huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu huwa hawaitwi hili jina?

    Toka nizaliwe sijawahi sikia mtu akiitwa Delila. Kwenye delta ya mapenzi anaweza kuwa hatari sana au inakuaje wakuu?
  2. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa za chaguzi kwa matumizi haya huwa zinatoka wapi?

    Habari za muda huu watu Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu. Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, wenzio huwa wanachoma nyumba baada kumaliza kuhamisha asset zilizomo ndani!

    Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
  4. Bridger

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Mihogo huwa na sumu inayoweza kuua

    Kwa mujibu wa mdau mmoja, Disemba 12, 2019 aliona kwenye taarifa ya habari ya chombo kimoja wakitangaza kuwa familia moja imepoteza watoto wao wanne kwa kile kinachodaiwa kuwa walikula mihogo yenye sumu. Aidha, mada hii imekuwa inazungumzwa sana mitaani, huku ikiacha mashaka makubwa kwa kuwa...
  5. Kollebundle

    JamiiForums Tanzania Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

    Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu huwa anaongea na Wanadamu? Je, kwanini haongei na kila mtu?

    Haya maneno Mungu ameniambia, au wakati mwingine nimefunuliwa, yamekuwa maneno ambayo hutumiwa sana na watu kuonyesha wamepata ujumbe kutoka kwa Mungu. Swali langu, kwanini Mungu haongei na kila mtu? Wote tuna mahitaji, iweje aongee na watu wachache tu?
  7. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Hata tupoteze watu elfu, wale jamaa huwa hawakatizi safari.

    Viongozi watanzania huwa hawajali. Hata mfe mamia au maelfu kwenye ajali moja hawawezi katisha safari zao, sembuse makumi. Shida huwa hakuna uwajibishaji. Utawasikia wapiga tarumbeta wao wakikwambia kwani akifupisha ziara, atakuja kuwafufua wafu? Au wewe bwege wajua faida ya ziara? Tuna...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wa wanaoenda Marekani kutafuta maisha huwa wanarudi hawana kitu na kama vile kisaikolojia hawako sawa?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili. Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

    Mikataba
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli hii ndiyo sababu siku nyingine wanatutaka tumalize haraka

    Wataalam wa Saikolojia ya Mapenzi (mibanduano) wanasema kuwa ndani ya mwezi ni siku sita ambazo wanawake hutamani kupenziwa (kubanduliwa) na wanaume ila siku zingine zote huwa hawajisikii hamu. hivyo ni kama vile wanaume wengi huwa tunapiga punyeto tu ndani ya mbunye zilizo mbele yetu. Sasa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, huu Utamaduni 'Unaoboa' huwa ni takwa la Kikatiba, la Kiserikali, la Kichama ( CCM ) au ni la Kujipendekeza tu?

    Utamkuta Waziri, Mkuu wa Mkoa na Wilaya pamoja na Watendaji wengine kila wakiwa wanatolea Ufafanuzi wa Jambo fulani wakiwa Wanahojiwa na Waandishi wa Habari ni lazima tu Watalazimisha kumtaja Rais wa Nchi (mfano wa sasa Samia) na hata kwa Wengine waliotuongoza Watanzania huko nyuma. Hivi kwani...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa marefari kwenye NBC league Huwa wanatolewa wapi?

    Ni mambo ya ajabu kweli. Hawa waamuzi ni wa kiwango Cha chini sana, tena hawana ushawishi kabisa. Carrier ya waamuzi Kwa hapa nchini ni kizungumkuti. ............. Mwamuzi wa mechi ya leo kati ya Simba SC na Yanga ameboronga sana kimaamuzi. Katoa kadi bila...
  14. To yeye

    JamiiForums Tanzania Ukiona unajisikia vibayavibaya huwa unafanyaje?

    Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya kiongozi dhaifu huwa hajiamini na anapenda kusifiwa. tu. Je, ipo ama ni kauli fariji? The Paradox of Contemporary Dimensions

    Hello, dhamana ya uongozi ni baraka itokayo Kwa Mungu na watu wake, Kwa kuwa haitatokea tukawa wakamilifu kama Mungu, tukubali mawazo mbadala kinzani, yawe matamu, yawe machungu, tuyabebe, ukichukia kukosolewa maanake wewe ni wa jehanamu. Mungu hapendi kukomoa tujisahihishe, tumbili nao ni...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  17. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

    Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha. Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

    Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa. Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka...
  20. Championship

    JamiiForums Tanzania John Bocco huwa anaingizwa kufanya nini kwenye mechi za kimataifa?

    Bocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika. Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa zinataka kasi na umakini mkubwa. Leo amepoteza mipira mingi sana kwa dakika chache alizocheza...
Back
Top Bottom