huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka aagiza DCs & DEDs wote wahakikishe mkandarasi analipa madeni yote kwa watoa huduma kabla ya kumtumbua

    Chama kinachotetea masilahi ya wanyonge wote bila kujali itikadi zao za kisiasa na kidini cha Mapinduzi kimewataka wakuu wote wa Mikoa, Wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kuhakikisha wanalinda maslahi ya wananchi wanaofanyakazi na wakandarasi kama watoa huduma. Kauli hiyo...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa. Mfano Tigo wana post paid yao unapewa GB 100 kwa elf 75, Vodacom nao wana huduma yao wanakufungia antenna unalipia speed na sio...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Bolt kusitisha huduma ya magari kwa wateja binafsi

    Kama wengi wenu mnavyojua, LATRA ilitoa maagizo ya namba LATRA/01/2022 yaliyotolewa tarehe 14 Machi 2022. Licha ya athari za agizo la bei na kamisheni kwa biashara, Bolt imeendelea kutoa huduma za usafiri ili kuonyesha nia njema na kuunda fursa ya azimio la amani. Hivyo basi, Bolt na LATRA...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nape: Bei ya internet imeshuka sana

    Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022 Waziri Nape Nnauye: Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya intaneti katika moja ya kivutio bora cha kitalii Duniani Maeneo mengi ya utalii Nchini baada ya...
  5. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Takwimu za sensa zitaboresha huduma za Afya

    Mpishi mzuri hupenda kujua idadi ya watu waliopo, ili kupika chakula cha kutosha watu wote, kauli hii inaendana na kila ambacho Serikali inakwenda kufanya katika sensa ya watu na makazi Agosti 23, kwani ili iweze kuhudumia wananchi wake ipasavyo ni muhimu kujua takwimu zilizopo na kuzitoa...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy nashauri ukae na wataalamu wa afya kabla ya tamko la bei ya huduma za afya

    Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive. Nikijikita katika mada, Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Huduma za Tigo pesa sasa zinapatikana kwenye Zantel

    Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel. Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa. Hivyo, ukiwa Zantel yako unapata huduma za tigo pesa bila ongezeko la gharama yoyote ile.
  8. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania KERO: Mitandao ya simu ichunguzwe kwa kuwaunga wateja huduma bila ridhaa yao na kuwakata kwenye salio la kawaida

    Moja kwa mmoja kwa hasira kubwa.. Ilikuwa haijawahi kunitokea zaidi ya kusikia kwa wenzangu kua mara nyingi unakuta mtu kaweka bocha ya ngama kufanyia shughuli mbalimbali unakuta ghalfa akijiunga salio halitoshi na akicheki salio wamekata kwa kweli inatia hasira sana. Na ukijaribu kuwapigia...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania NHIF yazusha taharuki tena licha ya tamko la Waziri, wateja walalamika kutolewa katika huduma

    Maboresho yanayoendelea kufanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), yameibua malalamiko na taharuki kwa wanachama, hasa baada ya baadhi ya wategemezi wakiwamo wazazi, kuanza kuondolewa katika mfumo wa matibabu. Taharuki hiyo imeibuka siku moja tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuagiza...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa wanasesere na michezo mingine ya watoto katika sehemu za huduma

    Michezo inasaidia watoto kuwachangamsha, kuwapa ubunifu na kuwafikirisha. Katika duniani ya mtoto mwana sesere si tu kifaa cha michezo bali anaweza kuwa pacha wake kimawazo, atataka ale nae na alale nae. Wazazi wengi kutokana na ugumu wa maisha au kutokujua hawaoni umuhimu wa kununua vifaa vya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Tofauti hizi katika Huduma zitolewazo katika Hospitali zetu?

    Habari ,Hivi wana Jf hizi tofauti zina Maana gani katika sekta ya Afya ? hizi tofauti kimtazamo ni kama ndogo lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa :- 1.Unakwenda hospitali A unambiwa kwenye figo kuna Maji unakwenda hospitali B siku hiyo hiyo unambiwa hauna shida yoyote au unaenda...
  12. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

    Nimepita huko kwenye ukurasa wao, nikakuta vifurushi vipo hivyo, je huduma ipoje kwa aliyewahi kuitumia njoo utujuze, maana naona kidogo itakuwa nafuu.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

    Kwema Wakuu!! Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo; 1. Nauli. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri. 2. Zaka na Sadaka. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za...
  14. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri iwe lazima vyombo vyote vya moto viwe na kiboksi cha huduma ya kwanza chenye gloves ili kurahisisha msaada kwa majeruhi

    Habari wadau! Ushauri wangu kuna watu wanaweza kuupuuza! Lakini itakuwa na maana tukijadili humu kwa pamoja! Hakuna aliyesalama hata ukijihesabia haki kwa utajili/cheo na Mali ulizo Nazo. Huko barabarani hata viongozi hupatwa ajali, hata matajili hupatwa ajali, wachungaji hupatwa ajali n.k...
  16. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi huduma za maktaba zinavyoweza kuinua hali ya maisha ya wa Tanzania

    Maktaba ni jengo au sehem yenye mkusanyiko wa vitabu majarida magazeti, tamani, kumbukumu mbalimbali nk vilivyopo kwenye mfumo wa ki electroniki au vilivyochapwa(printed), vyenye tarifa zinazo elimisha na kuburudisha maktaba huwa na rasilimali za kiada na ziada. Kuna aina tofauti za maktaba...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

    Kuna 1. COSOTA 2. TRA 3........
  18. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kanuni na taratibu za kuanzisha huduma ya Upelelezi binafsi (PI) Tanzania ni zipi?

    ...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Treni ya Mwendokasi kuanza safari Juni 21, 2022 kutoka Dar kwenda Morogoro

    Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Tanzania ni moja ya nchi ambazo huduma za kununua na kulipia ving'amuzi zinafanyika kwa kasi sana, hasa baada ya ushindani kuongezeka miaka kadhaa nyuma kutoka kampuni moja ambayo ilitawala soko kupata ushindani kutoka kwenye kampuni mpya zilizoanzishwa hasa moja ambayo ukuaji wake umechangiwa...
Back
Top Bottom