hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Hii hapa hukumu ya Kiswahili iliyotolewa na aliyekuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania Mh. Galeba

    Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo. Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tusidanganye umma wa Watanzania, kutotumia Kiswahili kuandika hukumu sio sababu ya kunyima haki Wananchi

    Viongozi wetu najua mna nia njema kabisa ya kutaka kukuza lugha yetu ya taifa, Kiswahili. Pamoja na kuwa na nia njema ya kukuza lugha ya Kiswahili tuwe wakweli kuwa majaji na mahakimu kutumia kiingereza kama lugha ya kurekodi kumbukumbu za mwenendo wa kesi sio sababu ya kunyima raia haki zao...
  3. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tuishie kwenye kuandika hukumu kwa lugha adhimu ya Kiswahili au twende mbali zaidi?

    TUISHIE TU KWENYE KUANDIKA HUKUMU AU TWENDE MBALI ZAIDI? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mh Rais alimpongeza Jaji wa Mahakama kanda ya Msoma ambaye aliandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili. Mh Rais hakuishia kumpongeza tu, bali jana hiyo hiyo alimteua kuwa Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya mahakama kuu

    Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini. Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza. Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia. Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Rais Magufuli amefurahishwa na kitendo cha Jaji wa mkoa wa Mara mhe. Jaji Galeba kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza kama ilivyozoeleka. Na kwa maana hiyo Rais Magufuli amemteua Jaji Galeba kuwa Jaji wa mahakama ya Rufaa kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama! FUNGUA...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

    Kiukweli binadamu tumetofautiana sana. Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka...
  7. Sajo

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania yabatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Tarehe 17 Disemba 2020, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania katika kikao chake ilichoketi Bukoba, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Mauaji Namba 56 ya 2018 kuwa Mwalimu RESPICIUS PATRICK @ MTANZANGIRA anyongwe mpaka kufa kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anaapisha jumla wa Mawaziri 21 baada ya kuwa tayari ameshawaapisha Mawaziri Mawili ambao ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philipo Mpango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hukumu inasomwa mbele ya DPP, anatoka nje kuzungumza na waandishi na kueleza watuhumiwa walishaanza kutekeleza hukumu kabla haijasomwa

    Yapo mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine. Nimeona DPP akitoka mahakamani Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya Ardhi ambayo kwa mujibu wa hukumu hiyo Jamhuri imeshinda. Nje ya Mahakama DPP anawaeleza waandishi kwamba watuhumiwa walishaanza kukabidhi...
  10. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hukumu ya Kesi ya Tigo Vs Mwana FA na AY

    Uchambuzi huu ni kwa mujibu wa Wakili wa Mahakama Kuu, Hamza (jina la Twitter, @hamzaalbhanj) Kitu cha kwanza kufahamu hapa ni kitu kinaitwa jurisdiction". Hili neno limetawala sana kwenye hukumu ya Mahakama Kuu ya Mheshimiwa Jaji De Mello. Jursidiction ni ule uwezo wa Mahakama kusikiliza...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu. CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
  12. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

    Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani. Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na familia kwa kuwa nami bega kwa bega katika kesi hizi na kunitia moyo; nawashukuru uongozi na...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

    Hukumu ya kesi namba 458 ya 2016 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums inatarajiwa kusomwa leo Novemba 17, 2020 katika Mahakama ya Kisutu Katika shauri hili lenye mashtaka mawili, watuhumiwa wanashtakiwa kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa kwa kikoa cha DO-TZ Katika shtaka la pili, Polisi ilimtaka...
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hukumu ya kutawadha

    Kutawadha: ima ni lazima na ima inapendekezwa: a. Ni lazima kutawadha kwa mambo matatu 1. Kuswali Mwenyezi Mungu U Anasema: {Enyi Mlioamini! Mnapo simama kwa ajili ya swala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni} [5...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

    ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni Mungu pekee ndiye hutoa haki na hukumu ya kweli na si mwanadamu

    Nimeamua kuwaelimisha watanzania walio wengi wanaojifanya kujisahaulisha kuhusiana na uwepo wa Mungu Kwanza naomba nimuonye mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kauli zake anapoomba kula kwa watanzania akidai atatenda haki. Pili nimpongeze Dkt. Magufuli kwa kauli zake za kumuogopa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

    Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hukumu za Watawala; mtawala yeyote asome hapa

    HUKUMU ZA WAFALME/RAIS Na, Robert Heriel Kuna mambo manne yanayomuongoza mfalme/rais katika kutoa hukumu. Mambo hayo ni pamoja na; 1. Sheria za nchi (au imani kama taifa linaongozwa kidini) 2. Hekima/ Akili 3. Maslahi 4. Baraza la washauri Tangu zamani mambo hayo ndio humuongoza kiongozi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili: Hukumu ya Halima Mdee wa Chadema kutolewa leo saa 7.00 mchana!

    Kamati ya maadili manispaa ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa ama kumfungia siku 7 Halima Mdee wa CHADEMA au la kufuatia malalamiko ya CCM na mgombea wao Dr Gwajima kwamba Mdee alitumia lugha isiyofaa. Source Umoja Tv!
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hukumu ya shambulio la Westgate 2013 yatarajiwa kutolewa leo kwa watuhumiwa waliohusika

    Hatma ya washukiwa wa shambulizi dhidi ya jengo la Westgate kujulikana Jumanne hii Hukumu ya washukiwa wa mlipuko wa kigaidi katika jengo kubwa la maduka la Westgate jijini Nairobi mwaka 2013 na kusababisha vifo vya watu 67 inatarajiwa kutolewa leo Jumanne baada ya kuahirishwa jana. Jaji...
Back
Top Bottom