hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tumuombee Mdude Nyagali, hukumu yake ni tarehe 28/6/2021

    Mdude Nyagali ambaye ni Mkulima duni wa Jembe la Mkono kutoka Mlowo Mbozi , ameingia kwenye vitabu vya maajabu ya dunia kwa kushitakiwa kwa makosa mazito ya kusafirisha madawa ya Kulevya kutokea Pakistan kuja Tanzania na kuyasambaza bila kuwa na hati ya kusafiria (PASSPORT). Bado tunaendelea...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa Mahakama baada ya kuthibitika kuwa ilikuwa ikitoa hukumu kwa kuwaonea akina Mbowe

    Siku ya leo, Jaji wa mahakama kuu, Irvin Mgeta, ameandika historia, baada ya kubatilisha hukumu iliyokuwa imetolewa na Hakimu, Thomas Simba, wa mahakama ya Kisutu, hapo mwezi March, 2020, ambapo aliwatia hatiani viongozi hao wa Chadema, kwa Makosa 10 Kati ya 11, waliokuwa wameshitakiwa nayo...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya mauaji ya George Floyd kutolewa leo

    Hukumu ya kesi ya mauaji ya George Floyd inatarajiwa kutolea leo mchana jijini Minneapolis. Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi tayari amepatikana na hatia ya mauaji ya George. Mwezi April 2020 Derek akiwa anamkamata George kwa tuhuma za wizi dukani alimwekea goti shingoni kwa zaidi ya...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Hakimu Michael Mteite na Thomas Simba walitoa hukumu zenye utata dhidi ya Sugu na akina Mbowe

    Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018 na JAJI UTAMWA wa Mahakama Kuu Kanda ya Mneya baada ya Sugu kuwasikisha ombi la rufaa. Mnamo...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

    Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani . Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kombati aliyovaa Sugu mahakamani kwenye hukumu ya Mdude imetengenezwa na Sean John. Je, P Didy anaijua Chadema?

    Haya mambo wakati mwingine yanashangaza sana ! ngoja tuilete kwenu muithaminishe
  7. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

    Kwa muda huu saa10:30 asubuhi msafara wa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe umewasili hapa katika viwanja vya Mahakama Kuu Mbeya kusikiliza hukumu ya mwanachama wao Mdude, ambaye alishitakiwa kwa makosa ya madawa ya kulevya, uhujumu uchumi nk Wafuasi wa CHADEMA wamewasili hapa tangu saa 2...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

    Leo Juni 14,2021 ni siku ya Hukumu ya Mpaluka Nyagali Mdude (32) kwa jina maarufu Mdude CHADEMA. Namuombea Mdude, Hakimu atakaye soma hukumu Mwenyezi Mungu ampe Hekima kama ya Mfalme Suleiman. Awali Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa chadema, mdude nyagali shtaka la uhujumu uchumi...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

    Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi, huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA . Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

    "Kesho J3,asubuhi, nitaungana na Familia ya CHADEMA katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili Mdude Nyagali, Mdude amepitia miaka 5 ya mateso na uonevu usio kifani.ataheshimishwa kwa kuisimamia Imani! Naamini haki itatendeka."- @freemanmbowetz
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama mkoani Manyara yamhukumu miaka 20 dalali wa meno ya Tembo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Manyara imemhukumu dalali wa biashara ya meno ya Tembo Bw.Bernard Masalu Mgalula (54) mkazi wa jiji la Dar es Salaam kutumikia kifungo cha miaka 20 baada ya kukiri kosa la kuhujumu uchumi kwa kukutwa na meno 13 ya Tembo yenye thamani ya shilingi milioni 240...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Sabaya tusilipime kwa yeye kufikishwa Mahakamani

    Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka. Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha. Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mdude Nyagali ni tarehe 14/6/2021

    Hii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo. Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu. Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote. Source: Channel ten
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuchepuka enzi hizo hukumu yake ilikua ni kifo

    May 10, 1775: Princess Caroline Matilda of Great Britain, Queen of Denmark and Norway, died of scarlet fever while in exile in Celle, Germany, aged only twenty-three years old. She had been disgraced, sent from court, and divorced due to her extramarital affair with Dr. Johann Friedrich...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Malawi kuondoa hukumu ya kifo

    Mahakama kuu ya Malawi imeamua kuwa adhabu ya kifo ni kinyume cha katiba. Mahakama imesema kuwa hukumu ya kifo ipo kinyume na viwango vya kimataifa vya haki za binadamu, Hii ikimaanisha kuwa adhabu kubwa zaidi itakayotolewa nchini Malawi itakuwa hukumu ya kifungo cha maisha. Tume ya haki za...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kukosa msaada katika balozi zetu tukutane hapa

    Sijafahamu Kwa wengine ikiwa hupata haki Kweli kunapotokea shida za kiajira/kikazi katika nchi za kigeni, lakini hii imekuwa ni kinyume kabisa Kwa balozi zetu zilizoko Abdhabi, Mwaka 2016, Mzee mmoja Kwa majina yake akiitwa Kwa Jina, naliweka (Kapuni) ni Mtanzania, alibahatika kupata Kazi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kutoa Sadaka Maalum Kanisani ili kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya haki kwa wote waliohusika kuwabambikia kesi wanachadema

    Baada ya kutembelea Magereza kadhaa za Kanda ya Nyasa na kujionea lundo la Wanachadema wanaozidi 100 waliolundikwa jela kwa uonevu kwa makosa ya Uongo ya mauaji , uhujumu uchumi, Madawa ya kulevya, ujambazi na Utakatishaji fedha, Ile Taasisi ya vijana inayoongoza Barani Africa kwa sasa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu. Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji...
Back
Top Bottom