta zinaruhusiwa kwa pamoja
 
Mkuu kiufupi ni mzigo ambao bado haujafika nchi ulikonunuliwa ndio maana kuna hata gari hizi za IT( in transit) ambazo huwa zinatolewa bandari pale kwenda zambia au congo.
 
Mkuu,

Transit Goods ni maneno yaliyoandikwa kwenye

gari zinazofanya kazi za kubeba mizigo kutoka

Tanzania kupeleka nchi zingine, kama DRC,

Zambia, Rwanda... N.k

Kuna taratibu za kufuatwa ili gari yako iweze

kuwekwa hayo maneno, ukikimalisha hizo Taratibu

TRA wanakupa C28 ambayo ni kibali cha kupiga

hizo kazi....

Sasa ole wako upakie mzigo wa ndani ya nchi halafu gari yako imesajiliwa kufanya hizo kazi

Faini yake.... Utakimbia gari...

Shukrani

Haya maelezo yanafikirisha!
 
Nadhani I naweza kuwa na bandari, lakini wakaamua mizigo yao mwingine ipitie nchi jirani ambayo kwayo ni rahisi mizigo kufika sehemu ya nchi yenu ambako ni mbali kupita bandarini kwenu. Mfano mizigo ya Carbo Delgado Mozambique kupita Mtwara Tanzania . Au mizigo ya Moshi na Arusha kupita Mombasa Kenya. Maelezo yako mengine yote yako sawa.

Tunakubaliana na wewe mdau.
 
Back
Top Bottom