Msaada wa kubypass samsung galaxy a12 nitalipia huduma

Abu Haarith

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
314
165
Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
 
Okey sasa wewe cheki youtube huwezi kosa, na pia ufate kama video inavyosema.

Search aina ya simu yako mfano samsung A12 google account bypass Without pc
 
Nipo na octoplus frp naweza itoa vile vile
Nia chimera nina unlock tool license ebu njoo na ofa yako nikiipend nikufanyie kaz ni second 57 tu kaz kwisha
 
Back
Top Bottom