Zanzibar 2020 Hivi kama siyo Uchaguzi huu Mkuu wa 2020 kuwepo, hizi tabia njema na za asili za Mgombea Hussein Mwinyi Wazazibari tungezijuaje?

Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,125
2,000
Jamaa ( Hussein Ally Mwinyi ) ana.....

1. Cheza sana Karata au Bao na Wazanzibari huku akiwa hata hana Wasiwasi na Ulinzi ( Usalama) wake walivyo wengine
2. Tembelea Masoko yote ya Zanzibari na Kusikiliza Shida zao zote tena muda mwingine akiwa ameketi Sakafuni kabisa
3. Kula Chakula pamoja na Watu wa Hali ya chini Zanzibari akiwa katika Mkeka na Kunywa nao Maji yasiyochemshwa vile vile
4. Endesha Baiskeli na Vespa Viunga vyote vya Zanzibari huku akiwa hataki Kulindwa na Watu wa aina yoyote ile
5. Ijua Mitaa yote ya Unguja na Pemba (Zanzibari) kuliko hata ile ya Kwao Mkurunga Mkoani Pwani
6. Roho nzuri mno ambapo ukibahatika tu Kukutana nae na ukijitambulisha Wewe ni Mzanzibari anakupa Pesa
7. Penda kwenda pia Visimani kama Wazanzibari wengine wengi ili Kuchota nao Maji tena wakati mwingine akiwa anapekua tu

Na Mimi ninavyowajua Wazanzibari hasa wale wa kule Kisiwani Pemba wanavyompenda Hussein Ally Mwinyi watampa tu Kura zao zote kwa 100%.
 
Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
2,665
2,000
Akiweza kupanda mnazi na kuchuma karafuu ndio watamjuwa kuwa kweli ni Mzanzibari.Akaribishwe vyakula vya asili vya visiwani akiweza kula watajuwa kweli ni mwenzao.

Lakini ikiwa hajui kuchambua karafuu na hawazi kupiga goti kula wali na hajui kuogelea pwani basi akae pembeni amfuate aliyemtuma kwani hawezi kujuwa ladha ya wavipendavyo wazanzibari na shida zao.
 
Jagina

Member
Jan 29, 2019
71
125

Akakae jela japo siku moja na wale masheikh wa Uamsho hapo atakuwa mzanzibari
 
Makala josee

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
264
250
Jamaa ( Hussein Ally Mwinyi ) ana.....

1. Cheza sana Karata au Bao na Wazanzibari huku akiwa hata hana Wasiwasi na Ulinzi ( Usalama) wake walivyo wengine
2. Tembelea Masoko yote ya Zanzibari na Kusikiliza Shida zao zote tena muda mwingine akiwa ameketi Sakafuni kabisa
3. Kula Chakula pamoja na Watu wa Hali ya chini Zanzibari akiwa katika Mkeka na Kunywa nao Maji yasiyochemshwa vile vile
4. Endesha Baiskeli na Vespa Viunga vyote vya Zanzibari huku akiwa hataki Kulindwa na Watu wa aina yoyote ile
5. Ijua Mitaa yote ya Unguja na Pemba (Zanzibari) kuliko hata ile ya Kwao Mkurunga Mkoani Pwani
6. Roho nzuri mno ambapo ukibahatika tu Kukutana nae na ukijitambulisha Wewe ni Mzanzibari anakupa Pesa
7. Penda kwenda pia Visimani kama Wazanzibari wengine wengi ili Kuchota nao Maji tena wakati mwingine akiwa anapekua tu

Na Mimi ninavyowajua Wazanzibari hasa wale wa kule Kisiwani Pemba wanavyompenda Hussein Ally Mwinyi watampa tu Kura zao zote kwa 100%.
Kumbe anapesa kiasi hicho
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,527
2,000
Akiweza kupanda mnazi na kuchuma karafuu ndio watamjuwa kuwa kweli ni Mzanzibari.Akaribishwe vyakula vya asili vya visiwani akiweza kula watajuwa kweli ni mwenzao.

Lakini ikiwa hajui kuchambua karafuu na hawazi kupiga goti kula wali na hajui kuogelea pwani basi akae pembeni amfuate aliyemtuma kwani hawezi kujuwa ladha ya wavipendavyo wazanzibari na shida zao.
Unamtafutia kifo mwenzio wewe kuvuna karafuu sio shughuli ndogo au kupanda mnazi
 
Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
2,665
2,000
Unamtafutia kifo mwenzio wewe kuvuna karafuu sio shughuli ndogo au kupanda mnazi
Wazanzibari wote wake kwa waume wana sifa hizo,ama zote au angalau moja wapo.Na hii ya kuchuma karafuu ndio kiboko yao lakini wapo akinadada wanaweza pia.Itakuwaje Hussein Ali asiwe na hata sifa moja.
Amepita masokoni na kwa vinyozi sasa aende baharini kuogelea na apigwe picha yuko juu ya mkarafuu anachuma zao la taifa.Mwenzake Seif pamoja na uzee wake anajua kuogelea na hata kupiga mbizi bado ana uzoefu wa enzi za utoto wake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom