hussein mwinyi

Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a CCM nominee for presidency in Zanzibar October 2020. He is the current Minister of Defence and National Service.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani

    Upinzani ni spirit ambayo kamwe haijawahi kuuawa kwa kuwateka wapinzani, kuwatesa, kuwafunga kwa makosa ya kubambikiza etc. Njia rahisi ya kuua upinzani ni kupitia upendo na kuwaridhisha watu licha ya kwamba hakiwezekani kuwaridhisha watu wote kwa wakati, lakini hili linawezekana akipatikana...
  2. J

    Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

    Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini. Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar. Maendeleo hayana vyama!
  3. Deogratias Mutungi

    Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
  4. mwanamwana

    Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

    Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi. Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
  5. J

    Kanisa la TAG lampongeza Rais Dkt. Hussein Mwinyi kwa kumteua muumini wao kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi!

    Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi. Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za...
  6. Kabende Msakila

    Dkt. John Pombe Magufuli, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif watuzwe udaktari wa heshima

    Wanabodi, Salaam! Kwanza nianze kwa kukupongezeni kwa uhai wenu ndani ya kundijamii hili - nafahamu kwamba pamoja na kuwa tumo watu wa itikadi tofauti za vyama vya siasa, dini tofauti, jinsia na makabila tofauti lkn bado tunatumia jukwaa hili kutoa ya akikini mwetu ili yasaidie kuijenga nchi...
  7. mama D

    Rais Mwinyi atembelea kwa kushtukiza hospitali ya Mnazi Mmoja. Atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo

    Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika. Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib...
  8. Q

    Rais Hussein Mwinyi: Niko tayari kufanya maridhiano na vyama vingine

    HABARI: Ninaheshimu maridhiano na matakwa ya Katiba ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa katika kuendesha Serikali. Niko tayari kuyatekeleza maridhano kama Katiba ya Zanizbar inavyoeleza - Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar #MwanaHALISIDigital. ===================== KUMBUKUMBU...
  9. mama D

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

    Hapa kazi tu Zanzibar
  10. kavulata

    Rais Hussein Mwinyi ataiunganisha Zanzibar na Bara

    Amezaliwa ndani ya muungano, ameishi Zanzibar na Bara, alikuwa mbunge Bara na Zanzibar, na amekuwa Waziri wa Wizara ya Muungano. Ni mtu sahihi sana kuinganisha vema Unguja na Pemba kisha Zanzibar na Bara. Ni kijana mwenye weledi, utu na muono wa mbali sana. Kama atashindwa yeye kuwaunganisha...
  11. C

    Zanzibar: Hafla ya kuapishwa Rais mteule Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Mwinyi Uwanja wa Amaan

    Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dkt. Jakaya Kikwete. ======= 3:35 Asubuhi: Amewasili mkuu...
  12. Roving Journalist

    Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kuapishwa Novemba 2

    Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi Novemba 2, 2020 ataapishwa kuwa Rais wa awamu ya nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Sherehe hiyo itafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Dkt. Mwinyi alishinda baada ya kupata 76.27% ya kura zote halali.
  13. Replica

    Hussein Mwinyi: Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyotokana na kauli za watu

    Leo Dkt. Hussin Mwinyi anaendelea na kampeni ya kuwania Urais Zanzibar eneo la Micheweni kuiongoza serikali ya awamu ya nane na miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia, amesisitiza kulinda amani ya Zanzibar. Mwinyi amesema sasa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyotokana na kauli za watu...
  14. Deogratias Mutungi

    DK. Hussein Mwinyi ndiye anayefaa kupewa urais Zanzibar, anazo sifa za kuulinda Muungano

    Mantiki ya kisiasa inaonyesha Dkt. Hussein Mwinyi ana weledi, busara na nidhamu za kuulinda muungano bila nongwa yoyote, aidha ni mwaminifu na myenyekevu anayeshauriwa na kusikiliza, kwa sifa hizo anastahili kupewa nchi kupitia sanduku la kura hapo Oktoba 28, Wanazanzibari kwa umoja wenu...
  15. Chief Kabikula

    Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

    Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
  16. GENTAMYCINE

    Hivi kama siyo Uchaguzi huu Mkuu wa 2020 kuwepo, hizi tabia njema na za asili za Mgombea Hussein Mwinyi Wazazibari tungezijuaje?

    Jamaa ( Hussein Ally Mwinyi ) ana..... 1. Cheza sana Karata au Bao na Wazanzibari huku akiwa hata hana Wasiwasi na Ulinzi ( Usalama) wake walivyo wengine 2. Tembelea Masoko yote ya Zanzibari na Kusikiliza Shida zao zote tena muda mwingine akiwa ameketi Sakafuni kabisa 3. Kula Chakula pamoja na...
  17. Deogratias Mutungi

    Hoja za Dkt. Hussein Mwinyi zinatosha kumpa nchi Oktoba 28

    HOJA ZA DK HUSSEIN MWINYI ZINATOSHA KUMPA NCHI OKTOBA, 28 Dkt. Hussein Mwinyi mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar anastahili kuchaguliwa kwa kura za ndio nyingi na kupewa nchi ili awaongoze Wazanzibar, nimefatilia mikutano yake ya kampeni na kubaini kuwa ni miongoni mwa wagombea bora wenye...
  18. Deogratias Mutungi

    Dkt. Hussein Mwinyi ni Mandela mpya wa Visiwa vya Zanzibar

    DK. HUSSEIN MWINYI NI MANDELA MPYA WA VISIWA VYA ZANZIBAR Deogratias Mutungi Siasa imara ni zao la ustawi wa amani na maendeleo ya watu, Siasa ni chemichemi na kiungo cha utaifa wa mtu na mtu, Siasa mbovu ni chanzo cha matatizo na mifarakano inayo hatarisha utu na uhai wa binadamu aidha bila...
  19. S

    Hussein Mwinyi bora ukawaachia - Ombi la wazi

    Kwa maoni mujarabu kabisa ni bora Nd. Hussein Mwinyi akawaachia ugombezi wa Uraisi wa Zanzibar kwa maana ya kujitoa hii itakuwa fahari yake milele kwani kufanya hivyo ni kuiepusha Zanzibar na shari na dhiki zinazoinyemelea. Kama Muislamu Mkereketwa hakuna haja ya kuzozana heshima atakayoipata...
  20. Analogia Malenga

    Dkt. Hussein Mwinyi, ateuliwa na ZEC kugombea Urais wa Zanzibar

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemteua Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu 2020 Hussein Mwinyi anagombea kwa tiketi ya CCM na amesema watafanya kampeni za kisayansi na ustaarabu
Back
Top Bottom