Christian Ronaldo ana utoto sana. Huwa namchukia sababu ya kudhani yeye ni bora sana anafaa kuogopwa

Usichote kila kiachoandikwa na media kwenye mitandao kuhusu Ronaldo na wewe ukajaza kwenye Hilo FUVU halafu ukajaa hasira.
Mkuu macho huna ama? Maneno alosema jamaa hapo yapo wazi kabisa jamaa huwa anachukia akifanyiwa sub.
 
Ronaldo hana cha kupoteza kwenye soka..

Makocha wana cha kupoteza timu zao zisipofanya vizuri na ronaldo yupo benchi maana hao makocha hawana Brand kubwa wala Resume ya kumzidi Ronaldo.

Maana mashabiki na viongozi wa timu watawalalamikia makocha why ronaldo ulimuweka benchi. Na huku timu haijafanya vizuri

Kwenye maisha jua kujenga Brand tu. Hata kwenye makosa yako Brand itakutetea tu.
 
Usichote kila kiachoandikwa na media kwenye mitandao kuhusu Ronaldo na wewe ukajaza kwenye Hilo FUVU halafu ukajaa hasira.
Sasa wewe si kila anachomfikiria Ronaldo usitumie Makalio kumfikiria utaona tu yupo sawa.
 
Japo kachezea timu zangu za Man u na Madrid ila sijawahi kumpenda huyo Mwamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom