huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia simu ya laini moja na kutembea na ya ziada kwa laini ya pili huwa hamuoni unafuu kutumia simu zenye laini 2?

    Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada. Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili. Simu zenye laini mbili si kama wengi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na Serikali mnajisikiaje mkiuona uwanja wa Azam Complex?

    Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia. Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

    Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu. Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa kumbe kuna Siri Kubwa imejificha pale Rais akiteua na kutengua muda mfupi. Naomba niijue tafadhali

    GENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu kateuliwa leo Ijumaa kisha kesho Ijumaa anatumbuliwa au uteuzi wake kutenguliwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wana MMU wenzangu tutumie jukwaa letu vizuri maana Rais huwa anapita huku

    Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF. Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa. Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu 'Kanifolo' sasa hivi sijui ndiyo 'Mama' aliyesema huwa Anatusoma na Kucheka hapa JamiiForums!!!!

    Karibu sana Mama na Asante kwa Kunifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila nikuahidi tu kuwa japo Unanifolo, Unanipenda na Kunifuatilia sana, ila sitoacha Kukukosoa ukiharibu na Kutofurahia ukipatia kwani Mimi furaha yangu ni Wewe Kujichanganya Kiutendaji ili nipate cha Kukusiliba hivyo Nivumilie...
  7. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Jamani hizi ndoto huwa Zina maana gani?

    Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi? Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa boss wako,mwalimu wako au mke wa mtu na unamheshimu Sana,Yaani Sana tu na hujawahi fikiria hata siku...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa wanatupenda sana wanaume ambao tuko real

    Kwa mfano mwanaume wewe unajijua kuwa ni mlevi, wewe ukikutana na mwanamke day one just show her your reality kuwa ni mlevi haswa kama ni wa kukupenda atakupenda ulivyo tu, acha kuzuga. Ukimdanganya na siku akigundua wewe ni mlevi asee atakumaind sio poa. Huu ni uchunguzi binafsi nilioufanya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotamba "Najua kuacha sijui kuachwa" mara nyingi baadae huwa wasumbufu kwa wapenzi waliowaacha

    Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu. Nakumbuka nilikuwa na demu mmoja mzuri, ki ukweli huyu demu alikuwa mzuri Black beauty bonge la figure, halafu mara nyingi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi waarabu na wazungu huwa wana vinasaba vya ushoga? Wamepaharibu Zanzibar na Dar

    Sehemu iwe kijiji mtaa hata wilaya kama kuna warabu na wazungu basi hiyo jamii lazima igeuke na kuwa na mashoga wengi. Angalia Dar, Zanzibar, Tanga na Mombasa hii ni mifano tu. Lakini hata South Africa Mashoga wengi wazungu na machotara. Kwa nini inakuwa hivi?
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa? Nyie wafuasi wa CHADEMA...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Radio station huwa wanachezeshaje draw za mchongo pesa?

    Yaani ili kupata namba ya ushindi huwa wanatumia mechanism gani ku’roll the dice’? Yaani mtu anaibuka tu anakwambia tunamoigia mshindi, from nowhere! Akimpigia mtoto wa mjomba wake je? Hakuna transparency kama ya sports betting, ambapo goli likifungwa kila mtu analiona na hakuna ujanja ujanja...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

    Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe. Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kupiga watu mtaani inakuwaje?

    Haya matukio ya raia kupigwa na wanajeshi mtaani hutokea pale ambapo mwanajeshi mwenzao kafanyiwa kitendo kibaya na watu wasiojulikana hasa labda imetakea mwenzao kaibiwa, kaumizwa, kauliwa, nk. Nimewahi shuhudia matukio haya ambayo yaliwafanya watu kuishi kama wakimbizi maeneo ya Dar Kigamboni...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kujiita chama cha "Demokrasia na Maendeleo." Demokrasia na maendeleo huwa havikai pamoja

    Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ripoti huwa haziakisi ukweli. Mimi nikiwa na Tsh 10,000/= nikiichenji tu inakatika ndani ya saa

    Supu ya buku mbili, mchana buku tatu usiku buku tatu buku teni inakuwa imeisha.
  18. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

    Can't Be With You Tonight You Caught My Eye That Night We Met Dreaming of a Little Island Turn Back the Time Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas 🎄 Moja udogoni udogoni baada ya kula pilau na kunywa soda Inachukuliwa Redio cassettes then zinawekwa...
  19. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa. Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri ni nini?
  20. makilo

    JamiiForums Tanzania Je, bima huwa inawafidia wahanga Hawa?

    Wakuu Kama kichwa Cha habari hapo juu. Naomba kujuzwa, majeruwi na familia za wapendwa waliofariki zinazotokea kwenye mabasi ya mikoani au haya ya humu mijini yenye bima kubwa huwa wanafidiwa? Huwa wakipata majeraa wanatibiwa kwa gharama za Nani? Mmiliki wa chombo serikali au watajua wenyewe...
Back
Top Bottom