huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. TAWAQAL Petrol Station, Ipogolo, Iringa; huduma ya chakula mgawahani ni mbovu sana

    Kwa muda sasa nilikuwa na simama kupata msosi katika kituo hiki cha Petroli, na kupumzika kwa ingalau nusu saa kabla ya kuendelea na safari yangu ambayo huwa marathon, Dar-Mbeya. Kituo kina mandhri nzuri ingawaje sasa kimeanza kuchakaa kutokana na kukosa matunzo. Mbaya zaidi ni huduma ya...
  2. Kilio cha kukosa huduma ya TANESCO kwa wananchi kitaisha lini?

    Kila Mahali wananchi wanaendelea kulia bila Msaada wa viongozi kuhusu kukoswa huduma ya Tanesco kama. 1) kukoswa huduma ya surveyor 2) zaidi ya wananchi 210000 walio lipia huduma ya kuunganishiwa umeme , Hawajaunganishiwa kwa sababu ya upungufu wa meter,nyaya na watu wakuunganisha umeme. 3)...
  3. Afghanistan: Mamia wajitokeza ofisi ya kutoa passport baada ya Taliban kutangaza kurejesha huduma

    Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka mwezi Agosti, hali ambayo ilipelekea wengi waliotaka kuondoka Nchini humo kushindwa Kwa mujibu wa UN...
  4. TTCL inakutakia kheri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

    Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja. Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini. Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi. Karibu tukuhudumie
  5. N

    Gerson Msigwa: Serikali inawasiliana na watoa huduma wa mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu kukosekana kwa huduma

    Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo. Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
  6. CRDB Bank rekebisheni internet upande wa huduma za uwakala

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
  7. EMS Huduma zenu sio

    Parcels zinachukua muda mrefu kumfikia mlengwa. Zamani walikuwa wanatumia ndege baadae wakaacha. Wakati huo ilikuwa inawezekana parcel kutumwa leo kutoka DSM na kesho unaipokea Mwanza. Sasa hivi EMS wanatumia magari yao, ambapo mzigo kutoka Tunduma kwenda DSM unatumia siku 4. Bukoba to Tunduma...
  8. T

    Suluhisho la usugu wa changamoto katika utoaji wa huduma za kijamii

    Kushindwa kukamilika kwa wakati katika miradi mbalimbali yamaendeleo na kusuasua kwa utoaji wa huduma kwa ufanisi pamoja na kukosekana kwa ufanisi na weledi katika kusimamia na utoaji wa huduma hizo ni moja kati ya changamoto kubwa nchini. Moja kati ya sababu inayopepelekea kutokea kwa hali hii...
  9. Airtel mnazingua huduma yenu airtel money haifanyi malipo ya serikali

    Tangu Jumatatu najaribu kufanya malipo ya serikali kupitia Airtel Money lakini malipo yana kwamba (pending) na inachukua masaa 38 kurejesha pesa a mteja ktk account yake. Huu ni uduwanzi mnatukwamisha. Airtel kama system yenu ya malipo haipo sawa ni vyema kutoa taarifa mapema.
  10. L

    Mapambano dhidi ya wanaume yanaendelea: Mkuu wa Wilaya aagiza wanawake wasitoe huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi. Hii yote ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwani utafiti unasema wanaume...
  11. Msaada wa kubypass samsung galaxy a12 nitalipia huduma

    Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
  12. NMB huduma kwa wateja muitoe kama mmeshindwa kuwajali wateja

    Leo siku nzima , najaribu kuwapigia simu huduma kwa wateja simu inaita dk 30 bila kujibiwa. Hao, mliowaajiri hiko kitengo cha huduma kwa wateja kazi yao ni ipi. Badilikeni, miamala imekwama na watu wanawapigia kupata suluhisho, simu hampokei .Hamjui mnakwamisha shughuli za watu. Ndio maana...
  13. Mtandao pekee wenye huduma nzuri zaidi za malipo kwa wafanyabiashara na wauzaji Tanzania.

    Sokokuu online ni mtandao unaouza vitu online kwa mfumo mpya na wa tofauti kabisa. Na mfumo huo upo ivo ili kumrahisishia mteja namna ya kununua vitu mtandaoni. Kwanza Sokokuu online inakupa uhuru. Wa kuweka bidhaa zako mwenyewe na kupanga bei ndani ya Dashboard yetu. Hii inakuhakikishia kuwa...
  14. Azam Pesa: Huduma mpya ya kifedha

    Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama 'Azam Pesa'. Huduma hii ni kama zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa and the like. Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda...
  15. Serikali yapeleka huduma ya mabasi ya Mwendokasi Kibaha

    Watu wa Kibaha mmeletewa MWENDOKASI afu hamsemi! Pichani ni MWENDOKASI ikiwa kituo cha basi NJUWENI MAILI MOJA Mama anaupiga Mwingi
  16. I wish Sana kupata mdada mcheshi/customer care/kutangaza huduma ili ku capture new customers

    Habarini wanajukwaa. Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga Nchi yetu Tanzania. Moja kwa moja kwenye maada. Mie Kuna vinywaji napewa na kiwanda kusambaza eneo moja hapa mza mjini. Nafungua store like maji,juice,soda and like. Kazi nayofanya ni kuwazia watu wa madukani,vibandani na wote...
  17. S

    Makampuni ya Mawasiliano tunaomba mzindue huduma ya kubadili vocha kuwa muamala wa pesa

    Hoja yangu hapa ni kutaka kuwepo na mfumo matika simu utakaomuwezesha mtumiaji wa simu aliyeko katika eneo ambalo halina wakala wa huduma za kifefha aweze kununua vocha na kuzibadili kuwa M pesa,Airtellmoney,Tigopesa n.k na hivyo kumtumia mtu anayehitaji. Mfano Umeenda kijijini kwa shuguli zako...
  18. Airtel Money na huduma ya ovyo kuwahi kutokea

    Nimekuwa nikitumia huduma za fedha za mitandao mingi ya simu lakini sijawahi kuona huduma ya hovyohovyo kama airtel money.Uhaka wa fedha yako kufika ulipoituma ni mdogo sana. Unaweza ukatuma hela unakatwa kodi, hela inapungua kwenye akaunti na utatumiwa meseji kuwa muamala umefanikiwa lakini cha...
  19. Haijakaa sawa kulipia huduma ya choo katika sehemu za huduma za jamii. Litazamwe upya

    Tumekuwa na utaratibu wa kulipia huduma ya choo katika masoko yetu, stendi za mabasi nchini. Mimi nimekuwa najiuliza saana kuhusu utaratibu huo. Mbaya zaidi, ni pale hata wafanyabiashara au wenye ofisi maeneo hayo wanalazimika kulipia huduma hiyo. Inafahamika Wenyee shughuli zao katika sehemu...
  20. M

    SoC01 Tukio lililonifumbua macho kuhusu changamoto huduma ya dharura katika hospitali zetu

    Huduma ya dharura katika hospitali zetu imekuwa sio dharura tena badala yake kumfanya mgonjwa asubiri hali ambayo ni hatari kwa afya na usalama wa mgonjwa anayehitaji huduma hiyo Binafsi mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya ya uzorotaji wa huduma ya dharura katika hospitali nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…