hussein mwinyi

Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a CCM nominee for presidency in Zanzibar October 2020. He is the current Minister of Defence and National Service.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Amos Makalla: Hoja ya Rais Mwinyi kuongezewa miaka ya Urais haipo

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema hoja ya kuongeza muda wa Urais kwa Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutoka Miaka Mitano hadi Saba, haipo. Akihojiwa na Clouds FM, Makalla amesema “Hilo jambo halipo, halijafika...
  2. Suley2019

    PreGE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

    Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano. Hayo yamesemwa...
  3. Elitwege

    Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24. 2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi...
  4. B

    PreGE2025 Dr. Hussein Mwinyi ameituliza Zanzibar

    Huyu Mwamba aisee amenishangaza. Ame niprove wrong, sikuwa na mwamini kivile. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chini ya Dr Hussein Mwinyi mtoto wa Hayati Alihasani Mwinyi uongozi wake umepevusha amani na utulivu ndani ya visiwa vya Zanzibar. Kuna utulivu wa juu sana ukilinganisha na...
  5. B

    Rais Dkt. Hussein Mwinyi amejipanga kwenye nini??

    Kwanza Nimpe Pole Sana Dr Hussein Mwinyi kwa kuondokewa na Baba Yake Kipenzi Mzee Rais Mstaafu Ali Hussan Mwinyi Kilichotokea Mwezi uliopita Tar 29 Feb 2024. Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi. Salamu zingine leo ni kumpongeza Rais Dr Hussein Mwinyi kwa kazi nzuri anayofanya Ktk...
  6. Erythrocyte

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Hii ndiyo Taarifa mpya ya sasa kama ilivyoripotiwa na MwanaHalisi Digital . Husein Mwinyi ambaye ni Rais anadai wanaoeneza hilo wamelenga kumdhoofisha kisiasa (Hakufafanua kwamba watamdhoofishaje na wala hakusema Mzee kuzikwa Zanzibar kunamuimarishaje) na wala hakusema pia kama Mzee Mwinyi...
  7. B

    Kwenye Sekta ya Afya Rais Dr. Hussein Mwinyi amefanya Mageuzi, tumpe maua yake

    Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo. Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu. Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
  8. Suley2019

    Watu 11 wadaiwa kumhujumu Dkt. Hussein Mwinyi Zanzibar

    Kundi la watu 11 likiongozwa na Balozi Ali Karume limetajwa kuunda mkakati maalum wa kuikwamisha Serikali Ya Dkt. Hussein Mwinyi, visiwani zanzibar. Taarifa za mawasiliano kupitia group lao la WhatsApp Zimevuja zinaonyesha namna wanavyopanga kuihujumu serikali hiyo kwa kutoa taarifa...
  9. R

    Kwanini Wazanzibari wanampiga vita Rais Hussein Mwinyi?

    Huku Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa kisiasa. Mzee Mwinyi anafanya vizuri sana kuleta maendeleo lakini hakubaliki. Baadhi ya factors zinazofanya asikubalike ni hizi hapa. 1. Siyo Mzanzibari 2. Anadaiwa kudharau kila kiongozi aliyepo chini yake 3. Anawafokea na kuwanyanyapaa viongozi wenzake...
  10. B

    PreGE2025 Rais Hussein Mwinyi tunakutaka utuletee Maendeleo Bara kama unavyofanya Zanzibar

    Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia 6.8 huku wa bara ulikuwa unakua kwa asilimia 7 kabla ya kifo cha Rais Hayati JPM tena katikati ya...
  11. GENTAMYCINE

    Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

    "Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi. Hakuna...
  12. B

    Rais Dr. Hussein Mwinyi awasili Cuba kwa mkutano wa G77 na China

    Havana, Cuba Cumbre de Jefes de Estado y de Gobierno del Grupo de los 77 y China tarehe 14 September 2023 Mwandishi Na Pedro Rioseco https://m.youtube.com/watch?v=Lhxm7jatf5U Mh. Rais Dr. Hussein Mwinyi akiwa na balozi wa Tanzania nchini Cuba Mh. Humphrey Hesron Polepole uwanja wa ndege wa...
  13. FaizaFoxy

    Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

    Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele. Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuanza kuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longolongo. Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia...
  14. J

    DKT. Hussein Ali Mwinyi afungua shule ya sekondari ya ghorofa Pujini wilaya ya Chakechake - Pemba

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Ghorofa ya Sekondari Pujini iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa fedha za Uviko-19 Kupitia Shirika la fedha Duniani (IMF). Leo Jumatatu, 📆02 Januari 2023 📍Skuli ya Sekondari...
  15. msani

    Barua ya wazi kwa Rais Hussein Mwinyi

    Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi, nakuandikia hapa kwa sababu nahisi ndio sehemu pekee ujumbe unaweza kukufikia. Sisi wafanyabiashara mara nyingi huwa tunakopa fedha benki ili kuendesha biashara zetu, na sisi kama wengine tumekuwa tunakopa mara nyingi na kufanya valuation ya mali zetu kama...
  16. Pascal Mayalla

    Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni. Serikali ya...
  17. J

    Hali si shwari kati ya Hussein Mwinyi na Othman Masoud. Hawaelewani kuhusu suala la Muungano

    ..Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake. ..Hussein Mwinyi anamuona Othman Masoud kama mchochezi asiyetaka Wazanzibar wawe kitu kimoja. Msikilize Othman Masoud hapa chini. Hussein Mwinyi amejibu hapa.
  18. S

    Rais Hussein Mwinyi umelisikia hili la KMKM?

    leo kumezuka tafran katika social media baada ya clip inayozidi kutrend ,ikionyesha askari wa KMKM wakiwapiga risasi wananchi huko katika mikondo ya bahari. Kinachodaiwa ni askari hao kuwataka au kuwanyang'anya matangi ya mafuta wenye maboti ya kuvulia wakati wakivua katika bahari kuu...
  19. Makonyeza

    Kuhusu kumiliki ardhi Zanzibar, wengi hatukumwelewa Rais Hussein Mwinyi

    Nimepitia kurasa kadhaa katika mitandao ya kijamii kama Facebook, magroup ya WhatsApp na Jamii Forums watu wakiijadili kauli ya Rais WA Zanzibar Dr. Hussein Ally Mwinyi alioitoa akikisisitiza kwamba Mtanzania Bara haruhusiwi kumiliki ardhi KISIWANI Zanzibar. Wengi wa wachangiaji wameonekana...
  20. GENTAMYCINE

    Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi 2025 usipokuja Kugombea Bara tutaandamana uje uwe Rais wetu Kilazima, tunakuhitaji mno

    Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu. Binafsi...
Back
Top Bottom