huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Mawasiliano jitahidini meseji zenu za malipo ya huduma mbalimbali zifike kwa wakati

    Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana. Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
  2. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania #Mwaka mmoja# wa Rais Samia tunatarajia vitengo vya huduma za dharura zaidi ya 150

    Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini. Hii ni kutoka sufuri hadi 150 . Best achievment in one year! CCM HOYEE!
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia ili Kutoa Huduma Nzuri kwa Wateja

    1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia. 2. Jitosheleze kihuduma Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Marekani: Asasi za kiraia zatoa wito wa kutoathiriwa huduma ya intaneti Urusi. Matumizi ya VPN yaongezeka nchini humo

    Asasi za kiraia zimetoa wito kwa Serikali ya Marekani chini ya Rais Biden kuwalinda watoa huduma za intaneti nchini Urusi dhidi ya vikwazo. Mashirika hayo yameonya kwamba kukwamisha ufikiaji wa mtandao kutawaathiri wenye mawazo na misimamo tofauti. Wito huo umekuja ikiwa vikwazo dhidi ya Urusi...
  6. Fundi Umemetz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunatoa huduma ya Drone Camera na CCTV Camera, Laptop na vifaa mbalimbali vya umeme

    Drone camera .. 720P, 1080P,4k video Recording , taking photo. 1km range Brand new , Dar unalipa ukipata mzigo .. Mikoani unatumiwa .. Tupo makumbusho 0686 314 748
  7. L

    JamiiForums Tanzania Beijing: Onyesho la roboti za huduma lafanyika Beijing

    Beijing: Onyesho la roboti za huduma lafanyika Beijing
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huduma ya polisi ku-trace simu ni hisani, kiofisi au bure?

    Kuna hii huduma ya ku trace simu hutolewa na polisi wapelelezi. Kama umepoteza simu au unamtafuta mtu fulani namba yake inakiwa traced kujua yupo wapi. Utaratibu wa utoaji wa hii huduma umekaa kiwizi wizi sana. Hakuna utaratibu rasmi wa kiserikali. Ni kama mradi wa mtu binafsi au wa serikali...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri aonya watendaji RUWASA kuchafuana wakisaka madaraka, ataka watoe huduma bora kwa wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka. Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
  10. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Taasisi na mashirika ya Serikali ambayo yana huduma mbovu kwa wateja Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme 5. TRA 4. Polisi 3. Maji 2. Nida 1. Tanesco Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu maeneo ya vyakula, ikiwezekana iwepo kanuni ya kuyaheshimu mazingira yanayotoa huduma za vyakula

    #Utadaije tume huru badala ya kubadili mfumo wa ELIMU uliopo? Point yangu ipo hapa: Utakuta mtu ametoka job huko hata kunawa hajanawa anaingia kwenye mgahawa ambamo watu wanapata chakula huku akitoka jasho na matope mwili Mzima ,hatukatai unafanya kazi umeshindwa hata kunawa kwenye bomba ndo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania UDART acheni kubweteka! Mnatoa huduma za usafiri kwa kuringa sana. Serikali iruhusu makampuni binafsi waingize mabasi ili kuchochea ushindani

    Kampuni ya usafirishaji katika jiji la Dar-es-Salaam (UDART) maarufu kama mwendokasi inatakiwa ijitathmini utendaji wake mara moja kwani huduma ya usafiri wa mabasi haya ni kero kwa wananchi. Madereva wakifika katika vituo vyao vikubwa (terminal) badala ya kupakia abiria waliojazana kwenye...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Semina ya Mwalimu Christopher na Diana Mwakasege - huduma ya Mana - Moshi, Kilimanjaro tarehe 16 mpaka tarehe 20 Februari 2022

    MWALIMU CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE - HUDUMA YA MANA - SEMINA, MOSHI, KILIMANJARO TAREHE 16 MPAKA TAREHE 20 FEBRUARI 2022. Bwana Yesu Asifiwe! HUDUMA YA MANA - MANA MINISTRY - Mwalimu Christopher & Diana Mwakasege Karibu sana watu wa Moshi na Mitaa ya Karibu, kwa walio mbali unaweza...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tangazo la tuwapishe Wazee wapate Huduma za kijamii Kwanza liboreshwe ili lisilete mkanganyiko na migogoro Kwa watu

    TANGAZO LA TUWAPISHE WAZEE WAHUDIMIWE KWANZA LIFANYIWE MABORESHO ILI LISILETE MIGOGOGORO Anaandika Robert Heriel. Jana nilikuwa moja ya Hospitali za hapa Jijini DSM, nikakuta tangazo limeandikwa MPISHE MZEE AHUDUMIWE KWANZA" Sasa nikawa najiuliza Hapa Mzee anayezungumziwa ni mtu wa Aina gani...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wizara ya Afya: Ni muhimu kuja na sera ya mafunzo mahususi kwa viongozi wa vituo vya huduma

    Sina uhakika kama kuna chuo kinachotoa mafunzo mahususi ya uingozi wa sekta ya afya kwa madaktari/wauguzi wanaosimamia vituo vya kutolea huduma. Tunashuhudia kila uchao wafawidhi wa vituo wakishitumiwa kushindwa kusimamia ingawa sijawahi kusikia kama kuna mfumo maalumu wa kuwaandaa wafawidhi...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku huduma ya usafiri ya Linkee

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo. Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wananchi ni mfano mzuri zaidi wa wadai haki kwasababu wao ndio wanaoipa Mamlaka Wawajibikaji na mara nyingi wanalipia huduma wanazopata

    Tunaweza kusema kuwa kuna uwajibikaji wa kidemokrasia katika utoaji huduma pale ambapo wananchi au wawakilishi wao wanahoji au kutoa mrejesho kuhusu huduma za umma halafu watendaji wa kisiasa na watoa huduma ama wayafanyie kazi maoni hayo au wawajibishwe. Kutokana na dhana hiyo ya msingi...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona imeathiri huduma za msingi za afya kwa kiasi kikubwa

    Huduma za Msingi za Afya zikiwemo programu za Chanjo na matibabu ya magonjwa kama UKIMWI ziliripotiwa kuathiriwa kwa 92% katika Nchi 129. Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu athari za janga la COVID-19 uliofanywa kati ya Novemba - Desemba 2021 umeonesha huduma ziliathiriwa kwa kiasi...
  19. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania RITA mlituletea huduma mtandao mkiwa na lengo la kupunguza foleni katika maofisi yenu, huduma hii ya online ni mbovu mno

    Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi? Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi. Mwaka huu ulivyo anza...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa Serikali maji si biashara, ni huduma

    Akiwa katika uwekaji Jiwe la Msingi Mradi wa Miundombinu ya Kusafisha na Kutibu Maji Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara amesema, "Kwa Serikali ndoo moja ya maji ya lita 20 inauzwa kwa Tsh. 37. Wananchi mnaonunua maji ni mashahidi dumu moja la lita 20 mnanunua Tsh. 1,000 na kwenda mbele" Rais Samia...
Back
Top Bottom