Wanajeshi 600 kuuawa kwa siku moja, hivi Putin huwa anawajibu nini wazazi wa hawa vijana

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,652
48,417
Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni wanapelekwa mafunzo ya hovyo na kusukumwa frontline wakajifie, nchi yote iko kimya kwa hofu.

Kwa siku moja tu, Ukraine wameua wanajeshi 600, na hawa ni hao watoto walalahoi wanywa gongo waliokotezwa vijiweni, wanafyekwa kama senene.

================

The Ukrainian Armed Forces claimed Monday to have killed about 600 Russian servicemen in fighting over the past day, bringing the total number of Russian soldiers killed since the start of the offensive to about 88,000, according to Kiev data.

The General Staff of the Ukrainian Army has indicated in a message on its Facebook social network account that some 590 Russian servicemen have been "liquidated" over the past day, bringing the total to "around 87,900".

He also highlighted that since the beginning of the invasion, 2,908 tanks, 1,899 artillery systems, 209 anti-aircraft defense systems and 395 self-propelled and armored multiple rocket launchers have been destroyed.

He also said that 278 aircraft, 261 helicopters, 1,555 drones, 531 cruise missiles, 16 ships, 4,416 vehicles and fuel tanks and 163 pieces of special equipment have also been destroyed.

"The data is being updated. Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," the Ukrainian Army General Staff has noted, against the background of recent Ukrainian advances in areas of the Kherson and Kharkov regions.

Siju ukijua kwa nini viongozi waafrica ni bado mambumbu kwa kuamini wazungu ndio watatuondolea umasikini basi siku hiyo utajua kwa nini Putin yupo vitani.
Think twice bro na achana na westen media namaanisha BBC,CNN NK.
 
Kumbe Ukraine ndo wamedai (claim) kuwa wamewauwa wanajeshi 600 na we usivyo na akili ukachukua huo ndo uhalisia! Pole sana, kwahiyo Russia nao wakisema tu wameua battalion nzima ya Ukraine utaamini? Leta ripoti kamili achana na propaganda za Ukraine has claimed that...and related shit
 
Tangu msafara wa Warusi ulifyekwa mlikua hamuamini hivi hivi tu....nitakuletea araba news nafikiri utaamini.
 
Uwe unatoa matamko kama haya hata kwenye mabango ya taarifa zinazoletwa Warusi au Waarabu wa JF, nakumbuka tangu Mrusi anafukuziwa kuanzia Kyev mumekua mnasema propaganda kila tukianika mafanikio ya Ukraine humu.
Hiyo taarifa imetolewa na Ukraine,ni kama taarifa pia Ile aliyotoa Zelensky Kuwa ni Russia ndio wameshambulia Poland,kumbe ni uongo!
So mpaka hapo unaweza kuona source Yako sio legitimate!
 
Siju ukijua kwa nini viongozi waafrica ni bado mambumbu kwa kuamini wazungu ndio watatuondolea umasikini basi siku hiyo utajua kwa nini Putin yupo vitani.
Think twice bro na achana na westen media namaanisha BBC,CNN NK.
Mzungu na wewe nani bora sasa?
 
Hiyo taarifa imetolewa na Ukraine,ni kama taarifa pia Ile aliyotoa Zelensky Kuwa ni Russia ndio wameshambulia Poland,kumbe ni uongo!
So mpaka hapo unaweza kuona source Yako sio legitimate!

Waarab mlileta humu taarifa kwamba Zelensky amekimbilia Poland, kwamba ameisha, mumetangazia Ukraine kiama mara zaidi ya mia humu na vihabari vyenu uchwara, lakini kipigo kile kile, wengi hata mliapa kuihama JF kama Ukraine wakikomboa hata ekari 50, leo Urusi anahenyeshwa mji baada ya mji...
 
Waarab mlileta humu taarifa kwamba Zelensky amekimbilia Poland, kwamba ameisha, mumetangazia Ukraine kiama mara zaidi ya mia humu na vihabari vyenu uchwara, lakini kipigo kile kile, wengi hata mliapa kuihama JF kama Ukraine wakikomboa hata ekari 50, leo Urusi anahenyeshw mji baada ya mji...
Naona unakimbia hoja ya msingi na kutafuta Chaka la kujificha!😁
 
Tutaleta hata arab news kama hautaki za Western, ila kichapo kiko pale pale......mpaka mtaita maji ma...
600 haiwezi kuwa, eneo pekee ambalo kuna closequater combat ni Bakhmut,, ambako inasemwa majeshi ya ukraine wanapukutika mno na huo mji umekaribia kutekwa na jeshi la kukodi la Russia, wagner,
Inasemwa huko kuna bloodbath, au meat grinder,, huko ndo Russia wamepanga grinding ya kukata nguvu za jeshi la ukraine,
Matokeo yake, ukraine imeshindwa ku advance sehemu zingine na wanatuma reinforcement bakhmunt kujaribu kuzuia Russia wasiuchukue mji, so kila wakituma jeshi, linafutwa,, wanatuma tena na tena, linafutwa,,
Ndio kisa cha kuitwa meat grinder
 
Back
Top Bottom