Airtel Money na huduma ya ovyo kuwahi kutokea

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,836
4,401
Nimekuwa nikitumia huduma za fedha za mitandao mingi ya simu lakini sijawahi kuona huduma ya hovyohovyo kama airtel money.Uhaka wa fedha yako kufika ulipoituma ni mdogo sana. Unaweza ukatuma hela unakatwa kodi, hela inapungua kwenye akaunti na utatumiwa meseji kuwa muamala umefanikiwa lakini cha ajabu hela haifiki ulipoituma.

Mara kadhaa nime-experience hili tatizo lakini baada ya siku tatu wanarudisha hela ila safari hii hii inaenda wiki ya tatu hela haijarudi nimepiga sana customer care na kila customer care ana jibu lake ambalo halifanani na customer care uliyeongea nae muda uliopita. Wengine wanakuambia mbona kwenye system hela imeenda wakati mimi muhusika hiyo hela sijaipokea. Nima uchungu sana na hasira na watu wanaotoa huduma za hovyo.

Sasa nimeamua Ili kupoza hasira zangu nitamtukana matusi mazito customer care atakayenipa majibu ya kipumbavu.Kwa bahati nzuri hela waliyoniibia sio nyingi je ingekuwaje mfano ingekuwa ni fedha nene. Ni heri wa-mess up kwenye calls, sms, na internet lakini sio kwenye financial services. Saa nyingine tunafanya transaction ambazo ni critical halafu wanatokea wapumbavu kama hawa wanakukwamisha
 
Huu sio mtandao wa kutegemea kwa biashara zako.

Airtel hawachelewi kukupotezea dili la mamilioni
 
Duh kuna jamaa siku tatu anahangaika kunitumia hela mpaka nikaona ananiyeyusha kaja kufanikiwa jana!
 
Airtel walisha shindwa biashara wafunge tu, tigo nae anakuja taratibu hata internet yao ya kingese kweli
 
Bado kuna binadamu wantumia huduma za airtel kweli?Mimi ata nikiwaona freelance wake mtaani,nawaona makanjanja tuh na kupita mbali nao.
 
Inashangaza pale jina la mwenye simu (Air Tel money) inapobadilika na air tel kushindwa kutoa majibu au maelezo yanayoelekwa.
 
tunakamuliwa na voda sio kw akupenda.hawa wengine sijui hata kama wanajua wanachokifanya.
 
Huu sio mtandao wa kutegemea kwa biashara zako.

Airtel hawachelewi kukupotezea dili la mamilioni
Imagine unamtumia mtu hela zimsaidie matibabu halafu hazifiki ukipiga simu mtu mmoja mjinga wa customer care anakuambia hela imeenda wakati mpokeaji hajaipokea hela,mtu hawezi kutumia akili kuwaza kwàmba pengine system ina shida yeye kaxi yake ni kung'ang'ania pesa imetunwa
 
Back
Top Bottom