huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi haya majina ya vitu vipya kwa Kiswahili nani huwa anatunga?

    Wawe wanashirikisha wadau bana. Na hata kama hawashirikishi wengine watunge basi majina ama maneno mazuri. Sasa kama hili kishkwambi Yani unaltamka huku umekunja uso. Angalau wangeita tu tableti. Mengine yanayokera jokofu wangeacha tu friji. Smart phone Eti simu janja. Eti password nywila...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Wakuu samahani, Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
  3. EAPGS

    JamiiForums Tanzania Ni mara ngapi huwa unakumbuka kukagua filter hizi za gari yako?

    Wanajf , nawasalimu. Leo tena ningependa tukumbushane mambo haya ya msingi kwenye magari yetu. Ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa matumizi makubwa ya mafuta au ya wastani. Moja kati ya njia ambazo watengenezaji magari walitumia katika suala zima la kuifanya gari itumie mafuta kidogo ama...
  4. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Kama kawaida ya madaktari, huwa hawapendi kuguswa

    Lile sakata la kufutwa gharama za kuonwa/kuhudumiwa hospitali na wahudumu linazidi kuchanja mbuga. Kwanza tuwekane sawa hapa, haiitwi gharama ya kumuona daktari, inaitwa "Consultation Fee" ikimaanisha "Gharama ya Kuhudumiwa" kwa maana utapita mikono ya wataalamu kadhaa siyo daktari tuu. Baraza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndege zinazonunuliwa na Serikali zina faida gani wakati Human development iko very poor?

    Midege mingine mitano ya nini? 👇 -- Serikali inakusudia kununua ndege mpya tano katika mwaka wa fedha 2022/23 ikiwemo ndege moja ya mizigo, idadi ambayo itaifanya serikali kuwa na jumla ya ndege 16. Tayari serikali imetenga Sh353 bilioni katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya kugharamia...
  6. Lovehate

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuomba uchangiwe mahari?

    Huwa mnafanyaje katika hali kama hii. Uwezo wa kuhudumia mke na mtoto mmoja upo lakini ukisema usubiri ujichange hadi uwe na mahari inayotakiwa ni parefu. (1,000,000) Je ni sahihi kuomba uchangiwe mahari??? Si inaweza kuwa mwanzo wa dharau mahari uchangiwe utaweza kutunza mke na mtoto. (watu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mahafali ya Wahitimu wa Usalama wa nchini 'Northern Malawi' huwa hayatangazwi wala hatuonyeshwi kama yale ya Chuoni Lindumo?

    Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  9. Surya

    JamiiForums Tanzania Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

    Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika.. by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana.. unawakaaaa yani. simu ina bando hadi la hakiba.. Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini nguruwe huwa wachafu sana?

    Kama unawajua vyema, nguruwe ni moja ya wanyama wasafi na wenye akili sana duniani. Sasa kwanini wanasifa ya kuwa wanyama wachafu sana? Kuna mawili. 1. Nguruwe huwa hawana tezi za kutolea jasho. Wala hawawezi kupunguza joto kwa kutoa ulimi kama mbwa. Hilo linafanya wahitaji mazingira yenye...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara kwenye NGO za kimataifa huwa ni kiasi gani?

    Mfano NGO kama DANIDA, SIDA na nyingine za aina hiyo huwa wanalipa mishahara kiasi gani kwa nafasi let's say kama ya Finance officer?
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa zetu huwa kwenye kiwango chake, mdahalo mkali ujao baina ya wagombea Urais

    Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye. Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
  14. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

    Binafsi huwa siamini mtu anajipost kwa siku picha kumi yeye tu kiukweli sijajua kama ndio matumizi ya status tena kwa kidume ni kukoswa kazi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huwa wanajua wazi kabisa wake zao wanapigwa nje ila wanajikausha

    Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
  16. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

    Good morning jf.... Tusio na marafiki tukutane hapa😔 Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa...
  17. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wazazi huwa wanaona mbali linapofika kuoa au kuolewa

    Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka Je katika hili kuna ukweli wowote ule
  18. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao Pro NATO Huwa hawapendi kuusikia

    Urusi kushindwa kutawala anga la Ukraine. memba mmoja wa JF T14 Armata,hupenda sana kuelezea swala hili la kumiliki anga. Yeye hupenda kusema Urusi haitumii mtindo wa kumiliki anga kama vile ifanyavyo USA. Yeye huona kama huo ni udhaifu kwa Urusi na uwezo kwa USA. Lakini Mimi Nina maoni tofauti...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli sikukuu za wenzetu Waislamu siku karibu zote huangukia siku ya pili ya matarajio au huwa kuna namna?

    Habari Wakuu! Kwa muda mrefu sasa, nime-observe hii trend ambapo sikukuu za hawa wenzetu mara nyingi(kama sio karibu mara zote) zimekuwa zikiangukia siku ya pili ya matarajio. Swali ni je, hii trend imekuwa ni hivi hivi hata kwa siku za nyuma au ni siku hizi tu? Je, BAKWATA huwa wako sahihi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mabinti na Wanawake wa Kitanzania ni 'Dharau' na 'Kejeli' kama hizi ndizo huwa 'zinawaponza' na kujikuta mnafanyiwa 'Kitu Mbaya' na Wanaume

    Karen: Sijaona mwanaume wa kuzaa naye Tanzania | Nimezaliwa staa baba yangu staa. Taarifa: EastAfricaTV Baba wa huyu Binti ( Dada ) nakushauri kuwa makini sana kwani kuna Msanii mwingine huko nyuma alikuwa na Dharau na Nyodo kama hizi ila kwa alichofanyiwa Mbezi Beach ( Mitaa ya Rainbow )...
Back
Top Bottom