Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,694
11,016
Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine.

Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike.

Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata kidogo na hii nahisi imesababishwa na mazingira niliyopitia yaani unamsaidia mwanamke ukigeuka tu huku nyuma anakung'ong'a na kukucheka wengine hufikia kukuona fara au mshamba kwakweli hii hali imeniathiri kisaikorojia yaani kumpa mwanamke msaada nafsi yangu inakuwa nzito sana.

Juzi kuna dada ameniomba elfu thelathini ya matibabu nimemnyima na badala ya kujutia kitendo changu naona nafsi yangu inafarijika na kufurahi 🤔🤔.
 
Tatizo siku hizi kuna midume kama mabinti vile vile.

Thamani ya msaada hasa ni pale unapotoka moyoni, kwasababu ya matendo ya matepeli wengi wa kike usijanye ukamuhini mwanamke mwingine msaada anaehitaji kweli.
Daima fuata nafsi yako inavyokwambia, ukiona hapa nimeamua kusaidia basi ishia hapo hapo kwenye msaada na si kuhoji dhamira ya muomba msaada maana hapo utakuwa ushaondoa maana yote ya msaada huo.
 
Back
Top Bottom