hussein mwinyi

Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a CCM nominee for presidency in Zanzibar October 2020. He is the current Minister of Defence and National Service.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Zanzibar: Rais Hussein Mwinyi atengua uteuzi wa Wakurugenzi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
  2. beth

    Zanzibar: Balozi Mohammed Mzale ateuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Uteuzi wa Balozi Mzale umeanza leo Februari 18, 2022
  3. Linguistic

    Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

    Wakuu Kuna Mabadiliko Ya Nafasi kule Ikulu Zanzibar. Charles Hilary ameteuliwa na Rais Mwinyi Kuwa DG mpya Wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar.. Kulikoni Wa Kwetu Huyu Van Mohammed Tena Kuliwa Kichwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Determinantor

    Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  5. R

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi azindua kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar. Rais wa...
  6. TODAYS

    Mwaka Mmoja wa Rais Dr. Hussein Mwinyi; Kinachoendelea Zanzibar Wananchi wanashangaa

    Kwenye hotel ya Golden Tulip mjini Zanzibar kuna hafla kubwa ya kusherekea mwaka mmoja wa nafasi ya urais wa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi. Hafla hii imejumuisha viongozi wakuu wa kitaifa, wastaafu na wengine wengi wakiwepo wananchi mbalimbali, baadhi na kwa uchache Rais mstaafu Jakaya...
  7. Mavipunda

    Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

    Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu. Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara...
  8. beth

    Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Capt. Khatib Khamis Mwadin kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Mudrik Fadhil Abass ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Maji katika Wizara ya Maji,Nishati na Madini Pia, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Shaaban...
  9. TODAYS

    KUTOKA ZANZIBAR: Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi awaaga madaktari bingwa wa kichina waliomaliza muda wao

    Sehemu ya matukio katika picha ambapo mheshimiwa rais wa Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na madaktari bingwa kutoka nchini china walipokuja Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kufanya kazi ya kutoa huduma ya Afya katika kisiwa cha Unguja kupitia hospitali ya Mnazi mmoja na...
  10. S

    Suala la utalii analotangaza Rais Samia siyo la muungano. Rais Hussein Mwinyi naye ajitangaze kivyake Zanzibar

    Utalii siyo suala la muungano na Rais Samia hana mamlaka na utalii kwa Zanzibar. Yaani kiutalii Zanzibar ni nchi tofauti na Tanzania. Hivyo Rais Hussein Mwinyi afanye ziara yake kivyake Unguja na Pemba aje na sinema yake tofauti na hii ya Samia.
  11. M

    Rais Dkt. Hussein Mwinyi tushaondolewa CAF, Usije ukaifanya Zanzibar Mkoa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Zanzibar imeondolewa kwenye mashindano ya CAF.Sasa Mh.Rais Dr Hussein Mwinyi utambue tu kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya Muugano. Usije kutuweka kwenye ramani ya kuwa mkoa wa 32 wa Tanzania. Maana maoni ya wengi hapa wametufananisha na mikoa...
  12. Wakusoma 12

    Hussein Mwinyi alikuwaje Mbunge wa Mkuranga wakati yeye ni Mzanzibar?

    Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara. Yote tisa kumi ni kivipi Mzanzibari anakuwa Mbunge sehemu ya Bara? HUSSEIN MWINYI aliweza vipi kuwa MP na jimbo lake la...
  13. Idugunde

    Rais Hussein Mwinyi amkaribisha Mamadou Sakho Ikulu. Ni nyota wa Crystal Palace na timu ya Taifa Ufaransa

    Nyota huyo na familia yake yupo Zanzibar kwa mapumziko na familia yake. Inasadikiwa ataanzisha kituo cha michezo cha watoto na kuendeleza soka la Zanzibar. "Nimefurahi kwa uwepo wako hapa Zanzibar na tutashirikiana katika kuendeleza soka la watoto"
  14. Mmawia

    Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

    Rais wa Zanzibar mh Hussein Mwinyi amesema kuwa chanjo kwa Zanzibar ipo pale pale na kuongeza kuwa kama kina mtu hataki kupewa hiyo chanjo ni juu yake. Na akasema kuwa isitokee watu wakaanza kuvumisha urongo kuwa hiyo chanjo imesababisha watu waliochanjwa kupoteza maisha. Kama wazungu...
  15. Linguistic

    Naomba kufahamishwa kuhusu Rais Samia kumtuma Hussein Mwinyi kumwakilisha nje ya nchi

    Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo. Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi. Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT? Anapotumwa yeye...
  16. beth

    Zanzibar: Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG) akabidhi Ripoti kwa Rais Hussein Mwinyi

    Baadhi ya masuala aliyogusia katika Ripoti hiyo ni kama ifuatavyo: CAG ASHINDWA KUTHIBITISHA MALIPO YA MILIONI 376 KWA MADAKTARI Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Zanzibar, Dkt. Othman Abbas Ali amesema Hospitali ya Mnazi Mmoja imefanya malipo ya Tsh. Milioni 376 kwa ajili ya wito wa...
  17. beth

    Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amemteua Mshenga Haidar kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Vilevile amemteua Nassor Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF). Shariff Ali anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji (ZIPA) huku Suleiman Hamis...
  18. beth

    Rais Mwinyi: Ugonjwa wa Corona ulisababisha shida hata kwenye kulipa mishahara

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini kuwafikisha kwenye 300,000. Awamu ya pili ni watumishi wa kada ya kati na ya tatu ni Viongozi wa juu"...
  19. Idugunde

    Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

    Dkt. Hussein Mwinyi akiagana na viongozi wa Serikali wakati akielekea nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Hii ni itakuwa ni safari yake ya kwanza Dkt. Mwinyi tokea kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar. Huu ni mwanzo mzuri...
  20. M

    Sikuliona hili kwa waliokuwa Marais wote wa Zanzibar, kwanini linafanyika sasa kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi?

    Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar...
Back
Top Bottom