hussein mwinyi

Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a CCM nominee for presidency in Zanzibar October 2020. He is the current Minister of Defence and National Service.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

    Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
  2. S

    Hongera Hussein Mwinyi kuutangazia Umma kuwa hutaki ushindi wa kura za wezi au wizi

    Hongera sana kwa kuutangazia Umma wa Tanzania kuwa hutaki ushindi wa kura za wezi au wizi, ni sawa kwa kuanza kuwatahadharisha wanaopanga kukuharibia pepo yako, ama hapo umetoa kauli nzuri ambayo Inshaallah isiwe na shaka ndani yake. Huku ni kujipambanua na mbinu zilizokuwa zinatumika kuwaweka...
  3. Chief Kabikula

    Hussein Mwinyi kuitwa Rais Mteule kabla hajachaguliwa na wananchi ina maana gani?

    Wakati wa misa ya mazishi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa mtangazaji alikuwa akimtaja mgombea urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar, Hussein Mwinyi kuwa Rais Mteule wa Zanzibar. Hivi ukishateuliwa na CCM tayari unakuwa Rais? Kura za wananchi hazina maana? CCM kumbe hii nchi...
  4. K

    Jicho la Tatu ziara ya Mteule Urais CCM Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi

    Naam, ni wakati mwengine tunakupatia taarifa. Jana tarehe 15 Julai, 2020 kulikuwa na mapokezi ya Mteule wa urais wa CCM Zanzibar dkt Hussein Mwinyi. Ziara ilifana na iliandaliwa vya kutosha. Tutatoa tathmini fupi kutokana na taarifa zetu. Shabaha na kupima upepo. Ziara si tu kwamba ilenga...
  5. J

    GE2020 Dkt. Mwinyi: Wajumbe wa Zanzibar waliotupigia kura ni 68 hata kama ni kweli wenzangu walipata 35 basi na mimi nilipata 33

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa. Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka...
  6. Chief Kabikula

    Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

    Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar...
  7. GENTAMYCINE

    GE2020 Niliwashangaa sana waliokuwa Wakimkataa na hadi Kumchukia Chaguo la Mungu na la Wazanzibari Dkt. Hussein Mwinyi

    Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa...
  8. T

    Hussein Mwinyi atashinda uchaguzi, Maalim Seif atashinda kura

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha mchakato wa kupata mgombea wake wa urais kwa upande wa Zanzibar. Ni Hussen Ali Hassan Mwinyi. Mwanasiasa mtulivu, mkimya na asiyependa kujikweza. Zipo tetesi kuwa ukimya wa Hussein Mwinyi, unavuka mipaka ya kawaida. Hata kwenye vikao vya Baraza la...
  9. kavulata

    Muungano hautajutia kumpata Mhe. Hussein Mwinyi

    Alikuwa mbunge Bara na Zanzibar. Anakujuwa kote anapendwa kote, Muungano utake nini tena. Kusema kweli huu ndio muda mzuri wa kuimarisha na pengine kuukamilisha Muungano wetu. Faida za muungano ziko wazi, huu Ndio ule muda mwafaka wa kufikiria na kutekeleza muungano wa serikali moja badala ya...
  10. Roving Journalist

    GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  11. Fidel80

    Mlipuko wa masalia ya mabomu Mbagal: Je, Dr. Mwinyi ajiuzulu?

    Mabaki ya mabomu 2 yalipuka na kuua watoto wawili walio kuwa wakicheza kwenye migomba na kuwaacha 4 wakiwa wamejeruhiwa vibaya. More news stay tuned. Watoto hawa wamenusurika kupata mauti wakiwa na mama
Back
Top Bottom