huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

    Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi. Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Joti huwa anawachekeshaje watu?

    Mimi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna. Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo. Huwa anawachekeshaje?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hukumu zenye utata kama hii ya Askari Morogoro huwa zinasababishwa na nini?

    Kuna kesi ya askari magereza aliyekuwa na tuhuma za kubaka mtoto huko Morogoro. Alipelekwa mahakamani na ikathibitika pasi na shaka kwamba alitenda kosa hilo na hakimu msomi akaitolea hukumu ile kutumikia kifungo cha maisha jela. Hiki ni kifungo cha kikatili ambacho lazima kusiwe na chembe ya...
  4. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa wanapenda Wanaume wenye Mamlaka

    Juzi Kati wakati natembelea maskani ya Twitter nikakutana na mkenya mmoja anazungumzia kisa chake kimoja na demu wake. Anasema yeye kwakawaida huwa soo nice Kwa manzi wake kiasi kwamba kila kitu yeye husema Sawa Tu,yaani Hajui kusema hapana Kwa babe wake, so ikatokea wakati akawa anaumwa na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote kutumiwa salamu siku yake ya kuzaliwa na vyombo vya habari nchini ni lazima au kujipendekeza?

    Nami GENTAMYCINE naomba nichukue fursa hii kuwatakia 'Hepibasidei' wale wote wanaosheherekea leo hata na yule aliyekuwa jana na aliyeko leo huko Dakar nchini Senegal. Ukiwa katika nchi yoyote ile duniani na ukakuta ama 99% ya Media zake au Media zote zinajikomba kwa mamlaka (Serikali) jua hilo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Chef anayeonekana kwenye kipindi cha Jambo huwa na jukumu gani?

    Huwa namuona chef mmoja anaonekana kwenye kipindi cha jambo Tanzania kila asubuhi kwanye TBC. Huwa ana jukumu gani? Sijawahi kuangalia hicho kipindi mpaka mwisho, ila kwa myda niliopata kuangalia sijawahi kumuona hata akiwahudumia watu hivyo anavyopikaga. Mfano leo angalau nimepata nafasi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nisipokula tungi huwa nakabwa na majinamizi ya kichawi. Ina maana tungi ni kiboko ya wachawi?

    Mwili huwa unatetemeka na kuwa kama unapigwa shoti. Huwa naota ndoto za ajabu na kupiga makelele. Lakini kama nipo matungileee huwa nalala vizuri asubuhi napiga mishe zangu tu.
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

    Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya. Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi? Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi? Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto na wengine hubaguliwa?

    Kwema WanaJF, Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa nini kinajadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri? Kuna umuhimu gani wa kutupa taarifa kuwa wamekutana?

    Naombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la Mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulishwa kuwa wamekutana. Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

    Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wa vijijini ndiyo huwa wanalipa mikopo nchi hii, wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye matumizi ya hiyo mikopo

    Karibu asilimia mia moja ya mikopo ya nchi hii inalipwa na toka uhuru imekuwa inalipwa na watu wa vijijini. Unapoenda kulipa mikopo lazima utumie fedha ya kigeni, yaani dola. Sasa nchi yetu inapataje dola? Ni kwa kuuza bidhaa nje ya nchi. Wazalishaji wa viwanda vya ndani ambao wanauza humuhumu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

    Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au...
  14. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Huwa unajihisi vipi ukikutana na mtu aliyewahi kukudharau kwenye maisha yako?

    Salaam wakuu, kuna nyakati binadamu tunapitia mengi katika Safari yetu ya maisha ya kila siku. Ziwe nyakati nzuri au mbaya, basi kuna funzo muhimu huwa tunalipata katika maisha yetu. Je, huwa unajisikiaje ukikutana na mtu ambae aliwahi kukudharau au kukuchulia poa katika maisha yako na...
  15. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa Roho huwa ina kawaida ya kutoka tulalapo?

    Hivi umeshawahi lala usiku halafu ukajikuta kama unaota hivi lakini fahamu zako zinakuonyesha kabisa upo macho na unajiona mwepesi Sana pasipo kawaida na saa nyingine huenda ukahisi kama upo hewani hivi Au Unaweza kwenda sehemu Fulani ambayo hujawahi fika lakini kuna kumbukumbu Fulani inakujia...
  16. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

    Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na mikucha kama hiyo eti atangaze ndoa hiyo ni big hapana. utapigwa pipe miaka ndenda rudi na hauta sikia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni mchambuzi yupi wa mpira (pundit) unamkubali sana? Mimi namuelewa sana Amri Kiyemba

    Kama kicha cha habari kinavyojieleza ...haya twende kazi
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kampuni za kubeti wanatumia teknolojia gani ili wasifilisike?

    Hawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
Back
Top Bottom